KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,958
- 40,289
Samahani wakuu..hivi wakina Wema Sepetu, Irine Uwoya, Jokate, Shilole, Diamond..na maceleb wote nao huwa wanajamba kama sisi?

Thinking capacity yako ndio tatizo lako!
Samahani wakuu..hivi wakina Wema Sepetu, Irine Uwoya, Jokate, Shilole, Diamond..na maceleb wote nao huwa wanajamba kama sisi?
mkuu kuna vitu vingine vikitoka unaweza kuzimia,bora hata vibaki hukohuko.ni balaaa.mtu keshajipigia ugali njugumawe kachanganya na miparachichi utamtakaa?
Teh teh teh aiseee umegusa mule mule aiseeeemkuu kuna vitu vingine vikitoka unaweza kuzimia,bora hata vibaki hukohuko.ni balaaa.mtu keshajipigia ugali njugumawe kachanganya na miparachichi utamtakaa?
Huwa hawajambi aiseeee...wameumbwa na special pipes zinazotoa hewa through ngoziSamahani wakuu..hivi wakina Wema Sepetu, Irine Uwoya, Jokate, Shilole, Diamond..na maceleb wote nao huwa wanajamba kama sisi?
mkuu kuna vitu vingine vikitoka unaweza kuzimia,bora hata vibaki hukohuko.ni balaaa.mtu keshajipigia ugali njugumawe kachanganya na miparachichi utamtakaa?
Ahaaa!..asante kwa kunijuza.Huwa hawajambi aiseeee...wameumbwa na special pipes zinazotoa hewa through ngozi
kuuliza si ujinga ndugu..Wewe unafanya nini jf toka nyappfffuuu
Samahani wakuu..hivi wakina Wema Sepetu, Irine Uwoya, Jokate, Shilole, Diamond..na maceleb wote nao huwa wanajamba kama sisi?
Habar wana jf....watu wengi wamekua wakikumbana na matatizo ya kuumwa tumbo au kujaa gasi. Sasa kuanzia leo unapobwana na hali ya kujamba nakusihi usijibane kujamba kwan hewa hiyo hiyo ikirudi ndani kuna hasara kubwa kiafya kuliko kuitoa nje. Hizi ni baadhi ya faida za kujamba. 1. Kuzuia ugonjwa wa kiungulia na tumbo kujaa gasi.2. Kuumwa na kichwa hususani wakati wa asubuhi..3.Kupata hamu ya kula. 4 Kuzuia kunuka kwa kinywa.5 Kupata choo safi.Asanteni..

Duh!..kumbe kujamba deal...Sipati picha kwenye daladala...ukiachia kitu cha silence..alafu umeuchuna huku unawacheki tu wanavyohaha..
si kugalagaza tu na kuichanacha na kuitupa mbali!Mh,ila inategemea na mazingira uliyopo mkuu maana ukiwa unaziachia tu unaweza kugalagaza personality hivihivi