Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Stop telling lies.

ALLAH = ALLAH, the word Allah has no tafsir refer Al Tafsir.com - Tafseer Holy Quran from all Tafseer Schools, Quran Translations, Quran Recitations, Quran Interpretation (Tafseer), Quran Sciences, and Love In Quran

ILAHA = GOD

ILA = Except, here your deity is dying the existence of God.

Psalm 14: 1 To the chief Musician, A Psalm of David. The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Who said "LA ILAHA ILA ALLAH"? The person fits the description of a fool.

'Na unapo waona (Makafiri) wana ziingilia Aya zetu (za Qur'an) basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. Na kama Shetani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi basi usikae pamoja na watu madhalimu.
Qur'an: 6:68.
 
Tunasema, Mahakama ya Kadhi ibaki kwa kadhi na waislamu. Hatutaki muiweke kwenye katiba yetu hata kidogo. Hivi nyie mnaona sisi ni mazezeta sana eeeh?
Sasa kama mnaitaka hiyo mahaka yenu amueni moja, either kuanzisha wenyewe na mgharamikie wenyewe au nendeni Kenya.

Hamtaki wewe na nani !?.........kwani Katiba ni ya Kanisa !?
Uzezeta jiulize mwenyewe, haswa unapokunywa wine Altareni na kuambiwa 'hii ni damu ya Bwana !'
JJB
 
Last edited by a moderator:
Tunachotaka c kupewa fedha na serekali kuendesha mahakama, bali tunachotaka ni kutambulika kikatiba ili pale tunapohukumiana kesi zetu kama vile, mirathi, talaka, ndoa na usia, isiwe tena mtu akienda mahakama za mwanzo ukumu hiyo iwe ni batili kwa sababu haipo kikatiba.
Tatizo sio mahakama kuwepo, mahakama tayari zipo lakini shida ni kwamba tunapohukumiana kesi zetu serekali haitambui hukumu hizi.
Uislamu ni tofauti na uislamu, ukiristo hauna sheria zinazotawala maisha yote ya watu kv uchumi, siasa, jamii nk, bali kuna kanuni tu na muongozo wa kuabudu, lakini ktk uislamu kuna sheria zinzotawala maisha yote ya binadamu. Na kutekeleza sheria hizo kwao ni sehemu ya ibada, sasa kumzuilia muislamu asitekeleze sheria za dini yake ni sawa na kunyima uhuru wa kuabudu jambo ambalo serekali hana dini lakini inasema inatoa uhuru wa kuabudu kwa wananchi wake. Sasa inakuaje uhuru huo itoe nusu nusu?

hivi unajua maana halisi ya katiba?? Hebu nkueleweshe kila mwananchi ni lazima atii na kufuata kilichomo ndan ya katiba, na lolote lililomo ndan ya katiba laweza mfunga mwananhi yyte apatikanapo na kosa! Sasa hiyo mahakama ya kadhi ni ya nn kwenye katiba kama haiwahusu watanzania wote??? Na kama n kwa ajil yenu tu kwann msiombe kibal nyie kama nyie kwa serikal na mnataka kuipitisha kwenye katiba il hal mnajua kuwa katiba ni kwa ajil ya watu wote na sio kwa ajil ya mambo binafsi??? Hebu jipangen bwana, masuala ya din ya nn kwenye katiba???
 
mahakama ya kadhi no katiba ya Tz, mkiitaka waiteni wale wafadhili wenu wa kiarabu wanaowajengea misikiti wawajengee hizo mahakama na kuwahudumia hao wafanyakazi wake
 
'Na unapo waona (Makafiri) wana ziingilia Aya zetu (za Qur'an) basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. Na kama Shetani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi basi usikae pamoja na watu madhalimu.
Qur'an: 6:68.
I can smell fear of education from you. Why are you so scared son?
 
Kwa hiyo kodi za bia, kitimoto na haramu zingine zilipie hiyo mahakama ya kadhi?
 
