Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Naomba mlete kifungu kutoka kwenye msahafu kinachosema mahakama ya kadhi iwepo kwenye katiba za nchi.Na pia watekelezaji wawe ni serikali.
Matayo 5
25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati
uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije
akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka
kwa askari, ukatupwa gerezani.
Yesu alizungumza mambo ya msingi na kadhi alikuwepo wakati wa Yesu.Labda kama kanisani hamsomewi