Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

achia tu mashuzi,ukiubana sana unavunda,wazungu wanajamba kila wakibanwa,ndio maana wao haunuki kama wetu,halafu wao sehemu zile sio za siri sana
 
achia tu mashuzi,ukiubana sana unavunda,wazungu wanajamba kila wakibanwa,ndio maana wao haunuki kama wetu,halafu wao sehemu zile sio za siri sana
mkuu utanisamehe kidogo, ushuzi wa mwafrika ni noma hata kama akiuachia bila kuubana, mtu katupia kitu cha maharage, kunde mbaazi, viazi vitamu, makande unategemea atajamba ushuzi wa aina gani
 
mkuu utanisamehe kidogo, ushuzi wa mwafrika ni noma hata kama akiuachia bila kuubana, mtu katupia kitu cha maharage, kunde mbaazi, viazi vitamu, makande unategemea atajamba ushuzi wa aina gani
ahahah!!!!!!!!!!!!!! best unafurahisha sana.
 
Vinywaji vyenye gas kama beer, coca cola, pepsi, nk pia vinachangia ongezeko la gas tumboni, gas hiyo hutoka kwa kucheua au kujamba. Vyakula aina ya protein kama nyama nyekundu, mayai, maharage pia vinaongeza kijambo. Kiingereza kujamba pia huwa wanasema releasing wind.
 
Me sizani kama kila binadam anajamba,hivi mnataka kuniambia na mrembo wetu WEMA SEPETU naye huwa anajamba ama kunya?
Tena kijambo cha viputo ptuf !ptuf !ptuf!sitaki kuulizwa nimejuaje na mkinilazimisha nitasema kanitonya diamondo!
 
JF is never boring............mbavu zangu mie.
 
Habar wana jf....watu wengi wamekua wakikumbana na matatizo ya kuumwa tumbo au kujaa gasi. Sasa kuanzia leo unapobwana na hali ya kujamba nakusihi usijibane kujamba kwan hewa hiyo hiyo ikirudi ndani kuna hasara kubwa kiafya kuliko kuitoa nje. Hizi ni baadhi ya faida za kujamba. 1. Kuzuia ugonjwa wa kiungulia na tumbo kujaa gasi.2. Kuumwa na kichwa hususani wakati wa asubuhi..3.Kupata hamu ya kula. 4 Kuzuia kunuka kwa kinywa.5 Kupata choo safi.Asanteni..
 
mkuu kuna vitu vingine vikitoka unaweza kuzimia,bora hata vibaki hukohuko.ni balaaa.mtu keshajipigia ugali njugumawe kachanganya na miparachichi utamtakaa?
 
Unapokua na nafasi sidhan kama utajibana kwa maxudi tatizo hadhara mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom