Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Those are your own assumptions. In fact, it is you who believe in Idols to the point of allowing the Moon to chose a day to start fasting and a day to stop your fast.

You must be a moon worshiper.

Haswaaaaaa .....!!
 
Pursuant to the Islamic definitions, Shariah means a way of life, and it's the way that Allah(swt) wants Muslims to behave/live, therefore the Quran by default does include the Shariah although there is no verse to support that. But I also think (and have heard) that where Sharia Law has been implemented, some of it may have been changed and taken out of context.

So, I was wondering, does the Quran actually say that Allah(swt)'s creation, should stone a person to death?

cc: Nonda , Ally Kombo 2013 Eiyer Mkuu wa chuo
Allah No.. Muhammad wants that.. :bump2: Kill in the way of Allah. Ngoja niwaite Majembe wengine
CC kahtaan, @schiendler @X out @MaxShimba
Lisa Valentine Elungata
 
Those are your own assumptions. In fact, it is you who believe in Idols to the point of allowing the Moon to chose a day to start fasting and a day to stop your fast.

You must be a moon worshiper.

poor you TanzaniaLaw !.........hujui tofauti ya kuabudu na kuangalia mwezi ! Nyie Mnaabudu jua, ndio maana Ibada zenu ni siku ya 'Jua' (Sunday)
Hivyo vyote vimeumbwa na mjuzi wa wajuzi Allah SWT.

'Yeye ndiye aliyekuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi. Tena akazielekeza mbingu, na akazifanya mbingu saba. Naye (Allah SWT) ndiye Mjuzi wa kila kitu.
Qur'an: 2:29.
 
Last edited by a moderator:
.........walijishaua kwenye kuchinja, leo wako wapi !?...........labda warudie kunywa kikombe cha babu !

Wataweza wapi wanapinga tu mahakama isiwepo kwa chuki tu. Mbona kuna mkristo kasema katiba isiweke siku ya jumapili kwa ajili ya uchaguzi maana ina bughudhi wakristo kwenye ibada,je umesikia muislam gani kapinga. Wanajidanganya sana hawa majinuni na wao waseme mahakama zao zijadiliwe na kama hawana wakae kimya.
 
Ni Yesu gani huyo?

Angalia asijekuwa miongoni mwa hawa hapa;

Mathayo 24:5
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

Je haya ni meneno aliyosema Yesu? Kama jibu ni ndio,yana maana ipi?

But those enemies of mine who did not want me to be king over them--bring them here and kill them in front of me.'"Luke 19:27

Unataka kusema hayo maneno yamepachikwa tu katika biblia, sio maneno aliyosema Yesu? Kama ni meneno aliyosema yana maana ipi?

Ni Yesu gani huyo?
Angalia asijekuwa miongoni mwa hawa hapa;
Mathayo 24:5
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

Hii aya ya Mathayo 24:5 inahusu zaidi wale wazushi wa mwaka 325 na 381 C.E.
Kwani Yesu alitufundisha haya

"The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel: The Lord our God, the Lord is one. Mark 12:29
"'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:30

Wao waligeuza/ walitudanganya kwa hili, the doctrine of the Bianity (325 C.E.) and Trinity (381 C.E.)

Link Did Someone Find the Doctrine of the Trinity In the Name of God? Why is God’s Name “Elohim” Plural? | Outreach Judaism

Tembelea ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace

Tembelea Jesus (PBUH) - GainPeace
 
poor you TanzaniaLaw !.........hujui tofauti ya kuabudu na kuangalia mwezi ! Nyie Mnaabudu jua, ndio maana Ibada zenu ni siku ya 'Jua' (Sunday)
Hivyo vyote vimeumbwa na mjuzi wa wajuzi Allah SWT.

'Yeye ndiye aliyekuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi. Tena akazielekeza mbingu, na akazifanya mbingu saba. Naye (Allah SWT) ndiye Mjuzi wa kila kitu.
Qur'an: 2:29.

Allah did not create anything.

JE, NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake?
 
Soma pole pole ama kwa kutulizanisha akili na si kwa ubishi, nakuhakikishia utafahamu uzuri.

Hebu anza kufanza tafakuri kunako hiyo aya ya kwanza, kisha ya pili na ukamilishe kwayo ya tatu.

Maana kwa ulizo lako, yaonesha hizo aayaati mbili za mwando mezifahamu uzuri,
Sasa kama hivyo ndivyo, shida/ kiwingu kimekugubika wapi hadi ulewe ufahamu...!?

Nipo kipembeni hapa.
 
Hebu pitia na aaya hizi, huenda ukaketi sawa.

Quran 89 aya 1-5

1: Naapa kwa Alfajr

2: Na kwa masiku kumi

3: Na kwa "shafi" na "witri"

4: Na kwa usiku unapopita

5: (Naapa nasema kuwa) kuna katika haya(kuonekana) kiapo kwa mwenye akili (akaogopa).

Tulia ukiwa unaitafuta haki na usieke ushabiki au kusoma nusu nusu pasi na kufanza Conclusion.

Ningali kipembeni hapa.
 
Hebu pitia na aaya hizi, huenda ukaketi sawa.

Quran 89 aya 1-5

1: Naapa kwa Alfajr

2: Na kwa masiku kumi

3: Na kwa "shafi" na "witri"

4: Na kwa usiku unapopita

5: (Naapa nasema kuwa) kuna katika haya(kuonekana) kiapo kwa mwenye akili (akaogopa).

Tulia ukiwa unaitafuta haki na usieke ushabiki au kusoma nusu nusu pasi na kufanza Conclusion.

Ningali kipembeni hapa.
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.
 
kuhusu baibo huwa wananunua . zinauzwa bei karibu na bure. hasa biblia za Gideoni. Naskia koran ili mtu aishike inabidi awe ametawadha sijui- nilikuwa na ustadhi nakaa naye alikuwa haweki kitu juu yake. na hataki iguswe na mtu wa kawaida. nauliza tu...

Hiyo ya Online, jisomee tu kama unatafuta ukweli.

Ningekushauri tu. Iheshimu Qurani hata kama wewe si muislamu. Hutapenda kuona mtu ambaye si wa imani yako akichezea kitabu cha imani yako.

Kimsingi Qurani inatakiwa ihifadhiwe moyoni(akilini) na sio makaratasini. Hii ni moja ya kitu pekee kwa waislamu. Unaweza pata hata watoto wadogo wamehidhi Qurani yote kwa moyo.

Kama imehifadhiwa moyoni, utata wa kugusa, kuchezea au kuchoma moto unapotea. Au vipi?

Imeandikwa kwenye makaratasi kama kumbukumbu kwa wanaofuatia(kurithishana vizazi kwa vizazi). Utata wa kuwepo versions tofauti haukupewa nafasi katika uhifadhi wa kitabu Qurani.

La msingi wewe soma Qurani upate maarifa na ukweli.

Au kama unatafuta ugomvi na wenyewe, jaribu kuchoma au kuidharau Qurani mbele ya waislamu. Watakufunza heshima!
 
Back
Top Bottom