Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
6,000
Sitaki kuwa mnafiki.

Kitendo cha kuimarika kwa shilingi dhidi ya dollar kumenikera sana.

Nilitaraji kupokea leo Tsh 3,300,000 na nilishapanga bajeti zangu na pesa ilishaisha kabla hata sijaiweka mkononi.
Sasa nimeambulia 2,880,000!

Nimevurugwa kinoma sasa bajeti yangu naipangua yote.

Yani hawa chadema ndio wamenisababishia hii hasara kwa kuropoka hovyo mpaka serikali ya "gavument" imeshituka!
 
Kuna jamaa alikuwa d 15000 akawa anasubiria ipande zaidi ili auze, jana kusikia imeshuka ghafla, kachanganyikiwa, ila ishuke tu.
 
mshahara wa mwezi wa sita nilipokea kitita cha haja,, nikawa nijipanga mipango kibao kwa kujua mpaka december na kwa trend ilivyokua mambo yangekua bien... nimesikia imeimarika nimeishiwa nguvu. kweli si kila msiba unaathir wote kuna wengine wanafaidika... all in all hongera serekari yetu kwa kuimarisha shillingi yetu,, ni aibu kushidwa na hata DRC hapa Franc ni 900 kwa dollar 1 na wako vitani
 
umeua duh!!!
 
Wonderful

Hili Janga kumbe linatukumba wengi, nilishapanga bajeti zangu kwa rate ya 2200, daah sasa hapa mzee inabidi nikae upya kupanga na kupangua
 
Last edited by a moderator:
Ishuke tu kwa kweli kila kitu kilikuwa bei juu, hata mama wa maziwa kapandisha bei kumuuliza kaniambia dola imepanda.
 
mshahara wa mwezi wa sita nilipokea kitita cha haja,, nikawa nijipanga mipango kibao kwa kujua mpaka december na kwa trend ilivyokua mambo yangekua bien... nimesikia imeimarika nimeishiwa nguvu. kweli si kila msiba unaathir wote kuna wengine wanafaidika... all in all hongera serekari yetu kwa kuimarisha shillingi yetu,, ni aibu kushidwa na hata DRC hapa Franc ni 900 kwa dollar 1 na wako vitani

DRC umekwenda mbali kidogpBurundi kiinchi maskini kila kitu wanatutegea lkn wanatuzidi;Kwenye chenji ni Faranga 100 kwa shilingi 92,ya kibongo.
 
Serikali makini haiwezi kuporomosha dola kwa speed iliyotokea week hii

Lengo langu hapa si kua nimechukia kuimarika kwa sh.yetu hapana tujiulize ni wafanyabiashara wangapi watakaopata hasara kutokana nahili

Umenunua $ 10,000 kwa 23,430,000 week jana ukaagiza mzg mwingine leo kanunua same amount 19,000,000 kaagiza mzg kama wako kwenye soko la ushindani utakuja kuuzaje?
 
Nlikuwa nazo kama 2900 US$ lengo nikusubiria ifike elfu tatu kwa dola, nlipoona akina lisu na mnyaa wanapiga kelele sana bunge, ahhhh!! nimeziuza, isije kula kwangu. Waliniboa
 
Back
Top Bottom