Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

the award goes tooooooo....... guess whooo???? its fimboyaasali.... clap! clap! clap! clap! clap!

Why not LE MUTUZ, akipumua National stadium yote inapata habari, hahahahhahah
 
Why not LE MUTUZ, akipumua National stadium yote inapata habari, hahahahhahah

this was the semi final.. the final is LE MUTUZ Vs fimboyaasali... hahaha le mutuz, le baharia, shati pazia, mzee wa mabebes, mutu mukubwa, mwili jumba... lazma ashinde
 
Wewe kama unataka kujamba jamba tu ,wengine tukisikia sauti tunaweza kutoa kipimo na diameter tukakwambia radius yako ila kasauti kembamba hako katune kake ni cha kuvutia sana.:madgrin:
 
Msameheni bure huyu mdau mwezentu, akikosa Bange ndivyo anakuwa kama kadata ila akiipuliza anakuwa fresh sana tu mbona!
 
uwiiiiii mbavu zangu,watu wakishiba wanapata nguvu na kuwaza kupiga kazi wewe ni kuachia clutch.Du!kweli shibe mwana malevya na hasa ya bangi
 
Mleta mada tumia Jamba-scope utatatua hili tatizo!
 
puuuu, Pratatatatatata.. yusufff. Kujamba raha jamani.
 
Dr.kitu gan kinasababisha mtu anatoa ushuzi kila mara?
Nini tiba yake
 
tiba punguza kula vyakula vyenye gesi alafu kula kiasi si mpaka ushibe sanaa
 
Tatizo la gesi hilo.
Tafuta dawa hizi.
1. ULGEL LOW SODIUM LIQUID halafu unakunywa kijiko kikubwa 1×2 kwa siku 3.
2. RABEPRAZOLE SODIUM TABLETS 1×2 nayo kwa siku 3.
Hakika utapona bila wasiwasi.
 
Dr.kitu gan kinasababisha mtu anatoa ushuzi kila mara?
Nini tiba yake

Kinachosababisha Ni Uvivu Tu Wa Kibinadamu na Tiba Yake Kila Ukihisi Ushuzi Unakujia Jisokomeze Tu Jitambara au Gundisha Super Gluu ktk KINYERO Chako.
 
mwambie abadilishe diet na atumie utaratibu huu:

Asubuhi:
Mayai ya kuchemsha 2, mahindi ya kuchemsha 2 na bakuli la maziwa mtindi


Mchana:
Kande au dona maharage na ndizi mbivu 2

Usiku:
ubwabwa kwa kunde, mapera na maziwa fresh glass 1

Duh! Zingatia usemi huu, akunyimae kunde....................... Malizia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom