Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

KUANZIA SASA,sitajibana ofsn,wala kwenye daladala maana nimeshazijua faida za kujamba,Big up mleta mada imetusaidia tulokuwa tukijibanabana
 
Hehe aina ya ushuz mwingine ni ushuzi kibajaji una fika eneo la tukio dakika 0 na akiachia harufu yake inaweza kaa masaa2 puani mwa watu
 
Hilo kabila wanalosalimiana kwa kujamba, sipati picha mtoto anaamka asubuhi anaenda kumtegeshea makalio karibu na kichwa cha mzazi halafu anaachia ushuzi, then mzazi naye anajibu kwa ushuzi, halafu mtoto akiondoka mzazi anajisemesha, katoto kana adabu sana haka!
Haaaaa haaaaaaaaa!!! Mbavu zanguuuuuu!!
 
Hilo kabila wanalosalimiana kwa kujamba, sipati picha mtoto anaamka asubuhi anaenda kumtegeshea makalio karibu na kichwa cha mzazi halafu anaachia ushuzi, then mzazi naye anajibu kwa ushuzi, halafu mtoto akiondoka mzazi anajisemesha, katoto kana adabu sana haka!

Dah, umenfrahsha sana, we mkali.
 
enzi tupo primary, kuna jamaa alikuwa na chawa balaaa, wa kichwa na nguo, basi ikitokea kuna harufu ya ushuzi, basi jamaa alikuwa taabuni. Yaani hadi akimbie ndio usalama wake. Jamaa walikuwa wakimshadidia na kumpiga sometime.
 
Msicheke sana vita expand na ushuzi utawatokeni....!
 
teh teh teh teh teh,nimecheka sana,kipindi flani niliwahi kupata girlfriend wa kenya,tukawa wote kimapenz kwa muda mrefu,kitu nilichokuwa naogopa siku zote ni kujamba mbele yake,siku moja tukiwa tumelala nikabanwa kujamba ile mbaya,mtoto wa kiume nikajikaza kinoma,mara usingizi ukaanza kunipitia yeye akiwa hajasinzia yupo busy na ipad yake,mara buuuuu fyuuuuu,nikajikuta najamba,duh aisee,niliona aibu ile mbaya,lakini kadri siku zilivyozidi kwenda tukazidi kuzoeana,naye akaanza kuachia ushuzi kama kawaida,basi ikawa ni kujambiana kwa kwenda mbele!
 
Hahahaha hahahahahahaha,umenifuraisha(kujambiana).
 
Kuna jamaa wakati tuko O level dah alikuwa anaachia ushuzi huo hata kama mwalimu yupo ubaoni kwa sauti buuum alafu sisi wakati tunacheka ye kauchuna kimya. Au wakati hakuna mwalimu class tunapiga stories za hapa na pale gafla anatunyamazisha, wote tunahamaki labda masoja wanakuja baada ya kusikia kelele[ ni shule ya jeshi] alafu anaachia ushuzi wa nguvu. Dah hii thread imenifanya nicheke sana. Big up mleta uzi huu
 
Hapo kwenye namba mbili leo ndo nimeelewa. Wakati niko skuli (O-level) kulikuwa na mtindo wa kujamba( bila kutoa sauti) kwa makusudi wakati wa mitihani. Hali ile ilikuwa inafanya darasa linajaa harufu mbaya sana na kumfanya Mwalimu atoke nje, hivyo kuacha fursa ya watu kupeana na kuangalizia majibu, hasa wakati wa National Exams.

Maandalizi yake ilikuwa ni kula maharage, mchele mbichi, karanga kavu na/au mchembe (viazi vikavu) jioni kabla ya mitihani kesho yake!

Aaaah, binadamu tuna mambo!
 
nahisi tunakoelekea wachina watalifanyia kazi suala hili. unakinga Ka chupa unalalanako! kesho unapata gesi kidogo ya kutumia
 
Kweli kujamba ni afya. Mtu asiyejamba ni sawa na mtu asiye cheua ikitokea hivyo maana yake mtu huyo ana matatizo ya kiafya. Aidha hata wanyama wengine kama ngo'ombe, mbuzi, mbwa, nk hao huwa wanajamba. Na hakuna kitu kibaya kama kujizuia kujamba kwasababu naturally mwili unakuwa unataka kutoa hewa isiyotakiwa mwilini halafu wewe unaizuia madhara yake ni makubwa. Hivyo jambeni bila kuona aibu. Hata vitu visivyo viumbe huwa vina mifumo ya kutoa hewa chafu au iliyozidi kwa mujibu wa mfumo wake. Mfano magari makubwa ya mizigo na mabasi nayo huwa yanatoa hewa katika mfumo kama wa kujamba na huwa inasikika waziwazi. Magari ambayo yanatoa jhewa inayosikika sana ni kama fuso, scania na mengineyo. Hata traini nayo ina mfumo wa kutoa hewa
 
Kwa kweli mim siwez kujamba mbele ya mtu yeyote hasa mpenzi wangu sitak anisikiee kabisaa bora nikajambiee njee,ni raha lakin tena ni aibu!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom