Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

Status
Not open for further replies.
Evelyn Salt huyu ni rafiki yangu katika kunywa pombe tu. hajawahi hata siku moja kunieleza mambo ya mapenzi. Lakini ukweli mimi na yeye wote ni watu wazima sio watoto (kama wa JF) hahahahaha
Basi katika huo unywaji ana lake la moyoni possible anaogopa kukutongoza ataharibu ubest hivo anaomba mzigo kwa huruma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…