Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Naomba madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie kujua kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi wa wanawake wanane kujamba sana maana nimeliona hili kwa wanawake wengi wanene.

Bongeeeeeeeeeee, sema!
 
Naomba madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie kujua kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi wa wanawake wanane kujamba sana maana nimeliona hili kwa wanawake wengi wanene.

Kujamba ni nini?
 
wio wanawake tu, hata wanaume, mabonge yote ukikaa nayo lazima yajambe tena ushuzi wao huwa lazima upige kelele....nafikiri labda ni kwasababu minyamanyama imebana sana hivyo hata kaushuzi kadogo tu kanabanwa hadi kanalia mbwiiiiiiiiiiiii

Hahahahaha....
 
hahahahahah
 
Naomba madaktari mliomo humu jamvini mnisaidie kujua kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi wa wanawake wanane kujamba sana maana nimeliona hili kwa wanawake wengi wanene.

dah inawezekana kuna kaukweli kidogo,mwingine utakuta anaachia ka trekta ya inapanda mlima
 
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa, ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.

Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen, asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen. Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans, ambayo ndio ina sulfur ndani yake, sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya.

Kujamba huambatana na sauti, hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.

Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo.

Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini, kwao husalimiana kwa kujamba, na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets". Mtu wa kawaida hutoa hatam nusu lita ya ushuzi kwa siku.

Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6, anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki. Fact nyingine ni kwamba wanaume hujamba zaidi kuliko wanawake na kwamba mwanaume anaweza kujamba ushuzi wa kutosha kujaza baloon..

Jambaaaaa mwanawaneee!
 
Mimi Huwa Najamba Zaidi Ya Mara 5 Kwa Siku,wakati Mke Wangu Hujamba Mara Moja Au Mbili,hilo La Wanaume Kujamba Kuliko Wanawake Naliunga Mkono,au Masaidada Unasemaje???
 
wengne ushuz wao una harufu kali na wengne hata akijamba huskii harufu. Je hiyo kemikali inayoleta harufu kwenye ushuz kuna wengne hawana?
 
Haaaaa umenichekesha sana nakumbuka kina siku nilibanwa na kijambo tumekaa watu wengi nikajua hakitatoa harufu lol kijambo kilichafua hali ya hewa kile vibaya saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom