Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Hivi hao walio kubali kuuziwa walikuwa katika akili zao timamu au walishikiwa mtutu wa bunduki? Ni sheria gani inayo kataza ukikopa kutoka kwa mtu usiweze kufanya nae biashara? Yule ni mfanyabiashara, akili ya mfanyabiashara siku zote ni kuwaza fursa na namna atakavyoweza kuitumia hiyo fursa kujipatia faida katika kile alicho invest.Hivi unataka kutuambia katika hiyo mikopo alikuwa hatozwi riba?
Ndio maana nikasema wengi wetu kama sio sote tu wahanga wa 'slavery mentality'.
Wewe uliwahi kuona wapi tangazo la mifuko hii kukopesha watu, hata wanachama halali hawaruhusiwi lakini yeye alikopa! Naa baada ya kuwauzia na kutengeneza 'great super extra profit' sisi huku mtaani wamiliki halali wa hizo pesa hatuna hata uhakika wa milo miwili lakini tunaongea tu eti "Mwenyezi Mungu kamjaalia"! Can you imagine!?
Ndio maana nasema kama nchi kuna mambo ambayo tukiyafanya basi tutaona fahali na si aibu ya kuitwa Mtz.
 
Mkuu mi naomba haki ya kucopy huu ujumbe wako na nika upaste pale popote ambapo kuna chembe chembe za kumtetea manji..Kweli sisi watanzania ni WANAFKI SAANA...[HASHTAG]#TuachanenaUNAFIKI[/HASHTAG]
Ongeza hash tag Bwana Mapesa
 
hv kwa mfano uhamiaji wakisema walimuita kwaajili ya kumuhoji kwanini anatumia passport za nchi mbili na sheria hairuhusu...mtasema ameonewa?? nawaza tu....!!!
Mifano ya nini wampeleke mahakamani kulingana na kosa si kubahatisha hapa mara pale.
 
Huwezi pewa dhamana mpaka uchunguzi ukamilike na makosa yaandikwe... Unajuaje kama mwisho akakutwa hata na kosa la uuzaji kwa mfano? is it a bailable offence?
Kumbe tunaongea na mtu asiyejua chchote ni shida kwa anakabiliwa na mauaji au uhaini?
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Unamaanisha wamshtaki kwa makosa WALIOKULA NAE, na si haya ambayo Kanjbhai kala pekeake!
 
wanamshutumu sasa subirini na yeye akianza kuongea watu watabaki na butwaa, mkitaka kuchokonoa hayo, huyu jamaa namuona ana siri sana
 
Hata kama mtu alituhumia na alitajwa kwa tuhuma basi sio tiketi ya kumtuhumu kwa uongo lazima watu wapige kelele.

Hii inaonyesha kuwa wapinzani hawana chuki binafsi walimpinga alipokosea wanamtetea anapoonewa.
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Kwahyo umepata ugali kwingne umeamua kumkana boss wako wa zamani?..
 
Back
Top Bottom