Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

wengne ushuz wao una harufu kali na wengne hata akijamba huskii harufu. Je hiyo kemikali inayoleta harufu kwenye ushuz kuna wengne hawana?

Unakula mayai ya kuchemsha mchana maharage na dona na juice ya mapapai...ukimaliza unatafuna karanga za kuchemsha ..lazima ujambe hatariiii
 
sayoo

Asante kwa elimu hii. Tuelimishe zaidi. kwa nini wanaume wanajamba kuliko wanawake? Kuna uhusiano wowote kati ya kujamba na kunenepa? Kuna observation kutoka makabila fulani kuwa ukijamba sana ni dalili za kunenepa? Na kweli utaona mtu anaongezeka uzito baada ya muda wa miezi kadhaa! personal observation!
 
Last edited by a moderator:
Huko Somalia au Sudan Kusini mtu akijamba lazima wamwandame...

Kwa ule uhaba wa chakula wanajua tu kuwa lazima huyo mtu kala msosi ndio maana kashusha shuzi...

Jambaa ukiwa bara, ukiwa pwani utatafuta mengine.
 
mm naona kujamba sawa tu ila tuangalie hili ni jambo linaloondoa ama kupunguza heshima ya mtu be serious ila ukikubana uwachieeee babaaaaa
 
Wahindi pia kujamba ni jambo la kawaida, wanajamba popote pale. Na ushuzi wao unanuka ile mbaya sababu ya vyakula vyao, ukienda India utashinda unajifunika pua.
 
Nimesoma mwishowe na me umenibana ushuzi sasa tatizo nipo na watu hapa sijui niuachieeeee?
 
Kujamba raha sana tena kile cha kujiachia acha cha kubana bana hakitoki vizuri😀
 
1423718633547.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom