MkuuLakini kitu cha kustaajabisha sana ni kuwa wameweza kueleza kwa ufasaha sana vitu vinavyoishi ndani ya hiyo kuiper belt, hadi kufikia ku-categorize aina ya hao aliens na tabia zao hadi mission zao na jinsi wanavyotuchukulia sisi.
kila aina na mipango iliyonayo kuhusu binadamu, as if kama hao wataalamu walikaa meza moja na hao aliens na kupia story.
Sasa inakua vigumu kidogo mtu kuelewa kwa kweli maana kama huo ukanda tu bado hawaujui kwa asilimia mia unawezaje kujua kilichopo ndani yake na kukielezea kwa ufasaha namna hiyo.
kwa mafano mtu ameona nyumba kwa mbali na kwa sababu ya umbali hawezi kujua rangi ya bati la hiyo nyumba kuwa ni blue au kijani, lakini hapo hapo anakuelezea kwa ufasaha kuhusu mazingira ya ndani ya nyumba jinsi yalivyo.
inakua na ukakasi sana kuelewa
hawa viumbe sindo marekani wanawatumia na wamewaweka kwenye area force one1;Kwa mujibu wa taarifa nilizonazo ni kwamba Aliens wanaishi kwenye underground bases [D.U.M.Bs] zilizoko maeneo tofauto tofauti chini ya ardhi....
2;Sijui chochote kuhusu kula yao,lakini kufikiria kuwa kuna "kula" kwa kila kiumbe ni dhana potofu mkuu...
3;Ishu ya kuvaa ni kama kula tu,unadhani kila kiumbe kinahitaji kuvaa kwanini? Hebu fikiria tu uwe hujawahi kumuona Tembo halafu ukakutana na mtu akakupa taarifa kuwa kuna mnyama mkubwa mwenye sifa kama za Tembo halafu wewe kwasababu hujawahi kumuona ukaanza kuingiwa na wasi wasi halafu ukamuuliza kuhusu kuvaa kwao,swali lako litakuwa na mantiki kweli?
Swali lako halina mantiki mkuu....
4;Sijui ni namna ipi wanayotumia kuongezeka,lakini,kama maswali yako mengine hili nalo ni swali linalotoka kwa mtu ambaye ana upungufu wa taarifa tu maana kama ungejua kuwa kuna viumbe havihitaji kuzaliana ili viongezeke wala usingeuliza swali hili...
5;Aliens wanachokifanya hapa duniani ni kuwasaidia binadamu katika eneo la maendeleo ya kiteknolojia ili aweze kuishi maisha rahisi zaidi lakini wana ajenda zao ambazo baadhi zimeelewa kwenye makala hii kwa sehemu....
6;Sijawahi kukutana na picha yao halisi lakini kutokuwepo kwa picha siyo sababu ya kuona ni uongo..
Namna ambayo wanaitumia ni ya kuzungumza,wana uwezo mkubwa wa kuongea ligha yoyote lakini wao kwa wao hawazungumzi isipokuwa wanawasiliana kwa kusoma mawazo ya wengine.Wanaweza kusoma mawazo ya binadamu pia lakini kwakuwa binadamu hawezi kusoma mawazo yao inabidi waongee ili kuwasiliana na binadamu....
Taarifa za jambo hili ni ndogo sana lakini ni kwamba hao hao Aliens walishakutana na binadamu na kusema kwa nyakattofauti tofauti na jambo hili halisemwi ndiyo maana taarifa ni ndogo....
Tatizo ni kwamba jambo hili ni miongoni mwa mambo ambayo yanafichwa sana lakini siyo jipya maana hata binadamu wa kale walishawahi kukutana na hawa viumbe....
Bold: Nadhani hapo ulimaanisha area 51 au sivyo?hawa viumbe sindo marekani wanawatumia na wamewaweka kwenye area force one
MkuuMkuu Eiyer
Hivi ni kwanini jamii za zamani ambazo zinadaiwa kuwa na mahusiano na hawa viumbe ziliwatesa sana Waebrania?
1. Wamisri- Jamii iliyukowa na nguvu sana duniani iliwatumikisha Waebrania kwa miaka 400.
2. Babeli- Ufalme wenye nguvu sana Mashariki ya Mbali chini ya Nebukadrezza aliwavamia Wayahudi na kuvunja hekalu la Mfalme Suleimani na kuwapeleka Wayahudi Utumwani.
3. Ujerumani- Taifa lenye nguvu Ulaya chini ya Adolf Hitler liliwaua Wayahudi wengi sana popote pale lilipowakuta.
Katika nyakati haya yanatokea historia inasema hawa viumbe walikuwa na muingiliano mkubwa sana na hizi jamii.
Kuna nini kilichojificha hapo?
Mkuu
Kuna sababu ya kila jambo na kimsingi jambo hili linamuunganiko mkubwa sana na masuala ya kiroho.Sikutaka kuyaingiza haya mambo kwenye thread hii ili nisiwakere wale ambao hawapendelei kuyasikia lakini kimsingi kuna mengi sana yanayohusiana na masuala ya kiroho na kidini....
