Kuitana kaka ni kukosa confidence....

Kaka unakosea kaka..
Neno kaka linatumika tu ku keptcha atensheni ya mtu wakati unamwongelesha kaka..
Ni kama vile tunavyotumia tu maneno mengine yeyote kaka,, hayana uhusiano wowote na self esteem ya mtu kaka..

Kaka kwa nini umewaza hivyo kaka?
kuna mtu anakuita kaka na komfidensi yake iko chini nini kaka?
Hahahahahaa! Hapa umeua kaka lol..
 
inawezekana mtoa mada huna confidence.......

Anapokuita kaka niheshima.......
Ina maana mdogo wako wa kiume huwezi muita kaka? Simply kwa kuwa umemzidi umri?
Unaelewa maana ya 'kaka?'


pole sana kaka....
 
dada upo?
Kaka Kaizer anakusalimu!

Mi mzima kaka Memo.. Kaizer hapatikani hata kwenye cmu jaman! Memo mna ishu gani lakini nyie "KAKA" ZANGU?! Maana hata wewe mara nyingi haupo richabo!
 
Duh, sijaelewa kitu.
Na wanawakae wanaitana dada?
Au hawapo Afrika mashariki?
 
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....


mtu mzima point yako haina mashiko' kumuita mtu brother ni kitu cha kawaida tu..
 
Na yule mchezaji wa Brazil KAKA sijui huyu ndugu anataka tumuitaje?.......huyu jamaa anahitaji maombi serious!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom