Kuitana kaka ni kukosa confidence....

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....
 
Sijaelewa kumwita mtu kaka ni kukosa confidence, hebu fafanua
 
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....

sikujui jina na ww ni jinsia ya kiume nikwite nani?
 
Sidhani kama ni kukosa confidence ya aina yoyote
Kaka sio kwamba linatumika kw amtu aliyekosa kujiamini wala nini ila ni ile hali ya kumpa mtu heshima yake
Maana kama mtu umemzidi umri hata umwite kaka bado wewe utaendelea kuwa mkubwa kwake
Na sio heshima kumwita mdogo wako au kumuaddress we dogo njoo hapa au dogo hivi na vile
Ni just heshima kama kumwita mtu mkuu sio kwamba umemfanya awe mkuu sana ila ni heshima tuu
Hakuna kupoteza confidence kw aaina yoyote hapo na sidhani eti hiyo ndio inatufanya watanzania tuwe waoga au tuwe nyuma kwenye masuala yanayohusu east africa
 
Naamini JF hapa ni moja ya mtandao wa Kijamii unayoiongelea!...Liko wapi hilo neno, kama si wewe kulianzisha?
 
nimezungumzia mitandao ya kijamii neno KAKA limeshamiri sana linakuwa superfluous!

Sidhani kama limetumika ndivyo sivyo au kumwita mtu kaka ni kukosa confidence
Hapa hatujuani na wala huwezi jua kwenye mitandao ya kijamii hao unaochat nao ni wakubwa au wadogo kiumri au wana madaraka gani au wana status gani kwenye jamii
Hivyo kumwita mtu kaka ni just heshima tuu na wala haina uhusiano na kupoteza uhalisia wako
 
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....

na hao wakenya unaowababaikia hawato tufunika, tutawaajiri as cheap labourers kwenye mahotel
kwanza wao wenyewe wana hofu nasisi na wanaipenda Bongo kuliko kwao.
kwa taarifa yako tangu Kenya watangaze Duo Citizenship, wakenya wengi wanapenda uraia wa pili Utanzania, kwasbb we are smarter,good leader, we have and...................better thing than them

the bad thing on our side ni tunagawanyika kirahsi
 
Kaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..

Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?
 
Mimi sijaelewa kitu hapa..

nimeona KAKA, then KAKA, then Confidence, Then AFRIKA MASHARIKI.......

Sijaona Point.......Sooo!!! kamata hii KAKA.

ur_stupid.jpg
 
Kaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..

Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?

Kaka acha tu, hata mi nashangaa kaka, sijui inakuwaje kaka!! haya bana kaka!!!
 
Kaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..

Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?
kaka umenikuna kaka....hahahhaha nimekukubali kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom