Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Inabidi hao wagonjwa wakatege pua zao kwemye tigo za wanywa minazi kwa sababu hao ndio wanaprodyusi sana hiyo prodakti mujarabu.
 
Kwa maana hiyo watu wahamasishwe kujamba sehemu za msongamano kwa faida yao... hasa kwenye daladala...
 
Hii nimeisikia bbc nikashituka kidogo lakini ndo maendeleo hayo ya tiba
 
Khaa! Silalamiki tena raia wakiuachia kwenye daladala!

Na naahidi nitakuwa wa kwanza kuwapatia hiyo huduma kwenye daladala!
 
Nawashauri wadau wakijiskia kujamba jamba na kutoa uharufu, tusogee hospitali za karibu yetu kwa lengo la kuwasaidia wagonjwa!
 
Hahahahaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
140716082408_farting_351x351_bbc_nocredit.jpg

Wanasayansi kutoka chuo kikuu Exeter, nchini uingereza wamegundua kua harufu mbaya ya ushuzi,ingawa haivutii ukiimusa ila inaweza kukukinga dhidi ya maradhi ya moyo au saratani. Gesi hiyo inayotoka kwenye ushuzi au mayai viza (hydrogen sulfide) ni nzuri kwa afya ya binadam.

Mimi nadhani wanasayansi wanakoelekea ni kutulisha mavi wakitwambia ni tiba.

zaidi pitia hapa bbc
 
Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.
Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni



Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.
Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo mbaya inaweza kuwa kinga dhidi ya magonjwa ya moyo na akili na hata Saratani.
Gesi au harufu mbaya ambayo hutokana na chakula kinachosagwa tumboni mwako inaweza kulinda baadhi ya viungo vya mwili wako.
Ndio! athari ni kile ambacho unakidhania: Eti watu wanauchukulia utafiti huu kumaanisha kuwa harufu mbaya inayotokana na mtu kujamba inaweza kuzuia magonjwa fulani mwilini kama vile Saratani.
Utafiti huo uliochapishwa katika mtandao wa chuo kikuu cha Exter uligundua kuwa gesi hiyo inayojulikana kama Hydrogen Sulfide ambayo pia hupatikana katika Mayai yaliyooza, inaweza kuwa muhimu katika kutibu baadhi ya magonjwa.
"ingawa gesi ya hydrogen sulfide inajulikana kuwa na harufu mbaya na hupatikana katika Mayai yaliyooza pamoja na harufu ya mtu kujamba, hutengezwa mwilini na inawezekana kuwa tiba kwa magonjwa fulani, ''asema Daktari Mark Wood,Profesa wa chuo hicho cha Exeter.
Gesi hiyo ina athari mbaya ikiwa katika viwango vikubwa , kwa mujibu wa utafiti huo.
Watafiti wanasema licha ya harufu hiyo mbaya ya kujamba kuchukiza, ina uwezo mkubwa wa kupunguza uwezekenano wa mtu kupatwa na magonjwa kama vile, Saratani,Kiharusi, mshtuko wa Moyo na kuumwa na mifupa

140716082408_farting_351x351_bbc_nocredit.jpg


My take, kama unajifanya mstaarabu kwa kubania ushuzi shauri yako.... jiachie,tena ikiwezekana jifunike blanket kisha jamba na furahia harufu
 
mzuri ni upi kati ya shuz la kelele au kile chembamba cha kimyakimya?
 
Hizi tafiti nyingine za kipuuzi hizi zitatufikisha pabaya, na bahati mbaya kwa wale wanaoonaga kila utafiti wa mzungu ni mjarabu wako hatarini kukubaliana na upuuzi huu. Lakini iko siku watafiti wetu hawa wakatuletea ugunduzi wa kula kinyesi kibichi cha mwanadamu kutibu kisukari!

Angalizo: Kila aliyewahi kufanya utafiti anajua kanuni zake na pia anajua weaknesses zipatikanazo kwenye tafiti ndio maana unapotaka kufanya utafiti wa jambo fulani lazima ufanye rejea mbali mbali tena kwa kiasi cha kutosha ili kubaini wengine walishagundua nini kabla. Hizi tafiti zinazochapishwa bila kufafanua methodology iliyotumika ni za kuepuka kama ukoma.
 
Hiyo ya wastani wa mtu kujamba mara 14 kwa siku nadhani research zaidi zinatakiwa; maana kuna jamaa tulisoma nae primary, alikuwa na jimwili kubwa, mgomvi balaa akikatiza mtaani anaacha watoto wote wanalia, sasa ishu ni kuwa alikuwa anajamba muda wowote anaotaka, yani muda wowote ukimwambia jamba, jamaa anaachia bonge la shuzi, na zake ilikuwa akikutana tu na mtoto yeyote haijalishi anamfahamu au la anamkamata anasukumizia kichwa kwenye makalio yake anamjambia!

Huyo jamaa ni professional,aende kwenye mashindano!judge anaweza kutoa mbio akaacha pambano linaendelea,dah,ka namuona vi inzi vinamfuata kila anapokwenda
 
Jamani eee hebu niambieni mnapenda mtu ajambe mijambo yenye sauti kubwa bila harufu au yenye harufu,au mnapenda mijambo ya kimyakimya iwe inanuka au isiyo na harufu?
 
yaani wewe huwazi maisha yako unawaza kujamba tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom