Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

mwisho wa siku huko tandale mtataka na walimu wa madrasa walipwe nq serikali.
 
Hivi wewe mtu na akili zako timamu huoni kuwa itakuwa ni moral contradiction kuwa na mahakama ya kadhi, mfano leo unaona dhahir kuwa tumekuwa ndugu moja mpaka hata kuzaliana ktk dini tofautitofauti wakati mwingine hata pasipo kuoana sasa ikija hiyo mahakama yako na kudai watoto wa muislamu aliyezaa na mtu wa dini nyingine huoni kuwa hiyo kwanza italeta zogo maana muislamu atapeleka kesi kwenye mahakama ya kadhi na yule wa dini nyingine atalazimishwa kuingia ktk sheria isiyoendana na imani yake. Huh hiyo tosha inaleta mkaraganyiko?? kuna mifano mingi sana ambayo italeta tafrani ktk jamii yetu ambayo huenda hata ikahatarisha maisha ya watu. You need to be serious man!

Kaafi...ri hata umweke kwenye chupa ya soda atatoa kidolee
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

Kadhis courts have been a part of the Kenyan legal system since prior to Kenya's independence.Why not tanzania???
 
Kwanini watu wanatoa mifano ya katiba za nchi nyingine juu ya mahakama ya kadhi kwanini tusisifu kwamba nchi yetu imekaa na Amani kwakuwa mambo yadini hayamo na hii ingeungwa mkono na nchi nyingine hasa majirani zetu wafute mambo yadini ndani ya katiba zao
 
Kwani kitu kikiwa kwenye katiba lazima kitengewe bajeti na serikali?

1. Katiba inaruhusu kuishi mahali popote katika Jamhuri ya muungano wa tanzania- JE NI LINI SERIKALI IMEWAHI KUTENGA BAJETI YA KUKUJENGEA NYUMBA?

2. Katiba inatoa uhuru wa kwenda popote nchini na nje ya nchi- NI LINI SERIKALI IMEWAHI KUTENGA BAJETI YA KUKULIPIA NAULI UKIENDA KIJIJINI KWENU?

3. katiba inatambua uhuru wa kujichanganya na watu , na pia kuwa na uhuru wa faragha- NI LINI SERIKALI IMEWAHI KUKUZUNGUUSHIA RAUNDI BAR?

WAISLAMU WANADAI MAHAKAMA YA KADHI ITAMBULIKE KIKATIBA ILI MAAMUZI KATIKA MASHAURI YA NDOA, MIRATHI YATAMBULIKE NA YAWE NA NGUVU, HAWAJADAI SERIKALI ITENGE BAJETI YA KUFINANCE MAHAKAMA HIYO!!!!.

By the way, Mahakama ya kadhi kwa Tanzania ni Halali/Rukhsa kwa mujibu wa Tamko la raisi aliposema kuwa Waislamu waianzishe ilimradi waiendeshe wenyewe. Kinachotakiwa sasa ni sheria maalum ya kuregulate jambo hili!, na hakuna sheria bora zaidi kuliko SHERIA MAMA YA KATIBA NDO MAANA WADAU( WAISLAMU) WANATAKA IWEMO KATIKA KATIBA!!.
 
Hatutaikubali mahakama ya kadhi eti kisa Kenya na Uganda wanazo, utakuwa upuuzi wa hali ya juu kabisa maana Tanzania kihistoria, kimipango, kiutamaduni na kiuchumi haifanani nazo.

Mahakama ya kadhi itachochea Udini, kisha nchi hii itatumbukia kwenye ghasia. Hatupingi kuwepo mahakama ya kadhi Tanzania, ila TUNAPINGA KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA KADHI NA SERIKALI. wanaoitaka waianzishe wao, ugumu upo wapi katika hili?
 
Nyie wakirsto, mbona sisi hatuwaingillii katika mambo yenu. Kuna kipindi hapa mawakala wa kanisa katika vyombo vya habari na viongozi wengi hasa wakirsto, mlilivalia njuga na kulipigia debe sana saula la Mchungaji wa Kanisa la Kiinjiili la Kilutheli nchini(KKKT), Ambilikile Mwasapile juu Dawa yake aliodai ameoteshwa na Mungu maarufu kama kikombe cha Babu. Mlidhani kua ndio mnainua Ukristo. Matokeo yake mkasababisha watu wengi kufa.

Niliwahi kuulizwa na Kinyozi Mmoja nilipokua Salon, Nini maoni yangu juu ya Kikombe cha Babu, Nilimjibu yule Kijana, Time will tell.

Nadhani matokeo yake mliyaona. Lakini sisi Waislamu hatukuwagusa. Iweje leo Muingilie Mambo yasio wahusu?.
 
Mahakama ya kadhi ni sehemu ya Ibada kwa Waislamu,na ni muhimu kwa waislamu,na ibada ni ruksa mtu kufuata au kutofuata.Sasa kwanini Waislamu wanaomba kipengele cha ibada kipitishwe bungeni si waanzishe tu bila hata kuomba Bunge lipitishe kwenye katiba? Waanzishe ns waendelee na utaratibu wao wa ibada bila kuomba Bungeni.
 
ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi wakristo (christians) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa bmk wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye whoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.
we kama nani
 
Walivyo wajinga utasikia mbona Kenya ipo. Yaani mawazo ya kijinga kapisa, rafiki yako akila mavi na ww unakula? Sijawahi kusikia muislamu anasena tunataka tushambuliwe na boko haramu km Kenya, tunataka kujitenga km Mombasa republican, tunataka kupiga hatua kielimu km Kenya. Ujinga wa uislamu reference yao ni kadhi. HII DINI BANA INA MAAJABU MENGI SANA.
This is the Islamic way of execution and we will do only that which please Allah," replied Abu Anwar. "It means cutting off the necks of the enemies of Islam then we are more than happy to do it. I would like to meet the Lord Allah and tell him what I did for his religion. I hope God gives me the chance to do what the brother did with James Foley. Whether it's James Foley, or a soldier of America or Bashar Al Assad... my hands are ready to do this blessed act."
 
Mahakama ya Kadhi ndio mwisho wa umoja na mshikamano wa Tanzania.
 
Huh! sidhani kama unfuatilia sana mambo ya habari kuhusu tafrani za sharia law mkuu (courtesy of kadhi courts) angalia mfano wa Meriam Ibrahim pale Sudan na maamuzi yake ya kufuata dini ya kikristo and what happened to her!?? naona kama sasa tunaanza kuchoshwa na amani hizi na tunatamani kuona damu zinamwagika sasa. Mkumbuke huyo Meriam Ibrahim aliyejiamulia binafsi kwa matakwa yake kufuata dini nyingine sababu mzazi wake mmoja alikuwa na imani hiyo kwanza kabla hatujaenda mbali
0,,17825501_403,00.jpg

We kafiri hapa ndipo ulipo onyesha upumbavu wako! Tofautisha mahakama ya kadhi na shari law ya sudan. Tungekua tunataka sharia law itumike Tanzania,tusinge tumia katiba inayotungwa bungeni bali tungetumia Quraan na hadith sahihi. Acha kufata mkumbo kama nyumbu.
 
Hata nisiposoma hoja za wengine ..mahakama hii haiitajiki kwa namna yoyote ile ..na hata siku moja haitatokea tukawa na mahakama kama hii hapa TANGANYIKA...labda waipekeke ZANZBAR
 
We kafiri hapa ndipo ulipo onyesha upumbavu wako! Tofautisha mahakama ya kadhi na shari law ya sudan. Tungekua tunataka sharia law itumike Tanzania,tusinge tumia katiba inayotungwa bungeni bali tungetumia Quraan na hadith sahihi. Acha kufata mkumbo kama nyumbu.

Kwa nn hamuombi sharia sasa ambayo mngetumia quran na hadithi za alfu lela ulela?
Nyie ndo mnasababisha tuendelee kuwa masikini
 
Kenya ni nchi ya kiislam...?
Uganda ni nchi ya kiislam..?
umburula tu unakuzingua

Sasa kenya na uganda ndo Tanzania? Au unazitumia kama reference kwa kigezo gani? Basi raisi wa sasa akae madarakani kama Raisi museven wa Uganda kama unadhani hizi ni nchi zinazofanana.
Acha ushabiki wa kidini hiyo mahakama haina tija kwa taifa, kama wewe ni muislamu uliyeiva hamia huko iraq, pakstan, sudan etc. Mbona hayo manchi yenu yenye vurugu yako mengi tu siuende?
 
Kwa nn hamuombi sharia sasa ambayo mngetumia quran na hadithi za alfu lela ulela?
Nyie ndo mnasababisha tuendelee kuwa masikini

Sisi hatuwezi kukuletea umaskini bali mlaumu baba na mama yako kwa uvivu wao ndio umekuletea umaskini na badala ya wewe kutafta pesa kaa kijiweni uone kama hutaolewa. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya makafiri.
 
Sasa kenya na uganda ndo Tanzania? Au unazitumia kama reference kwa kigezo gani? Basi raisi wa sasa akae madarakani kama Raisi museven wa Uganda kama unadhani hizi ni nchi zinazofanana.
Acha ushabiki wa kidini hiyo mahakama haina tija kwa taifa, kama wewe ni muislamu uliyeiva hamia huko iraq, pakstan, sudan etc. Mbona hayo manchi yenu yenye vurugu yako mengi tu siuende?

Yaambie haya majitu yanayonuka damu za watu. The zombiz and vampires.
 
Sisi hatuwezi kukuletea umaskini bali mlaumu baba na mama yako kwa uvivu wao ndio umekuletea umaskini na badala ya wewe kutafta pesa kaa kijiweni uone kama hutaolewa. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya makafiri.

Yes. Ntaolewa lkn kwa misingi kutoka quran ,muddy na zile hadithi za alfu lela ulela. Muislamu safi umeahizwa na muddy kuoa tuvulana
 
Sasa kenya na uganda ndo Tanzania? Au unazitumia kama reference kwa kigezo gani? Basi raisi wa sasa akae madarakani kama Raisi museven wa Uganda kama unadhani hizi ni nchi zinazofanana.
Acha ushabiki wa kidini hiyo mahakama haina tija kwa taifa, kama wewe ni muislamu uliyeiva hamia huko iraq, pakstan, sudan etc. Mbona hayo manchi yenu yenye vurugu yako mengi tu siuende?

Hii nchi si ya kikristo, kama vipi hamia vatican. Mahakama ya kadhi ni ya wa islam na si ya makafiri kama wewe.
 
Back
Top Bottom