Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 5,334
- 7,334
đźš® TakatakaUjenzi wa Reli za kisasa
Kupungua kwa Rushwa
Ulinzi kuimarika
Nidhamu katika taasisi za Umma
Kufua Mradi wa Ndege
Kuongeza makusanyo ya Kodi
đźš® TakatakaUjenzi wa Reli za kisasa
Kupungua kwa Rushwa
Ulinzi kuimarika
Nidhamu katika taasisi za Umma
Kufua Mradi wa Ndege
Kuongeza makusanyo ya Kodi
Mtazamo wangu,suala la raisi kuongozewa muda si sahihi whether he performed well or bad,yawezekana kweli amefanya vzr na anafanya vizuri,je baada yake akija raisi mwingine akafanya vibaya pia akataka kujiongezea muda tutamzuia vipi?,tutatumia uhalali upi wa kumwambia hapana.Tusiruhusu mbegu hiyo huko mbele itakuja kututesa tu hata kama tutafurahi sasa.(Beyond two -term limit).
1. Katika kitabu chake, Benjamin William Mkapa ameonesha wazi kuwa wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi.
2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.
Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Maendeleo hayaletwi na rais bali kodi za wananchi. Wanaotaka aongezewe muda ni wale wenye maslahi binafsi na madaraka yake.Yeah it makes sense, lakini je , kwa nchi inayohitaji kuendelea kamaTZ, ni sahihi miaka 10 inatosha kuleta mabadiliko ya kweli? Kama ndiyo, then how ?
Urais mwisho wake 10 yrs. Msitake sifa, Mh. JPM kasema mwenyewe hataki kukaa madarakani hata dak 1 akimaliza miaka yake 10 huyoooooo anaondoka, nyie watu mnaomwekea maneno mdomoni Mh. JPM wakati kaweka wazi msimamo wake ndio mnaharibu. Tatizo sio JPM, tatizo JPM akiongeza hata miaka 5 tu, itakuwa ndio trend ya uongozi sasa, kila Rais atakayekuja atataka kuongeza miaka zaidi ya 10, hii italeta balaa, mwishoe tutaona ya akina Museveni, Kagame, Omar Bongo, Omar Al Bashir. etc
Maendeleo hayaletwi na rais bali kodi za wananchi. Wanaotaka aongezewe muda ni wale wenye maslahi binafsi na madaraka yake.
Mtazamo wangu,suala la raisi kuongozewa muda si sahihi whether he performed well or bad,yawezekana kweli amefanya vzr na anafanya vizuri,je baada yake akija raisi mwingine akafanya vibaya pia akataka kujiongezea muda tutamzuia vipi?,tutatumia uhalali upi wa kumwambia hapana.Tusiruhusu mbegu hiyo huko mbele itakuja kututesa tu hata kama tutafurahi sasa.
Hata kama tutaongozwa na malaika(jokes) ikifika ten years apumzike.
Hapa kuna kujenga a cult of personality.
Yani kumfanya Magufuli kama Mungu-mtu fulani.
Ingekuwa ni matakwa yangu huyu mzee angeongoza muhula mmoja tu!(Beyond two -term limit).
1. Katika kitabu chake, Benjamin William Mkapa ameonesha wazi kuwa wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi.
2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.
Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Miaka 10 inatosha kabisa. Just think about 1995-2005 ya Mkapa Kama wewe ni mtu makini utagundua kuwa aliyoyaasisi yanaonekana mpaka leo Kama Tanzania Road Fund, TANROADS, TRA nk
Baraka Obama is a smart president ametawala 8 years. Msishabikie kitu kama hiki kuongeza ukomo wa Rais nikufukua makaburi tutakayo yakuta tusiseme hatukuambiwa. Yes we need Magufuli but we need to grow new leadership. Nayeye awe mshauri.(Beyond two -term limit).
1. Katika kitabu chake, Benjamin William Mkapa ameonesha wazi kuwa wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi.
2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.
Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Nakubali,pia ninakubali utendaji wa raisi Magufuli,totauti ya mifumo ya nchi za kiafrika na inch nyingine za ulaya ni totauti sana,afrika ikitokea bahati mbaya mkapata kiongoz mbovu ni shida sana kumdhibiti kwa kuwa mfumo wote unakuwa chini yake iwe kisheria au kinyume na sheria.Lakini unakubali kuwa URUSI na baadhi ya mataifa wanabadili Katiba na term extension kutokana na umuhimu na uzalendo wa Rais aliyepo madarakani ?
Baraka Obama is a smart president ametawala 8 years. Msishabikie kitu kama hiki kuongeza ukomo wa Rais nikufukua makaburi tutakayo yakuta tusiseme hatukuambiwa. Yes we need Magufuli but we need to grow new leadership. Nayeye awe mshauri.
Exactly 100%,tusiruhusu mbegu hiyo kupanda tutake tusitake watajitokeza watu wataitilia maji na mbolea itamea na kuzaa matunda,na matunda yake lazima tuyale whether matamu au machungu,bahati mbaya sana yatakuwa machungu.Urais mwisho wake 10 yrs. Msitake sifa, Mh. JPM kasema mwenyewe hataki kukaa madarakani hata dak 1 akimaliza miaka yake 10 huyoooooo anaondoka, nyie watu mnaomwekea maneno mdomoni Mh. JPM wakati kaweka wazi msimamo wake ndio mnaharibu. Tatizo sio JPM, tatizo JPM akiongeza hata miaka 5 tu, itakuwa ndio trend ya uongozi sasa, kila Rais atakayekuja atataka kuongeza miaka zaidi ya 10, hii italeta balaa, mwishoe tutaona ya akina Museveni, Kagame, Omar Bongo, Omar Al Bashir. etc