Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #121
Zimbabwe huko walitua kwenye shule moja ya chekechea na wale watoto walisimulia hii kitu.Nilishawahi kuona documentary ya hili tukio siku za nyuma sana na nitaisaka hii kitu.....Mkuu huko Zimbabwe hao alien aliewaona ni nani? Itakuwa hao hao wenye hizi propaganda.
NWO imefeli mkuu, sasa hivi ni kumalizia shina na matawi. Mizizi imekufa.
Fatilia tu sasa hivi jinsi binadamu wanavyopindua meza. Zile myths na taboo za hao watu wachache zinavunjwa na kupingwa wazi wazi. US president ashawaambia hao NASA na CIA wamuoneshe hao aliens na wamuoneshe effects za global warming! Wote kimya wamebaki kuduwaa tu maana hawana ushahidi tangible. Ni kikundi cha wachache kilijitengenezea mazingira ya kunyonya na kutawala wengi.
Mkuu kwani unafahamu NWO ni kitu gani?