Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Nasikia huko India, wahindi kuachia ushuzi mbele za watu ni kitu cha kawaida, lecturer anaweza akapiga ushuzi huku anaendelea kupiga lecture.

Sio India tu, hata wazungu mbona kwao ni utamaduni! Kisayansi wanakwambia huo ni uchafu hivyo inabidi utolewe ni sisi tu waafrika tulijiwekea miiko kuwa kujamba hadharani ni utovu wa nidhamu, mi siipendi kabisa hii miiko maana inanyima watu Uhuru wa kurelaxy watakavyo.
 
Kinachosababisha Ni Uvivu Tu Wa Kibinadamu na Tiba Yake Kila Ukihisi Ushuzi Unakujia Jisokomeze Tu Jitambara au Gundisha Super Gluu ktk KINYERO Chako.

nadhani ulifaa uwe facebook sidhani kama huku ni lika lako.maana unaonesha ungali mtoto. REJEA TITTLE YA JAMII FORUM NI '' GREAT THINKERS'' jitathimin kama wafaa kuwepo katika kundi hilo kwa comment hii! Sorry usije niparamia kwa mitusi maana unaonesha unautoto lakini ndio ukweli huo nimekwambia.!!
 
nadhani ulifaa uwe facebook sidhani kama huku ni lika lako.maana unaonesha ungali mtoto. REJEA TITTLE YA JAMII FORUM NI '' GREAT THINKERS'' jitathimin kama wafaa kuwepo katika kundi hilo kwa comment hii! Sorry usije niparamia kwa mitusi maana unaonesha unautoto lakini ndio ukweli huo nimekwambia.!!

Huwa Sipotezi Muda Na WAPUUZI ( MAPOPOMA ) Kama Wewe.......Tafuta Wa Type Yako Na Huna Uwezo Wa Kunipangia Mimi Nini Cha Kufanya Humu Sawa? Je Hoja Ya Kujamba Huwa Inajadiliwa Na GREAT THINKERS? Najua Nafanya Nini Na Unaweza Ukapitia Posts Zangu Zote Kisha Utagundua Kama Huwa Nina UPOPOMA Huo au Sina. Hongera Sana Kwa Kuwa GREAT THINKER Wa JF Unayejadili Masuala Ya KUJAMBA JAMBA.........Hopeless!
 
Naomba madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie kujua kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi wa wanawake wanane kujamba sana maana nimeliona hili kwa wanawake wengi wanene.
 
Ww umejuaje wanajamba sana? Hizi thread nyingine bana ... Ha ha ha ha.
 
Ww umejuaje wanajamba sana? Hizi thread nyingine bana ... Ha ha ha ha.

hahahaha! hata yeye ni mnene...utafiti huu, bila shaka, utakuwa umeanzia kwake binafsi.
 
Naomba madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie kujua kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi wa wanawake wanane kujamba sana maana nimeliona hili kwa wanawake wengi wanene.
Tatizo kweli huwaga tumboni, Kwani tumbo la mnene hujaa hewa na chakula husababisha toxic gesi (kwa kuwa hawafanyi mazoezi,matembezi) hivyo mnyambo huchukuwa nafasi hapo!! Lakini ipo kinywaji fulani cha kupoteza harufu ya kunyamba.....!
 
Jiepusheni na mambo yafuatayo: mosi msinywe hasa maji wakati mnakula, kunywa maji nusu saa kabla ya kula au nusu saa baada ya kula, pili msipende kulakula ovyo hasa vitu vidogo vidogo kama karanga baada ya dkka tano mahindi, mara andazi, chungwa, mhogo n.k ,tatu fanyeni mazoezi hata kwa kutembea kama tano, nne usiku baada ya kula usilale hadi baada ya saa nzima mda huo kaa hata barazani upigwe upepo au fanya zoezi kidogo, haya yataondoa hali hiyo, leteni mrejesho hapa mkifanikiwa.
 
wanawake hata wanaume wengi wanene huwa wanapenda kula ovyo vitu mchanganyiko, ambavyo husababisha gesi kujaa tumboni matokeo yake wanaachia hovyo tu sa cjui uzito huwa unawafanya washindwe kukimbia wakapumulie pembeni au vp? hata hivyo wapo vimbaumbau ambao pia wanakula hovyo vitu mchanganyiko na kujamba ovyo, ila ni wachache ukilinganisha na mabonge. mabonge wanaoomgoza kula hovyo ni wanawake.
 
wio wanawake tu, hata wanaume, mabonge yote ukikaa nayo lazima yajambe tena ushuzi wao huwa lazima upige kelele....nafikiri labda ni kwasababu minyamanyama imebana sana hivyo hata kaushuzi kadogo tu kanabanwa hadi kanalia mbwiiiiiiiiiiiii
 
Kwani mtoa mada wanawake wembamba huwa wanajamba mara ngapi kwa siku ukiringanisha na wanawake wanene......???
 
Tazama habari za wanaume wembamba:

[video=youtube_share;XpQQpIOCp_A]http://youtu.be/XpQQpIOCp_A[/video]
 
acheni wapumue jaman,ila wengne wamezidi unaweza ukazani puto limepasuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom