sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Katika mitandao mbalimbali ya mawasiliano ya jamii neno KAKA, narudia KAKA limeshamiri sana.... mara hongera Kaka mara pole KAKA mara karibu KAKA....neno hili sasa ninakuwa superfluous.... unakuta mtu hata amekuzidi umri anakwambia kaka( na asitokee hata mmoja akachukua context ya kiingereza brother ) swali je kwa nini watanzania tumekuwa waoga hivi? hivi tumekuwa watu wa kuthamini flattary tu kwa nini? ni kukosa confidence juu ya kupambana na changamoto zinazotukabili! Jumuiya ya afrika mashariki ni dhahiri kenya itatufunika......tungoje tuone.... tutakalia kaka, kaka.....