Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kuna matahira wengi sana nchi hii.
Ingekuwa una viwanda au kampuni unayouza bidhaa unazozalisha nje tungekuona wa maana. Kumbe ni vidola vyako vichache vinavyokuwasha hapo ndo unataka kutuletea kadhia yote hii.
Wacha dola ishuke watu wafanye biashara na wanunue kwa wingi manake hata basic goods siku hizi tuna import. Sasa zikiwa expensive itakuwa hasara ya nani?