aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,226
Watz bwana!! Sijui ni ujinga au corrupted minds.
mshahara wa mwezi wa sita nilipokea kitita cha haja,, nikawa nijipanga mipango kibao kwa kujua mpaka december na kwa trend ilivyokua mambo yangekua bien... nimesikia imeimarika nimeishiwa nguvu. kweli si kila msiba unaathir wote kuna wengine wanafaidika... all in all hongera serekari yetu kwa kuimarisha shillingi yetu,, ni aibu kushidwa na hata DRC hapa Franc ni 900 kwa dollar 1 na wako vitani
Pole mhujumu uchumi
Hao wapo wengi rafiki yangu mfanya biashara na mwenda Dubai siku moja kabla ya kupanda kabadilisha madafu yake kununua dollar kwa bei ya 22300 kesho yake ikashuka. Amehesabu hasara ya million 41. Anajiuliza aende au asubiri kwa kujiaminisha huu ni mchezo wa benki kuu kuwadanganya wabunge wa ukawa na kurudisha imani ya wananchi kwa kuogopa uchaguzi. Pole mkuu ingawaje wanakupa jina baya. Kama ni deni umelipwa ongea na mlipaji akufidie ingawa ugumu wa kufanikiwa ni mdogo sana.
Ni suala la muda tu, itapanda soon!
Nlikuwa nazo kama 2900 US$ lengo nikusubiria ifike elfu tatu kwa dola, nlipoona akina lisu na mnyaa wanapiga kelele sana bunge, ahhhh!! nimeziuza, isije kula kwangu
Nipo upande wako. Soon and very soon
Nipo upande wako. Soon and very soon
I wish so