Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

we jibu kwa kifupu kwamba kilichoharamu kwenu chafaa kuwasaidia

kifupi ndo hicho, tunatumia dawa zilizonunuliwa na pesa za kitimoto ! ........hivyo usijali sana kwenye katiba na Kadhi itakuwa hivyo hivyo !
 
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Ndio maana ya kusoma (Madrasa) ! unaelimika na kupata majibu ya maswali yako.

Sasa nikuulize (kama una yakini na akili za kufikiri) huyo amabaye anaapia kwake ni nani !?.....kaumba kike na kiume (yaani: kila kilichoumbwa na kinacho zaa, kina kike na kiume)

Kwa mfano:
Mkuu wa Majeshi akiapa kwa nguvu ya jeshi lake kuwa atakuangamiza na kukumaliza kabisa ! Je, ameapa kwa nani !?....na jeshi ni la nani !??

'Yeye (Allah SWT) ndiye aliyekuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maalum (wa kiama ) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi (msioamini) mnatia shaka.
Qur'an:6:2
 
Je haya ni meneno aliyosema Yesu? Kama jibu ni ndio,yana maana ipi?

But those enemies of mine who did not want me to be king over them--bring them here and kill them in front of me.'"Luke 19:27

Unataka kusema hayo maneno yamepachikwa tu katika biblia, sio maneno aliyosema Yesu? Kama ni meneno aliyosema yana maana ipi?

Hii aya ya Mathayo 24:5 inahusu zaidi wale wazushi wa mwaka 325 na 381 C.E.
Kwani Yesu alitufundisha haya

"The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel: The Lord our God, the Lord is one. Mark 12:29
"'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:30

Wao waligeuza/ walitudanganya kwa hili, the doctrine of the Bianity (325 C.E.) and Trinity (381 C.E.)

Link Did Someone Find the Doctrine of the Trinity In the Name of God? Why is God’s Name “Elohim” Plural? | Outreach Judaism

Tembelea ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace

Tembelea Jesus (PBUH) - GainPeace

Hueleweki kabisa wewe .....

Jifunze kutpa hoja zilizoko kwenye context ya swali uliloulizwa!
 
Ndio maana ya kusoma (Madrasa) ! unaelimika na kupata majibu ya maswali yako.

Sasa nikuulize (kama una yakini na akili za kufikiri) huyo amabaye anaapia kwake ni nani !?.....kaumba kike na kiume (yaani: kila kilichoumbwa na kinacho zaa, kina kike na kiume)

Kwa mfano:
Mkuu wa Majeshi akiapa kwa nguvu ya jeshi lake kuwa atakuangamiza na kukumaliza kabisa ! Je, ameapa kwa nani !?....na jeshi ni la nani !??

'Yeye (Allah SWT) ndiye aliyekuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maalum (wa kiama ) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi (msioamini) mnatia shaka.
Qur'an:6:2
Hivi wewe unajua maana ya kiapo?

Huwezi kuapa kwa kile ambacho ni dhaifu kuliko wewe

Mbunge anapoapa kuitunza katiba hiyo ina maana katiba ina nguvu kuliko yeye

Sasa Allah anaapa kwa viumbe vyake hicho si kituko?
Halafu tangu lini Mungu akaapa?
 
Allah SWT ana apa kwa giza na mwangaza !
Je, unaweza kutuletea hapa au kututajia aliyeumba giza n mwangaza !

Huwezi kuzijua 'nahau' za Qur'an Tukufu, vinginevyo omba darasa ! Eiyer

Mfano
'Naapa kwa usiku ufunikapo. Mchana uingiapo, na kwa aliyeumba kiume na kike.
Qur'an: 92 1-3

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na ardhi na akafanya giza (usiku) na mwangaza (mchana).
Qur'an: 6:1.
 
Hiyo ya Online, jisomee tu kama unatafuta ukweli.

Ningekushauri tu. Iheshimu Qurani hata kama wewe si muislamu. Hutapenda kuona mtu ambaye si wa imani yako akichezea kitabu cha imani yako.

Kimsingi Qurani inatakiwa ihifadhiwe moyoni(akilini) na sio makaratasini. Hii ni moja ya kitu pekee kwa waislamu. Unaweza pata hata watoto wadogo wamehidhi Qurani yote kwa moyo.

Kama imehifadhiwa moyoni, utata wa kugusa, kuchezea au kuchoma moto unapotea. Au vipi?

Imeandikwa kwenye makaratasi kama kumbukumbu kwa wanaofuatia(kurithishana vizazi kwa vizazi). Utata wa kuwepo versions tofauti haukupewa nafasi katika uhifadhi wa kitabu Qurani.

La msingi wewe soma Qurani upate maarifa na ukweli.

Au kama unatafuta ugomvi na wenyewe, jaribu kuchoma au kuidharau Qurani mbele ya waislamu. Watakufunza heshima!

kuhusu baibo huwa wananunua . zinauzwa bei karibu na bure. hasa biblia za Gideoni. Naskia koran ili mtu aishike inabidi awe ametawadha sijui- nilikuwa na ustadhi nakaa naye alikuwa haweki kitu juu yake. na hataki iguswe na mtu wa kawaida. nauliza tu...

'Na lau tungekuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangalisema waliokufuru; Haya si chochote ila ni uchawa dhaahiri.
Qur'an: 6:7.
 
Ndio maana ya kusoma (Madrasa) ! unaelimika na kupata majibu ya maswali yako.

Sasa nikuulize (kama una yakini na akili za kufikiri) huyo amabaye anaapia kwake ni nani !?.....kaumba kike na kiume (yaani: kila kilichoumbwa na kinacho zaa, kina kike na kiume)

Kwa mfano:
Mkuu wa Majeshi akiapa kwa nguvu ya jeshi lake kuwa atakuangamiza na kukumaliza kabisa ! Je, ameapa kwa nani !?....na jeshi ni la nani !??

'Yeye (Allah SWT) ndiye aliyekuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maalum (wa kiama ) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi (msioamini) mnatia shaka.
Qur'an:6:2
Madrassa is full of recyclable garbage. How can a sane person believe in a 6th Century deity who said that the earth if Flat like a carpet?

You must be kidding me.
 
Allah SWT ana apa kwa giza na mwangaza !
Je, unaweza kutuletea hapa au kututajia aliyeumba giza n mwangaza !

Huwezi kuzijua 'nahau' za Qur'an Tukufu, vinginevyo omba darasa ! Eiyer

Mfano
'Naapa kwa usiku ufunikapo. Mchana uingiapo, na kwa aliyeumba kiume na kike.
Qur'an: 92 1-3

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na ardhi na akafanya giza (usiku) na mwangaza (mchana).
Qur'an: 6:1.

Ukiniuliza aliyeumba kila kitu nitakujibu halafu utatoka nje ya nilichokuuliza

Nimekuuliza kama unajua maana ya kuapa,badala ya kunijibu umekuja na maelezo ambayo hata hayahalalishi madai ya mungu wako kuapa kwa aliyeviumba

Kwanini aape kwa alivyoviumba?

Tangu lini Mungu akaapa?
 
Hiyo ya Online, jisomee tu kama unatafuta ukweli.

Ningekushauri tu. Iheshimu Qurani hata kama wewe si muislamu. Hutapenda kuona mtu ambaye si wa imani yako akichezea kitabu cha imani yako.

Kimsingi Qurani inatakiwa ihifadhiwe moyoni(akilini) na sio makaratasini. Hii ni moja ya kitu pekee kwa waislamu. Unaweza pata hata watoto wadogo wamehidhi Qurani yote kwa moyo.

