Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Naomba mlete kifungu kutoka kwenye msahafu kinachosema mahakama ya kadhi iwepo kwenye katiba za nchi.Na pia watekelezaji wawe ni serikali.
Kuna rafiki zangu wa huko Uganda na Kenya waislam wanasema hizo mahakama za kadhi siyo nzuri na hazitoi haki hasa kwa wanawake wa kiislam. Cha kushangaza wao ndio loudest huko bungeni kuidai mahakama hiyo!Katafute viroba unywe wewe !
Acheni cha waislam kiwe cha waislam. Ninyi makafiri mnajadili mahakama ya kadhi ya nini? Nanyinyi Ombeni sheria ya ushoga iingie kwenye katiba kwani mabwana zenu wanapeana mpaka uaskofu wakiwa mashoga.
Hayo ni Mawazo yako finyu. Mahakama ya kadhi haihitaji pesa ya serikali.
Asante wewe ni mpumb.avu wa kutupwaa !
Wanamacho hawaoni,wanamasikio hawasikii,wakristo niwepesi sana kukimbilia kwenye udini.mbona kunamgombea urais wa chama fulani nipadrii na waisilam wanamunga mkono?
Hayo ni Mawazo yako finyu. Mahakama ya kadhi haihitaji pesa ya serikali.
Acheni cha waislam kiwe cha waislam. Ninyi makafiri mnajadili mahakama ya kadhi ya nini? Nanyinyi Ombeni sheria ya ushoga iingie kwenye katiba kwani mabwana zenu wanapeana mpaka uaskofu wakiwa mashoga.
Asante wewe ni mpumb.avu wa kutupwaa !
Hili linatuhusu mkuu kwa sababu mnataka liingie kwenye katiba,kumbuka katiba ni yetu sote hivyo hatutaki impendelee mtu yeyote awe kafiri awe gaidi hatutaki. Kama hiyo kitu ni muhimu sana kwenu basi anzisheni hata kila kaya ila kwenye katiba ndo hatuitaki.
Ikiwa wakulima na wavuvi wamo ni kwa ni nini wamo ? Na Kwa nini Waislamu wasiwemo ? Kama mnaamua kuwatenga basi inakuwaje mnaikubali Bakwata ? AU mpaka muambiwe na Bakwata ? Inawezekana hamuelewi umaana wa hiyo mahakama ya Kadhi ,hivi mnaogopa kitu gani ?
These are ayats from your deity. They are against women, to witHaaa....haaa..haaa ! Huwezi kuzisherehesha sheria za Kiislaam wakati kuna watu wanasoma mpaka kupata Ph.D !
Nikuulize....mwanamke ni sawa na mwanaume !? yaani mapungufu ya mwanamke ni sawa na mapungufu ya mwanamke !?
Kwa nini Magereza yote yamejaa Wanaume na si Wanawake !?
Ni nani ameumbwa (by nature) kufanya uamuzi kwa hisia na emotion kati ya mwanaume na mwanamke !?
Ukiyajibu hayo maswali kwa haki, ndio utaelewa maana ya ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na mwanaume mmoja!
Mwanamke hata akiwa na power na uwezo vipi lazima atategemea guidance ya Mwanaume. TanzaniaLaw
Some of those people are Muslims, so, why are you saying Muslims are not inclusive?Ikiwa wakulima na wavuvi wamo ni kwa ni nini wamo ? Na Kwa nini Waislamu wasiwemo ? Kama mnaamua kuwatenga basi inakuwaje mnaikubali Bakwata ? AU mpaka muambiwe na Bakwata ? Inawezekana hamuelewi umaana wa hiyo mahakama ya Kadhi ,hivi mnaogopa kitu gani ?
I don't see any sign of Kadh, to witKadhi itakuja tu hata mkinunaa !
Want is not a need, that is why it is a dream.This is not a dream at all .....it is a reality ! We want a Kadhi Court now'
Povu linakutoka mkuu, anzisheni kisela ila kuiweka kwenye katiba ndo hatutaki, fuatilia takweimu ujue kati ya wakristo na waislam wapi idadi yao ni kubwa, ukishajua hilo utaelewa kwamba hiyo mahakama yenu itakuepo au mnapoteza muda.