Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Juzi Mlimani City 2100,shilingi itaporomoka tu tena kwani sisi ni wachumia tumbo hatuzalisha chochote zaidi ya kuzalisha mafisadi,muda si mrefu itarudi tena 2300 majuzi kati iliimarika hadi 1600 baada ya siku mbili ikaporomoka 2100 ,wenye madolari yao msikate tamaa ikija safari hii hela yetu ya madafu itaporomoka kwa mwendo wa rocket a hela ya Obama itaruka hadi 2400,ni muda tu.
 
Sitaki kuwa mnafiki.

Kitendo cha kuimarika kwa shilingi dhidi ya dollar kumenikera sana.

Nilitaraji kupokea leo Tsh 3,300,000 na nilishapanga bajeti zangu na pesa ilishaisha kabla hata sijaiweka mkononi.
Sasa nimeambulia 2,880,000!

Nimevurugwa kinoma sasa bajeti yangu naipangua yote.

Yani hawa chadema ndio wamenisababishia hii hasara kwa kuropoka hovyo mpaka serikali ya "gavument" imeshituka!

ww mbulura kweli yaani watu wazarendo wa nchi hii unawachukia kisa maslahi yako binafsi
 
ww mbulura kweli yaani watu wazarendo wa nchi hii unawachukia kisa maslahi yako binafsi
We ndoorrrrrrroooooobo huoni nchi yenyewe imepigwa viraka?
wacha nichukue changu mapema bhana!!!
 
Back
Top Bottom