Kuhusu kuondoa Ukomo wa Rais John Magufuli

Kuhusu kuondoa Ukomo wa Rais John Magufuli

Makusanyo ya kodi gani? Ndege hizi zinazojiendesha kwa hasara? Rushwa ipo tena kubwa kuliko sema watu wanatumia akili, ulinzi watu wanatekwa wanapotea, wanaokotwa kwenye viroba, ulinzi gani unazungumzia!?
Ujenzi wa Reli za kisasa
Kupungua kwa Rushwa
Ulinzi kuimarika
Nidhamu katika taasisi za Umma
Kufua Mradi wa Ndege
Kuongeza makusanyo ya Kodi
 
Je haunufaiki kama Raia ?

Sijaona faida yoyote yeye kubaki madarakani mpaka sasa,tena ingekua Tanzania kuna demokrasia kama wenzetu marekani asingeongoza miaka kumi,angeishia awamu moja tuu anaondoka hana faida yoyote kwenye hili taifa.
 
Makusanyo ya kodi gani? Ndege hizi zinazojiendesha kwa hasara? Rushwa ipo tena kubwa kuliko sema watu wanatumia akili, ulinzi watu wanatekwa wanapotea, wanaokotwa kwenye viroba, ulinzi gani unazungumzia!?

Namaanisha unaotolewa na vyombo vya usalama
 
Ina maana Tanzania nzima yeye pekee ndio mwenye akili? Acheni ujinga. Watanzania tupo zaidi ya milioni 60 haiwezekani yeye peke yake awe na akili kutuzidi watanzania wote kustahili kuongezewa muda. Acheni ujinga.
Ongeza SAUTI kwa maneno hayo
 
Upo sahihi kabisa Chief, I agree with you kuwa msimamo wa Mkapa ni Katiba iendelee kuheshimiwa kwa maana ya Term Limit, hata hivyo aliweka wazi kwa Rais ambaye anaingia madarakani bila ya kupitia au kujua ile mifumo ya nchi mbali mbali, essence ya three terms zinakuja kwa mgawanyo huo wa Planning
Implementation
Finalization
Kama alivyoelezea katika kitabu
Katiba ya nchi ni muhimu isichezewe kwa sababu zisizo za msingi.

Hizo phase hata kwenye terms mbili zinaweza kuwekwa. Matatizo ya nchi hayatamalizika katika terms tatu, napo utataka kuongeza terms ziwe nne, tano na zaidi?

Tuache siasa za kuangalia watu, tujenge siasa endelevu za kuangalia sera.

Magufuli akifa kesho - siombei, it is a fact kwamba hakuna anayejua siku yake ya kufa- hata hiyo term ya pili hamalizi, bado utataka kumuongezea term ya tatu?

Tuachane na habari za kumuangalia mtu mmoja kama yeye peke yake ndiye ana uwezo wa kuongoza, wengine wote hawana uwezo wa kuongoza.
 
Mimi ni Mkenya ?

How did you reach to that conclusion ?
Ndo wenye fikra hasi kuhusu Tz wanazishabikia mno suala la kubadili katiba kwa ajiri ya mtu moja jpm, hilo suala ni msiba mkubwa Tz haipaswi hata kujadiliwa na mtanzania mwenye elimu na muamuko wa dunia
 
Urais mwisho uwe miaka 10 kama katiba inavyosema.

Umesoma kitabu cha Mkapa?

Katika kiitabu cha Mkapa, Mkapa alipinga vikali habari za kubadili katiba ili rais aongeze muda wa kutaeala. Aliutaja hata mfanonwa Salmin Amour alivyotaka kufanya hivyo na jinsi gani hilo jqmbo lilivyomchukiza.

Hapa gazeti la The Citizen liliandika makala kuhusu hili.



Tanzania: Mkapa On Presidential Term-Limits

14 NOVEMBER 2019

The Citizen (Dar es Salaam)

By Khalifa Said

Dar es Salaam — Former President Benjamin Mkapa has criticised some African heads of state for clinging to power even after the expiry of their respective constitutional term limits, saying the practice does not only complicate governance of the respective countries but also poses a risk to regional peace, security and stability.

Mr Mkapa's warning, given in his autobiography titled My Life, My Purpose: Tanzanian President Remembers and launched on Tuesday. In the memoir, Mr Mkapa opens up about his life and experiences as a Tanzanian leader.
The criticism comes on the heels of mounting voices in various forms that suggest that the constitution of Tanzania should be amended to allow President John Magufuli stay longer than the two-five year term. President Magufuli has, nonetheless, ruled out any possibility of him going beyond what is currently stipulated in the constitution.

Expressing his disappointment over what has happened elsewhere in the region in relation to the issue of term limits, Mr Mkapa, who has worked as a mediator for the Inter-Burundi Dialogue, says: "Looking at neighbouring countries, we have seen leaders trying to retain power beyond their allotted term." The Inter-Burundi Dialogue is an EAC initiative aimed at resolving political tensions caused by the 2015-controversial Burundian elections.
"If you've served well, yet choose to remain beyond your term, which results in a threat of unrest and violence, why do you, as a leader, want to see that violence erupt? Why spoil your record of leadership and create a crisis, why?," asks Mr Mkapa as if addressing leaders of Uganda, Burundi and Rwanda, who have allowed changes to their respective constitutions to extend their stay.

Close to home, Mr Mkapa writes in the 320-page memoir that he "was very tense" when former president of Zanzibar, Salmin Amour, wanted to extend his term to an unconstitutional third term, a move he said, if successful, would have been "catastrophic for Tanzania."

Mr Mkapa says that "there were no extraordinary reasons" for Dr Amour to do so, and although he didn't want to appear dictating to the Zanzibaris, "I was determined not to have the constitution changed."

Beyond thessue of term-limit, however, Mr Mkapa also expresses his support for the need to strengthen the checks and balance in the country, describing the principle of separation of powers, for example, a "vital" one especially for a developing country like Tanzania.

This also comes amidst the growing debate in the country around the question of whether or not the constitutional safeguards are enough to ensure checks and balances at a time where one pillar of the State, the Executive, is seen to overreach itself at the expense of accountability and good governance, a claim the Magufuli administration denies.

"There must be a structure which can mitigate a president's power, or at least provide for a time for a president to rethink," argues Mr Mkapa, after acknowledging that under the current constitution the president has excessive powers vested into him. "Perhaps this is where a second parliamentary chamber could be useful, it could offer the opportunity for those who have had substantial experience to review bills. [It] could at least quietly warn of any potential for a negative impact from a proposed bill."

Close

[https://cdn07]

Upo sahihi kabisa Chief, I agree with you kuwa msimamo wa Mkapa ni Katiba iendelee kuheshimiwa kwa maana ya Term Limit, hata hivyo aliweka wazi kwa Rais ambaye anaingia madarakani bila ya kupitia au kujua ile mifumo ya nchi mbali mbali, essence ya three terms zinakuja kwa mgawanyo huo wa Planning
Implementation
Finalization
Kama alivyoelezea katika kitabu
 
Yeah it makes sense, lakini je , kwa nchi inayohitaji kuendelea kamaTZ, ni sahihi miaka 10 inatosha kuleta mabadiliko ya kweli? Kama ndiyo, then how ?
Miaka 10 inatosha kabisa. Just think about 1995-2005 ya Mkapa Kama wewe ni mtu makini utagundua kuwa aliyoyaasisi yanaonekana mpaka leo Kama Tanzania Road Fund, TANROADS, TRA nk
 
Akae tu. Kila ikifika miaka mitano tunapigwa na kiini macho kuwa mambo yatabadilika. Miaka zaidi ya ishirini na tano tunadanganywa na kiini macho kilekile. Akae, afanye mambo yake. Lakini siyo kwa sababu Mkapa alisema, Mkapa alikuwa mzembe tu.
 
Ccm ndio wana amua, wale ndio wenye nchi aendelee au asiendeleee hapa ni kujifariji tuuu utake au usitake wakitaka yawe yanakuuuaa.
Hata ccm yenyewe kam chama hawana nguvu juu ya huyu jamaa, akiamua lolote anafanya ju bila ridhaa ya chama. Jpm ni dictator kamiri
 
Kama yanaonekana yaweke hapa
Hapana, yanaonekana kwa wenye macho tu, vipofu hawawezi kuyaona hata nikiyaanika hapa🤔! Magu mi 🤜🤛 tena itapendeza!
 
Lakini nyakati hubadilika, hata Biblia hufanyiwa maboresho, nini maoni yako ?
Neno la Mungu halifanyiwi maboresho kwani ndiy msingi wa kila kitu. Tufike mahali tuheshimu katiba yetu.
 
Back
Top Bottom