Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,054
- 831,661
Mbona ishaanza ku poromomoka tena, mkopo ulioingizwa kwenye monetary system ulikuwa solution kwa wiki mbili au tatu, wanaokimbizia dolla nje hawajalala bado wanafanya yao.
Aisee yani ni kama tumewatengenezea jamaa ulaji wa bure