Mgonjwa shilingi leo hajambo, baada ya kupewa dozi kali ya dola 800m zilikopwa fasta kutoka serikali ya South Africa, bado yupo kwenye uangalizi mkali wa timu ya madaktari bingwa, ambao wamekiri dozi hii bado ni ndogo na nafuu iliyoonekana leo ni ya muda mfupi kama hakuna suluhisho la kudumu la kupata dozi zingine kwa kiwango kikubwa, basi afya ya shilingi itaendelea kutetereka na huenda ikasababisha umauti wake.
Mkuu, itakuwa ivo. Wamefunika kombe mwanaharamu apite tu. Hii sio internal forces but external.
Kuna member kaongea cream sana "kwa serikali makini,haiwezi kushusha thamani ya pesa kwa kiwango icho na ili khali inajua kuna wafanyabiashara waliokuwa wameguswa kwa namna moja au ingine kwa mpasuko wa bei ya dollar dhidi ya shilling"
Khaa!! Hivi hizi dola mnazitumia wapi wakuu?? Maana sijawahi hata kuiona mimi ..
Ahahaaaa.Nimeahirisha kubadilisha dola hadi shilingi itakaposhuka acha nizitamie hukohuko Bank. Tshs imepanda ghafla mno hii ni nguvu ya soda wenye roho ngumu tunaisubiria huku juu.
Wazugaji tu Viva hao wasikustue kabisaa.watu wenye madolareeeee...polee
Pole aisee, kumbe na wewe ni miongoni mwa mnaolaani watu wanapopiga kelele malipo yafanyike kwa shilingi
I like that
1927 mkuu!!!