Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Na Bucha za Kikristo ziwepo basi ili twende sawa... Nyie mjijue na sie tujijue

.........walijishaua kwenye kuchinja, leo wako wapi !?...........labda warudie kunywa kikombe cha babu !
 
  • Thanks
Reactions: Asm
Kenya ni nchi ya kiislam...?
Uganda ni nchi ya kiislam..?
umburula tu unakuzingua

Ongezea na hizi
UINGEREZA
ITALY
MAREKANI

Hivi kuna nchi yenye ukristo uliokithiri kama Italy?,basi Vatican chief kadhi yupo na anapiga kazi kama kawaida.
Acheni bias
 
Kenya ni nchi ya kiislam...?Uganda ni nchi ya kiislam..?umburula tu unakuzingua
Kama mahakama ya kadhi haitakata mikono wezi,kupiga mawe mpaka kifo wazinifu nk(kama ilivyoamriwa na shari za kiislamu) then hiyo mahakama ya kadhi.lengo lake ni nini?Ndio maana wakristo tunasema,mahakama hii ni ya maslahi zaidi kuliko malengo yaliyokusudiwa!!
 
Kumbe hamna uelewa wa kutosha juu ya hiyo mahakama ya Kadhi mnayoshupalia isiwe,basi tuulizeni tuwape majawabu kuliko kupandikiza chuki kwa vitu msivyovijua.

Fuatilia mahakama ya Kadhi ya uingereza,ulishawahi kusikia mtu amekatwa mkono?,acheni upotoshaji
 
...........how can someone argue with a fool !?:A S-eek:

Psalm 14: 1 To the chief Musician,
A Psalm of David. The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Who said "LA ILAHA ILA ALLAH"? The person fits the description of a fool.
 
it not a dream, it is a reality, it is on the table, it is on demand !
There is no reality in the jibrilic malarky, in the same token, Kadhi is inhuman and contained fatal clauses that are unconstitutional and not acceptable to the civilized humanity.
 
There is no reality in the jibrilic malarky, in the same token, Kadhi is inhuman and contained fatal clauses that are unconstitutional and not acceptable to the civilized humanity.

........umejifunza hayo wapi na chuo gani !?....Makka, Madina, Khatoum au Algiers au Tripoli !?
Au ni kuropoka tuu !
Islamic Law watu wana graduate from Dip. to PhD. hivyo acha kuopoka Ishmael
 
Last edited by a moderator:

Psalm 14: 1 To the chief Musician,
A Psalm of David. The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Who said "LA ILAHA ILA ALLAH"? The person fits the description of a fool.

La = hakuna
Ilaha = mungu (mwingine, iwe Yesu, Budha, Krishna, Hare Rama, Sai Baba au yule Wanyonyi)
Ila = isipokuwa
Allah = Mola Mwenyezi (Allah Swt)

Hapo Kenya kuna Mtu anaitwa Wanyonyi, anasema yeye ni Baba yake Yesu na yeye ndiye mungu mwenyewe !
 
NO TO MAHAKAMA YA KADHI.

Msipoteze muda haitapita hiyo.

Kama ikipita wakristo tujianda KIZINIWA bila kujali jinsia.
 
Kumbe hamna uelewa wa kutosha juu ya hiyo mahakama ya Kadhi mnayoshupalia isiwe,basi tuulizeni tuwape majawabu kuliko kupandikiza chuki kwa vitu msivyovijua.

Fuatilia mahakama ya Kadhi ya uingereza,ulishawahi kusikia mtu amekatwa mkono?,acheni upotoshaji

........wanajidanganya wanaweza kuizima nuru !...........wenye akili wote wameanzisha.
 
Kama mahakama ya kadhi haitakata mikono wezi,kupiga mawe mpaka kifo wazinifu nk(kama ilivyoamriwa na shari za kiislamu) then hiyo mahakama ya kadhi.lengo lake ni nini?Ndio maana wakristo tunasema,mahakama hii ni ya maslahi zaidi kuliko malengo yaliyokusudiwa!!

...kumbe hujui chochote, lakini ndio unaongoza kwa upotoshaji na ubishi usio na maana ! ....walikuwepo kabla yako wabishi kama wewe, lakini wako wapi ?! Ishmael aka multi- id member.

'Na hakika tumeifanya nyepesi (hii Qur'an) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo watu wabishi.

'Na kaumu (vizazi) ngapi tumezihiliki kabla yao. Je ! Unawaona hata mmoja katika wao au unasikia hata mchakato wao ?

Qur'an: 19:97-98.
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

Mbona na wewe hujatoa haja madhubuti za kupinga jambo hili? Unaishia kupinga tu bila hoja za msingi? Serekali haina dini lakini inaowaongoza je?
 
Tunasema, Mahakama ya Kadhi ibaki kwa kadhi na waislamu. Hatutaki muiweke kwenye katiba yetu hata kidogo. Hivi nyie mnaona sisi ni mazezeta sana eeeh?
Sasa kama mnaitaka hiyo mahaka yenu amueni moja, either kuanzisha wenyewe na mgharamikie wenyewe au nendeni Kenya.

Tunachotaka c kupewa fedha na serekali kuendesha mahakama, bali tunachotaka ni kutambulika kikatiba ili pale tunapohukumiana kesi zetu kama vile, mirathi, talaka, ndoa na usia, isiwe tena mtu akienda mahakama za mwanzo ukumu hiyo iwe ni batili kwa sababu haipo kikatiba.
Tatizo sio mahakama kuwepo, mahakama tayari zipo lakini shida ni kwamba tunapohukumiana kesi zetu serekali haitambui hukumu hizi.
Uislamu ni tofauti na uislamu, ukiristo hauna sheria zinazotawala maisha yote ya watu kv uchumi, siasa, jamii nk, bali kuna kanuni tu na muongozo wa kuabudu, lakini ktk uislamu kuna sheria zinzotawala maisha yote ya binadamu. Na kutekeleza sheria hizo kwao ni sehemu ya ibada, sasa kumzuilia muislamu asitekeleze sheria za dini yake ni sawa na kunyima uhuru wa kuabudu jambo ambalo serekali hana dini lakini inasema inatoa uhuru wa kuabudu kwa wananchi wake. Sasa inakuaje uhuru huo itoe nusu nusu?
 
La = hakuna
Ilaha = mungu (mwingine, iwe Yesu, Budha, Krishna, Hare Rama, Sai Baba au yule Wanyonyi)
Ila = isipokuwa
Allah = Mola Mwenyezi (Allah Swt)

Hapo Kenya kuna Mtu anaitwa Wanyonyi, anasema yeye ni Baba yake Yesu na yeye ndiye mungu mwenyewe !

Stop telling lies.

ALLAH = ALLAH, the word Allah has no tafsir refer Al Tafsir.com - Tafseer Holy Quran from all Tafseer Schools, Quran Translations, Quran Recitations, Quran Interpretation (Tafseer), Quran Sciences, and Love In Quran

ILAHA = GOD

ILA = Except, here your deity is dying the existence of God.

Psalm 14: 1 To the chief Musician, A Psalm of David. The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Who said "LA ILAHA ILA ALLAH"? The person fits the description of a fool.
 
Back
Top Bottom