Kama imehifadhiwa moyoni, utata wa kugusa, kuchezea au kuchoma moto unapotea. Au vipi?

Imeandikwa kwenye makaratasi kama kumbukumbu kwa wanaofuatia(kurithishana vizazi kwa vizazi). Utata wa kuwepo versions tofauti haukupewa nafasi katika uhifadhi wa kitabu Qurani.

La msingi wewe soma Qurani upate maarifa na ukweli.

Au kama unatafuta ugomvi na wenyewe, jaribu kuchoma au kuidharau Qurani mbele ya waislamu. Watakufunza heshima!

kuhusu baibo huwa wananunua . zinauzwa bei karibu na bure. hasa biblia za Gideoni. Naskia koran ili mtu aishike inabidi awe ametawadha sijui- nilikuwa na ustadhi nakaa naye alikuwa haweki kitu juu yake. na hataki iguswe na mtu wa kawaida. nauliza tu...

Madrassa is full of recyclable garbage. How can a sane person believe in a 6th Century deity who said that the earth if Flat like a carpet?

You must be kidding me.

Chuki zitakutoa mimba ndugu !

'Na hapana mnyama katika ardhi, wala ndege anayeruka kwa mbawa zake mbili ila ni umma kama nyinyi (binaadamu). Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa.
Qur'an:6:38
 
Ukiniuliza aliyeumba kila kitu nitakujibu halafu utatoka nje ya nilichokuuliza

Nimekuuliza kama unajua maana ya kuapa,badala ya kunijibu umekuja na maelezo ambayo hata hayahalalishi madai ya mungu wako kuapa kwa aliyeviumba

Kwanini aape kwa alivyoviumba?

Tangu lini Mungu akaapa?

Tuliza kichwa chako !..........ubishi haukusaidii kitu !..............nimekuuliza unazijua "nahau" za Qur'an !??.......unajua tafsiri !?? (maana hiyo ni Taaluma)
Haya basi nitajie aliyeumba usiku na mchana Maana Allah atakua anaapa kwake !
 
I don't believe in the Quran.

You do not need to believe in the Quran to be able to read it...read first with open mind and to your surprise, when you find the truth you will recognise it.

Once you know the truth, it is up to you to deny it or embrace it.

Good luck, bro. link Surat Al-Fatihah - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Angalia hii video kuanzia dakika ya 3:34, huyu jamaa alikuwa na mawazo kama ya kwako."I do't believe in the Quran." but he dared to read it. link From Mormonism to Islam (Ex-Mormon priest)-2/5 - YouTube
 
There is no any truth in the Quran. The Bible says, ye shall know the truth and the truth shall set ye free. Jesus said, I am the way, THE TRUTH, and the life. Allah never say he is the truth, in the same token, Muhammad never say that he is the truth. Now, show me the truth in the Quran?
 
Mimi hupenda kusoma hivi vitu katika biblia.
On the eighth day the boy is to be circumcised. Leviticus 12:3,
Na maneno ya "Mungu" katika ayat: Ezekiel 23
If Allah is God, can you show me the ayat that says Muhammad was circumcised?
 
Tuliza kichwa chako !..........ubishi haukusaidii kitu !..............nimekuuliza unazijua "nahau" za Qur'an !??.......unajua tafsiri !?? (maana hiyo ni Taaluma)
Haya basi nitajie aliyeumba usiku na mchana Maana Allah atakua anaapa kwake !
Msiba huu. Sasa wanamzulia uongo Allah. Ooops, Allah kasusha nahau. I mean, yani umeishiwa namna hii? cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Msiba huu. Sasa wanamzulia uongo Allah. Ooops, Allah kasusha nahau. I mean, yani umeishiwa namna hii? cc Eiyer

...........umehepaa !.........unajitoa fahamu sasa ! tuambie aliyeumba usiku na mchana ni nani ?...kike na kiume ni nani ?
Yesu....!?
 
Back
Top Bottom