Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Rais wa Afrika kusini bw Jacob Zuma,alikuwa na msemo wake kwa kutumia lugha ya kizulu, kuhamasisha watu,akisema "NIPENI MASHINE GUN" yangu (smg) na mimi wapi naweza kupata hiyo smg ? Yaani wapuuzi 30 wanatuburuza waTZ 40ml? Tena wanajulikana? Aaah! Wanapanga kuuwa wa2? Usalama wa taifa na polisi kazi yao nini? Yesu alisema yapasa m2 m1 afe kwa ajili ya wengi. Na hao 30 waondoke kwa ajili ya taifa. Shit!
 
Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.

RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

1. Ulizungumza nao wewe kama nani?
2. Je uliwajuaje kuwa ni TISS
3. Wote 15 walikupa majibu yanayofanana na walikubali kuwa wamefanya hiyo kazi, kwa insurance gani uliyowapa walikuaminije? are you boss at TISS and your subordinate have done this? who are you???

[
FONT=Times New Roman] [/FONT]
Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

1. what was your mission on this? is this the whole TISS plan or just few people? wote ulowataja hapo juu wana maswali mengi sana, does TISS can excute mission against JK or withour JK consent?

1. Samweli sita is not a threat anyway! Sita ni rafiki wa karibu wa JK hata kabla ya JK kuwa rais, Sita andiye aliyefanikisha kutekeleza unafiki wa JK wa kumuondoa Lowassa baada ya Site kusalitiwa kupewa uwaziri mkuu na JK. Sita ni fisadi mwingine mzuri ambaye hamtishi fisadi mwngine yeyte ndani ya CCM, yeye kama Mwakyembe ndio traitors wakubwa nchi hii wa wananchi, they belong to CCM and CCM alone

2. Slaa? Yes I could agree with you partly, lakini mpaka sasa hawajaweza kukamlisha huo mpango? hatujasikia mzee huyu akisukwa sukwa! what are they waiting, it takes less than a second for sniper to finish a job

3. Kubenea? Kubenea ni CCM mzuri, na 2015 atagombea ubunge mafia, Kubenea ni mtoto wa JK na usitegemee mwanahalisi likaenda kinyume na JK, unachodhani ni negative kwa JK is actually kumsifia JK ni other way round, hii inafanywa kwa akilin sana, KUBENEA ALIMWAGIWA TINDIKALI kwa kutembea na mke wa mtu, si kinyume na hapo! kesi iko wapi? imeishia wapi? watuhumiwa wako wapi? walitumwa na nani? kubenea angewaanika vizuri sana, he is speechless katika hili.

4. Mwakyembe ..unasema anaisumbua serikali? na yumo humo humo? ye isn politics is possible but there is no sufficient justification to kill Mwakyembe, ukizingatia yeye na sita ni chama moja, na ndugy yao Kikwete. is another fisadi tu, mwenye maneno mengi na urubunifu mwingi! Alikitupa kitambaa alichojifutia jasho pale mlimani city? hakunywa manji? are you sure, maji ya kampuni gani yaliyotumikan pale?

5. Mwandosya? mwandosya amemalizwa na Membe. period labda tutashindana kati hili,........leukemia yake ni planted kama ilivyokuwa kwa Nyerere lakini sio usalama wa taifa waliohusika, is just another gangs, kwa Nyerere ni marafiki wa mkapa,kwa mwandosya ni Membe. TISS haimo.

ok!

Tindikali ya kuua masaa 12 inatoka Bulgaria, kwa nini wasimue kwa sumu tu? lazima tindikali?

TISS sio UVCCM au ikulu mkuu! sio bakwata wale au majaji wa miss Tanzania..it is secret service.

