Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja

acha blaablaa nyingi mkuu njoo Dar ilipo Tanzania
Dar mlituoshea sana zamani hizo miaka ya 97-98 😁😁 sasa hivi wala hamtushtui bro, nakumbuka mlikua mna kuja na zile game boys zenu, ili kuzishika tu mnatuambia tukaoge kwanza na kuvaa nguo mpya😁😁😁
 
Dar es salaam Maisha ni magumu sana hasa kwa vijana wanaoanza maisha.
Hili jiji ni la mateso sana kwa kweli mungu tu awasaidie wale ambao wanapambana Dar na kijijini hakuna kitu (mashamba, mifugo)
Ahahha nawahurumia sana mbaya zaidi wanafosi maisha ambayo sio yao
 
πŸ‘‰Harufu za shombo ya supu ya pweza
πŸ‘‰Harufu za kondomu zilizotumika kila gesti yenye πŸ˜…dada poa
πŸ‘‰Harufu ya uduvi
πŸ‘‰Harufu za bhangi na shisha
πŸ‘‰Harufu ya jasho la kwenye daladala
πŸ‘‰Harufu ya makombo ya supu za mabaki ya makongoro
πŸ‘‰Harufu ya visamaki vya mbususu za kushare
πŸ‘‰Harufu za mashoga Kmmke mbona mtihaniπŸ₯ΆπŸ™Œ

Hii combo ya minuko=mnuko promax
 
Daladala inaniwia ugumu kupanda ase
 
Kuna sehemu ina wapumbavu, washamba na maboya kupita Dar?

Jitu halina kazi lakini linaona aibu kufanya baadhi ya kazi. Mwanaume anajipura kuliko hata dada zake, mtoto wa kiume anajua habari za mwanaume mwenzie kuliko hata mke wa huyo mwanaume.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dar hihi ikifika kipindi cha mvua watu hugeuka vyura ndio ujione mjanja au unaongelea dar ipi
Jana nilikuwa kariakoo nyuma ya china plaza sijui inaitwaje ile mitaa ila ni karibu na Agrey.... ebwana mvua imenyesha kuna maji machafu yametwama barabarani yanatoa harufu kali kweli utafikiri watu wametapisha vyoo, nilikaa pale kwa muda wa saa moja ila nilipata mateso makali sana sio kwa harufu ile, nilijikuta nawahurumia wafanya biashara wa lile eneo, halafu cha kustaajabisha zaidi nikawaona wengine eti wanakula na chakula kabisa licha ya harufu kali iliyokuwepo pale.

Kiukweli huu mji ni mchafu sana unatia kinyaa, ukitaka kuona hilo subiri kipindi cha mvua.
 
kama upo oystabey ,mbweni ,masaki na maeneo yanayofanana na hayo, tena zile sehemu nyeti tu hapo sawa, tofauti na hapo mvua zina nyesha huku kila mpanda uje tupige majaruba bwashee😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanafungua mashimo ya vyoo kipindi cha mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…