mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
umenkumbusha mbali sana. Siku moja tulikuwa shamba tukilima baba akawa ameegesha pikipiki yaka mbali kidogo kivulini. dada alijamba kijambo cha kutisha huku baba akijua hilo akiwa serius akasema "hebu kaangalie pikipiki yangu usikute mtu anataka kuiba" kilichofuata ni kicheko, duh!