UNAWEZA KULISAIDIA TAIFA LA TANZANIA NA KU-PROVE KUWA ULICHOANDIKA NI KWELI KWA KTAJA MAJINA YA WATU HAO 30 NA KUONDOA CODE NAME ZA HAO USLAMA WA TAIFA NA KUWEKA MAJINA YAO!!1

WEKA KINASA SAUTI CHA MAZUNGUMZO YEYOTE YALE KUHUSIANA NA TAARIFA HII, AU UCHUNGUZI WAKO ULIKUWA WA KINAMNA GANI NA EVIDENCE UNAIPATAJE, NASEMA HIVI LENGO LAKO HASA LILIKUWA NI NINI / KAMA SIO KUSAIDIA WATANZANIA WENGINE NA HUNA UTHIBITISHO, PELEKA HABARI HII KWA SHIGONGO AT LEAST YOU WILL EARN SOMETHING

wapate hao hao
 
Yametimia! LTK washindwe kwa damu ya Mwokozi wetu Yesu kristo! Hawaoni kuwa Watanzania tutashtuka na vifo vya mfululizo vya watu hao waliotoa mwanga wa kuwaumbua mafisadi! Kikwete, hiyo si TIBA umefeli,hiyo ni kujenga tatizo juu ya tatizo!! DAMU YAO ITAKUNUKIA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO WEWE JK!
 
Sishangai najua hata Harrison kama ni kushangaa atakuwa anashangaa tu wamempataje lakin suala la kuwindwa analijua kitambo na alishawahi kuripoti kwa IGP na IGP akakalia ripoti yake, Harrison yeye alitaja watu wengine ambao walikuwa kwenye mpango wa kuuliwa kuwani pamoja na Raginald Mengi, Anna Malecela Kilango na alitaja mpango ulivyosukwa kwa kuwatumia AL SHABAB, usalama wa taifa, Polisi na alitaja mpaka na namba za magari zilizotumika.

Akataja na watu kwa majina japo ni wale tu waliokuwa wametumwa akataja gari la vodacom kutumika, gari la ubalozi na alimtaja polisi mmoja wa pale moro akamtaja na mtoto wa Lowassa, Fred kuhusika kwa kuwapokea wauaji na kuwapangia hotel.

In short Mwakyembe atakuwa anashangaa wamempata sio kushangaa kuuawa.. Mungu mkubwa atasaidia Harrison na Mark wapone ili waje watueleze mpango mzima.

Mods... please dont let my name out maana hawakawii kufatilia wanaopost hapa wengine hata kujificha hatujui tutakamtwa kama kuku
 
Rais wa Afrika kusini bw Jacob Zuma,alikuwa na msemo wake kwa kutumia lugha ya kizulu, kuhamasisha watu,akisema "NIPENI MASHINE GUN" yangu (smg) na mimi wapi naweza kupata hiyo smg ? Yaani wapuuzi 30 wanatuburuza waTZ 40ml? Tena wanajulikana? Aaah! Wanapanga kuuwa wa2? Usalama wa taifa na polisi kazi yao nini? Yesu alisema yapasa m2 m1 afe kwa ajili ya wengi. Na hao 30 waondoke kwa ajili ya taifa. Shit!
 
Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.

RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5

Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao:

Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema “nahitaji ripoti ya utekelezaji”.

Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu,

1 Samweli Sitta
2 Harison Mwakyembe
3 Mark Mwandosya
Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea

Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu!

1.Wilblod Slaa

Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa.

Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo.

Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri.

Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa.

Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:

Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.

Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011.

Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.

Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali.

Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.

Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali,

Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais.

Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City.

Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita
Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK.

Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.

Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.

Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete.

Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali.

Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi.

Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.

Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India

ASANTENI SANA:
JASON BOURNE

Mkuu tuambie na kirefu cha TISSB
 
Sasa tunakoeleke siyo maana sasa viongozi wakuu wa vyama vya upinzani naona kuna haja ya kuwa na ulinzi binafsi!! Maana hii inaonyesha hilo kundi halitaki kuguswa hasa katika masilahi yao!!

Natoa ushauri kwa Dr.Slaa kuwa mwangalifu hasa kwenye mikutano kuwa mbali na wananchi na awambie siyo kuwa anwanyanyapaa bali nikukwepesha mwanya wa majasusi kukabili kwa sumu za kupakaa! Vile vile uongozi wa Chadema hasa kitengo cha usalama wawatrain walinzi wao kwani vipo vyuo vya usalama vya binafsi.
 
