Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Wakati unaipa hizo heko serikali jua kuwa deni la taifa linazidi kuongezeka pia kwa dollar kukopwa ili supply yake iongezeke na tsh ipande.

Haaaaaaa,kwa hyo kumbe hapa tunaahirisha matatizo tu,ila ugumu upo mbeleni vile vile tu??
Halafu Mkuu Hivi kwa mfano kama mimi ni Raisi na nagoma kulipa deni la Taifa watanifanya nini??
 
Haaaaaaa,kwa hyo kumbe hapa tunaahirisha matatizo tu,ila ugumu upo mbeleni vile vile tu??
Halafu Mkuu Hivi kwa mfano kama mimi ni Raisi na nagoma kulipa deni la Taifa watanifanya nini??

Mkuu usitake nicheke hapa nipo katikati ya watu
 
Haaaaaaa,kwa hyo kumbe hapa tunaahirisha matatizo tu,ila ugumu upo mbeleni vile vile tu??
Halafu Mkuu Hivi kwa mfano kama mimi ni Raisi na nagoma kulipa deni la Taifa watanifanya nini??

Hahahaaaaaa.
Weee embu usinichekeshe mimi.
Wee ukienda kwenye taasisi za kifedha kukopa afu ukagoma kulipa unaona nini kitatokea?
Ile kitu uliyoiweka kama security itachukuliwa na hutoweza tena kukopeshwa na uwekezaji nchini itashuka na vikwazo kibao utawekewa vya kiuchumi so itakuwa vururu vururu tuu maisha yatakuwa magumu huduma za jamii serikali itashidwa kutoa so kwa nchi inayotegemea misada kama yetu huo mgomo hautakuwa ishu kwa kweli labda tuu msamehewe kwa masharti etc.

Ngoja tuone ugiriki itafanyiwa nini ikishindwa kulipa madeni yake.
 
Una vimelea vya wivu!!!!!!

Shida hujaelewa, huelewi na hutakuja kuelewa!

Light ungejua madhara ya kushuka kwa shilingi kiuchumi usingeshabikia huo unaoumiza Mamilioni ya watanzania.

Kuna mawili hujaeleimika au umeelimika lkn elimu haijakukomboa hata hivyo sikushangai sana, mpo wengi wa aina yako na ndo mtaji wa CCM.
 
Ni humuhumu jf ambapo tulilipigia sana kelele swala la kuporomoka kwa shilingi dhidi ya dola, naona upepo umebadilika, kumbe wengi waliifurahia hali hiyo na kupiga kelele kinafiki, huku Arusha ni kilio kwa sababu city boys wengi sana wanafaidi dollari, Transition is so painfull, tuvumilie ili tuendelee wajameni.
 
Artificial economic trends of bongo!
Dollar ilipanda kwa kiwango cha kutisha lakini kila mtu kuanzia gavana wa bot, waziri, kimei na wengine wengi wakatoa visingizio tofauti.
Leo imeshuka bila kujulishwa kisababishi lakini mafuta yanapanda ghafla kwa kiwango cha kutisha pia!!!!
 
Ngoja niwe msomaji tu. Nione wachumi mnavyobishania dola na shilingi. Nitaelimika sana katika hii thread.
 
Wonderful

Wewe ndio huelewi. Ina maana Shilingi imepanda thamani kwamba uwezo wake wa kununua chochote ni mkubwa zaidi sasa kuliko hapo awali. Kwa kutumia mfano wako huo kama ilikua ununue tractor moja kwa hizo Sh. 3,300,000= sasa utahitaji . Tshs 2,880,000 tu kulinunua. What a saving!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa.
Weee embu usinichekeshe mimi.
Wee ukienda kwenye taasisi za kifedha kukopa afu ukagoma kulipa unaona nini kitatokea?
Ile kitu uliyoiweka kama security itachukuliwa na hutoweza tena kukopeshwa na uwekezaji nchini itashuka na vikwazo kibao utawekewa vya kiuchumi so itakuwa vururu vururu tuu maisha yatakuwa magumu huduma za jamii serikali itashidwa kutoa so kwa nchi inayotegemea misada kama yetu huo mgomo hautakuwa ishu kwa kweli labda tuu msamehewe kwa masharti etc.