Kwa hiyo kodi za bia, kitimoto na haramu zingine zilipie hiyo mahakama ya kadhi?

.....umesahau kuwa na ya kwangu imo !?.........tatizo lenu mnajisahauu ! Au Title Deed ya Nci hii anayo Papa Francis !?:A S-eek: nkongu ndasu
 
Last edited by a moderator:
Kwa sababu wewe unaabudu sanamu na mimi ninaabudu Mungu wa kweli na wa haki na aliyemtuma Yesu Kristu !
Those are your own assumptions. In fact, it is you who believe in Idols to the point of allowing the Moon to chose a day to start fasting and a day to stop your fast.

You must be a moon worshiper.
 
Pursuant to the Islamic definitions, Shariah means a way of life, and it's the way that Allah(swt) wants Muslims to behave/live, therefore the Quran by default does include the Shariah although there is no verse to support that. But I also think (and have heard) that where Sharia Law has been implemented, some of it may have been changed and taken out of context.

So, I was wondering, does the Quran actually say that Allah(swt)'s creation, should stone a person to death?

cc: Nonda , Ally Kombo 2013 Eiyer Mkuu wa chuo
 
Last edited by a moderator:
Pursuant to the Islamic definitions, Shariah means a way of life, and it's the way that Allah(swt) wants Muslims to behave/live, therefore the Quran by default does include the Shariah although there is no verse to support that. But I also think (and have heard) that where Sharia Law has been implemented, some of it may have been changed and taken out of context.

So, I was wondering, does the Quran actually say that Allah(swt)'s creation, should stone a person to death?

cc: Nonda , Ally Kombo 2013 Eiyer Mkuu wa chuo

Get a copy of Quran and read. Or a translation of Quran.
link Jesus preaching Jihad ..???? - YouTube
 
Hamtaki wewe na nani !?.........kwani Katiba ni ya Kanisa !?
Uzezeta jiulize mwenyewe, haswa unapokunywa wine Altareni na kuambiwa 'hii ni damu ya Bwana !'
JJB

HATAki yeye na mimi na wakristo wote kwa ujumla
 
Last edited by a moderator:
Kweli we ni chapati! Una uwezo wa kumsaidia nani wakat maisha yako yenyewe ni ya kuvizia. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya Makafiri.

so mnataka iwepo kwenye katiba ili hao mnawaita makafiri wawajengee kwa kutumia kodi zao za Kitimoto
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kubwa hapo elimu ndio tatizo. mahakama ya kadhi sawa haiwahusu wakristo inawahusu waislamu na ndiomaana wanaidai. Na halazimishwi kila muislamu kupeleka kesi yake hapo kama hutaki kupeleka hapo unaenda kwenye ya serikali.Na mkristo kuzaa na muislamu au muislamu kuzaa na mkristo hiyo ni zinaa umefanya omba mungu akusamehe maana nidhambi kubwa kuzini kabla hujaoa. na mambo ambayo yanatakiwa kwenye hiyo mahakama ya kadhi yameainishwa nashangaa kupinga tu bila kujua. Na hiyo mahakama kuingizwa kwenye katiba ni kutambulika tu na kupewa meno sio lazima itumike pesa ya serikali. lkn mnasahau pesa wanazopewa makanisa waislamu wamenyamaza. sio kila kilichopo kwenye katiba ni cha watanzania wote na ndiomaana wameenda wawakilishi.

labda ungenifungua akili kidogo ni pesa zipi walizopewa makanisa na serikali
 
JJB mie nishasema kuwa Katiba ikija bila ya mahakama ya kadhi naipigia kura ya hapana na sio msimamo wangu na waislamu wengi tushasema bila ya hilo hakuna katiba mpya. Bora mkubali ibakie hiyo hiyo katiba ya 1977 lakini mkileta katiba mpya bila ya mahakama ya kadhi hakuna mwislamu ataipigia kura tuone nani mshindi!!!

we upige usipige itapita tuu kwa sababu wakristo ndo wengi kuliko waislamu
 
Back
Top Bottom