Jambo kubwa sana ni kuhusu mwanzo au chanzo cha hawa viumbe ambapo hapa ndipo kwenye mziki wenyewe sasa....
Ukitaka kujua mahali ambapo shida ilianzia ni kwenye mwanzo 6,lakini labda nikupe tu "clue" ni kwamba maneno ya Mungu kwenye Mwanzo 3:15 pale ndipo kwenye mengi....
Ngoja nisiseme mengi sana mkuu kwenye upande huu ili wengine waweze kuisoma hii thread vizuri lakini maswali yako kuhusiana na mataifa yaliyowahi au yenye mahusiano na hawa Viumbe waliwatesa sana Waisrael umeegemea hapo...
Swali kubwa kwako mkuu ni kwamba,Marekani wana uhusiano na hawa viumbe leo,ni kwanini hawafanyi kama wengine walivyofanya juu ya Wayahudi?
Hapo napo kuna mengi sana mkuu lakini taratibu tutafanya utafiti na tutajua mkuu....
Akili zako za hovyo kweli unataka watu wote wawaze sawasawa? Huyu mbona anaeleza vitu vya undani vya kimwili na kiroho? Tumia kichwa chako kufikiri sio ku disappoint watu wanaotufikirisha.Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Haina shida mkuu....Nimekusoma mkuu,
Itabidi nianzishie uzi kabisa kule Jukwaa la Dini ili tuweze kuzungumza chimbuko lake katika mtizamo wa Kibiblia zaidi.
Nadhani kule tutajimwaga na kwenda mstari baada ya mstari...
Ninaamini kabisa wewe haujatumwa na Mr The bold hasa kwa kuzingatia kariba yake. Najishawishi kuwa haya ni maoni yako binafsi na kwa hivyo umemkosea mtoa mada. Kama umemsoma vizuri mtoa mada na kama unafuatilia mada zake toka huko nyuma, (unless kama wewe ni mgeni) utagundua hajaandika kwa kushindana na The bold King. Kwa ustaarabu kabisa ni vyema ukamuomba radhi mtoa mada na jukwaa kwa ujumla. Kumbuka hii sio bongo fleva kwamba tunahitaji timu, hapana, hii ni issue ya utafiti na uandishi. Kwa sababu hiyo ni vyema ku-encourage watu kuandika as much as possible ili tupate ubora wa kazi, radha tofauti pamoja na vipaji vingi. Ninamheshimu sana The bold kwa uwezo wake wa pekee (kipaji) lakini natamani tanzania tuwe na akina The bold wengi.Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
The bold is simply a genius. Our very own messiah of jamii intelligence. Do not compare him with "unknown things". His views, ideas, intellectual abilities are second to none. Simply the best!Ninaamini kabisa wewe haujatumwa na Mr The bold hasa kwa kuzingatia kariba yake. Najishawishi kuwa haya ni maoni yako binafsi na kwa hivyo umemkosea mtoa mada. Kama umemsoma vizuri mtoa mada na kama unafuatilia mada zake toka huko nyuma, (unless kama wewe ni mgeni) utagundua hajaandika kwa kushindana na The bold King. Kwa ustaarabu kabisa ni vyema ukamuomba radhi mtoa mada na jukwaa kwa ujumla. Kumbuka hii sio bongo fleva kwamba tunahitaji timu, hapana, hii ni issue ya utafiti na uandishi. Kwa sababu hiyo ni vyema ku-encourage watu kuandika as much as possible ili tupate ubora wa kazi, radha tofauti pamoja na vipaji vingi. Ninamheshimu sana The bold kwa uwezo wake wa pekee (kipaji) lakini natamani tanzania tuwe na akina The bold wengi.
Hujui unachokifanya mkuu,nahisi hata The Bold anaona aibu kuwa na shabiki kilaza kama wewe.The bold is simply a genius. Our very own messiah of jamii intelligence. Do not compare him with "unknown things". His views, ideas, intellectual abilities are second to none. Simply the best!
Sorry, what did you say?Hujui unachokifanya mkuu,nahisi hata The Bold anaona aibu kuwa na shabiki kilaza kama wewe.
Ngoja kwanza nitulie mpaka ntapoona reaction ya The bold ndo ntaendelea kuchangia.The bold is simply a genius. Our very own messiah of jamii intelligence. Do not compare him with "unknown things". His views, ideas, intellectual abilities are second to none. Simply the best!
Haina tatizo mkuu,tupo pamoja.....pongezi mr Eiyer kwa kutushirikisha mambo haya hatakama hayapo lakini ukisoma kwa makini hukosi hapo kitu cha kujifunza, nimekua nikikufuatilia kwa makini sana poti zako tok 2012 na juve ingawa hayupo tena ila mko poa sana naomba unitag kaka pleas
Haina tatizo mkuu,tupo pamoja.....
ndio mkuu ni 51 kwa nini Tanzania tusiwatafute na sisi sasa tuwatumieBold: Nadhani hapo ulimaanisha area 51 au sivyo?
Hawa viumbe siyo tu kwamba Wanawatumia Marekani bali wanatumiwa na serikali nyingi tu duniani kwa namna tofauti tofauti....