Ngoja tuone ugiriki itafanyiwa nini ikishindwa kulipa madeni yake.

Daaaaaaah,kweli noma aiseeeee,manake eti nilishawahi kusikia kutoka stori za kitaa eti the late Nyerere R.I.P kwake naye aligoma kulipa deni la Taifa,sasa sijui na yeye alifanywa nini?? na hivi kwa mfano nchi kama TZ ikikopa whether World Bank au IMF Corateral huwa ni nini zaidi,manake najua kwa upande wa gesi yetu mkuu stori za vijiweni zinasema kuwa Mkuu Ritz alivyokamatwa na sembe Uchinani ikabidi eti yeye ndio awe Corateral ili asinyongwe,wachina wapewe mchongo wa Gesi ya Ntwara, na ndicho kilichofanyika,sasa sijui wanamuonea gere huyu dogo au ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Ila ukweli kupanda kwa thamani imekuwa ni pigo kwa wachimbaji wa dhahabu kwani gram moja ya dhahabu mbichi ilifikia 70000. Sasa imefika 50000.dah hasara kweli
 
Daaaaaaah,kweli noma aiseeeee,manake eti nilishawahi kusikia kutoka stori za kitaa eti the late Nyerere R.I.P kwake naye aligoma kulipa deni la Taifa,sasa sijui na yeye alifanywa nini??

Mnhhh hiyo ya Nyerere sijaiskia aiseee
 
Mkuu usitake nicheke hapa nipo katikati ya watu

Usicheke Mkuu manake kila siku najiuliza tuuuuu,ooooh mara deni la Taifa sasa hivi limeongezeka kutoka Trilioni kadhaa hadi kadhaa,mara kila mwaka kila Mtanzania anadaiwa sijui laki 700,000,lakini hatuoni matokeo chanya ya mikopo hiyo,sasaaaaa kwa mfano tukigoma inakuwaje,ila kuna mkuu kashanijibu swali langu na nileridhika na majibu yake,kama vipi hao Maraisi waliokopa tokea kuanza kwa hili Deni Tuwaweke wao kama ndio Corateral tu watuache sisi waTZ bila Mikopo kwa kuwa sisi hatukuwatuma wakope kwani hawakuomba ridhaa yetu wakati wanachukua hiyo Mikopo
 
Usicheke Mkuu manake kila siku najiuliza tuuuuu,ooooh mara deni la Taifa sasa hivi limeongezeka kutoka Trilioni kadhaa hadi kadhaa,mara kila mwaka kila Mtanzania anadaiwa sijui laki 700,000,lakini hatuoni matokeo chanya ya mikopo hiyo,sasaaaaa kwa mfano tukigoma inakuwaje,ila kuna mkuu kashanijibu swali langu na nileridhika na majibu yake,

😀 👉kama vipi hao Maraisi waliokopa tokea kuanza kwa hili Deni Tuwaweke wao kama ndio Corateral tu watuache sisi waTZ bila Mikopo kwa kuwa sisi hatukuwatuma wakope kwani hawakuomba ridhaa yetu wakati wanachukua hiyo Mikopo

Mkuu wewe comedy sana, angalia hapo nilipoweka 👉😀😀😀
 
Yani kama wewe huzalishi na huexport kwenda nje bidhaa zako, kuumia kwa shiling kupanda thamani uanonekana kiwenzu tu. Vidola vyako 1000 visisababishe mamilioni ya watanzania kuumia.
 
Mmesahau kama kutesa ni kwa zamu jamani. Sasa ni wakati wetu wakamata fedha za madafu tufurahi. Nyie wa madorali tulieni kidogo. Hahahahaaaaaaaa.
Ila serious usd ilovyokuwa juu iliathiri sana utaratibu wa maisha ya kila siku ya wavuja jasho wa tz.
 
Back
Top Bottom