Sishangai najua hata Harrison kama ni kushangaa atakuwa anashangaa tu wamempataje lakin suala la kuwindwa analijua kitambo na alishawahi kuripoti kwa IGP na IGP akakalia ripoti yake, Harrison yeye alitaja watu wengine ambao walikuwa kwenye mpango wa kuuliwa kuwani pamoja na Raginald Mengi, Anna Malecela Kilango na alitaja mpango ulivyosukwa kwa kuwatumia AL SHABAB, usalama wa taifa, Polisi na alitaja mpaka na namba za magari zilizotumika, akataja na watu kwa majina japo ni wale tu waliokuwa wametumwa akataja gari la vodacom kutumika, gari la ubalozi na alimtaja polisi mmoja wa pale moro akamtaja na mtoto wa Lowassa, Fred kuhusika kwa kuwapokea wauaji na kuwapangia hotel.
In short Mwakyembe atakuwa anashangaa wamempata sio kushangaa kuuawa.. Mungu mkubwa atasaidia Harrison na Mark wapone ili waje watueleze mpango mzima.

Mods... please dont let my name out maana hawakawii kufatilia wanaopost hapa wengine hata kujificha hatujui tutakamtwa kama kuku

wapambanaji tunangushana namna hiyo.
 
Mkuu, na members wote,
since ulipojiunga hapa ujue unabrowse salama na hakuna wa kuweza kufikia private data za any of our member. Wamejaribu sana na wanajaribu bila kuchoka ila majaribio yao yanatuongezea umakini na ubunifu wa kuiweka JF na members salama zaidi.

Ila fahamu kwamba someone amejitoa mhanga kwa ajili yako. lakini JF haitashuka kamwe mkuu. Ondoa shaka.
 
Ndugu umenitisha embu tuambie majina ya wanaohusika na matendo haya maovu,Mungu awalaani kabisa yeyote anayehusika,na pia malipo ni hapa duniani na walipwe hapa hapa,imeniuma sana,

Tafuta nakala ya taarifa ya Mwakyembe aliyowasilisha kwa vyombo vya dola mapema mwaka huu. Mwanahalisi waliwahi kutoa muhtasari tu na haujawahi kukanushwa. Kwenye muhtasari huo kuna majina halisi ya watu. Hata hivyo nawe una kasoro, kwa nini unajiita Mamzalendo? Unahofia nini kutumia majina yako?
 
Helllo fellows!

A point to note :

Polonium is so poisonus that victims have less than 30 days before life escapes out of them.

Do you remember that famous Russian writer (former KGB agent) who died in Britain?

He didnt last 3 weeks. Plus the chemical i.e Polonium doesnt cause serious harm from exposure

or contact, so transporting it wouldnt require any extreme care or special devices.

"But polonium emits "wimpy" alpha particles, easily blocked by skin or even a few inches of air.

(For this reason, a sealed container's walls would screen the stuff from radiation detectors.)

And that means it must be swallowed or inhaled to kill someone, its alpha emissions destroying tissues as it travels through the bloodstream.

Health physicists view eating polonium as the most deadly route. Slowly traveling through the intestine, its radioactivity would kill sensitive cells, spurring food poisoning symptoms. Polonium would then accumulate in the kidney and spleen over the next few days, causing weakness.

Finally, its arrival in the bone marrow would kill white blood cells. "
 
Hapa ikitokea wote wawili waliopo Apollo wakatutoka tunarudia tena hii story.
Tunawaombea wapone haraka na walejee nchini kupambana
 
What the hell is this!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????????
 
namkumbuka Joram Kiango kwenye Orodha ya Watakao uawa. Ben R. Mtobwa alitumia akili nyingi sana kuandika kitabu kile.
 
Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.

RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5

Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao:

Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema “nahitaji ripoti ya utekelezaji”.

Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu,

1 Samweli Sitta
2 Harison Mwakyembe
3 Mark Mwandosya
Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea

Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu!

1.Wilblod Slaa

Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa.

Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo.

Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri.

Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa.

Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:

Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.

Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011.

Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.

Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali.

Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.

Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali,

Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais.

Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City.

Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita
Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK.

Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.

Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.

Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete.

Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali.

Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi.

Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.

Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India

ASANTENI SANA:
JASON BOURNE

JF is a place where we dare to talk openly, What these stand for

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5
  7. LTK/D00/B10
  8. LTK/D00/B17
  9. LTK/D00/B21
  10. LTK/D00/B14 etc.
 
Back
Top Bottom