Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Leo umetumia lugha ngumu sana braza!
Naomba unisamehe, kiukweli kuna watu wanakasirika sana!, kwenye hizi siasa zetu, kuna watu ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu ambao ni wapenda haki bin haki, ambao ni wanachama wa chama wa chama cha Mapinduzi, CCM, ambao, wanapenda kuona CCM ikitenda haki, na kama ni kushinda uchaguzi, ishinde kwa haki, uzalendo wao ni kwenye utaifa kwanza ndipo tuje kwenye vyama, watu hao wanapenda kuiona Tanzania, inakuwa na upinzani imara, hivyo wanaipenda Chadema na kuwasaidia wapinzani kuwa wapinzani bora, mmoja wa watu hao ni Mzee Sabodo, watu hao wako wengi na mimi ni mmoja wao!, hivyo tukiiona Chadema inafanya madudu, tunaumia sana!.

Kiukweli kabisa, Chadema inapitia kipindi kigumu sana, wanapojitokeza watu, wanao a mua to heal Chadema, halafu yanajitokeza majitu majinga kutaka kufifisha juhudi hizo, yanatutia hasira sana!. Hili tatizo la hawa mashujaa 19, limeuimiza na kuijeruhi sana Chadema, na kila kukitokea tatizo lolote ndani ya Chadema, namna yao pekee tu resolve ni kutumia njia ya confrontations, kuitisha ile kangaroo court yake na kutimua timua!. Hawaa utaratibu wa kutafuta compromising solutions. Sasa anatokea mtu anakubali to compromise, majitu majinga haya, yanataka kumtisha na kumkatisha tamaa. Inatia hasira sana!.

Hata hivyo, asante kunikumbusha, samahani sana!,.

P
 
Kuhusu Mimi kuwa miongoni mwa majitu majinga ya Chadema Nakubali, lakini nitahakikisha Mdee harudi Chadema kwa hoja
Mkuu Erythrocyte , naomba unisamehe, kukuita u miongoni mwa majitu majinga ya Chadema!, ni hasira na kuumizwa na vitendo mlivyo watenda hawa wadada, ilifikia kiwango mpaka kupelekea watu kuvunja ndoa zao kisa mweza kuwa ni miongoni mwao wale 19!.
Nisamehe bure ni hasira tuu,
Samahani sana sorry!,
P.
 
Mimi kwangu arudi kundini tu! Yaliyotokea wakati wa Magu siyo ya kumlaumu mtu.
Arejee tu CHADEMA!
Sidhani kama kuna msaliti zaidi ya Dr.Slaa! Kama Dr.Slaa aliomba radhi akasamehewa kwa nini Halima asisamehewe na kuumrudi kundini?
 
Mliyoiona ndio sura yk halisi pale kinyago kilipomvuka.
Msaliti hasamehewi
Ana sura mbili
 
Mimi nawashangaa watu wanaosema wakina Halima walikuwa na baraka za kimaandishi zakiongozi au viongozi wa Chadema.
Amini usiamini, barua iliyowaigiza Bungeni ni barua bonafide genuine!.
Kwa jinsi Marehemu Ndugai alivyokuwa hampendi Mbowe asingekalia barua yeyote ambayo inaonyesha unafik wa Mbowe au Chadema.
Mambo mengine ni kuelimishana tuu
  1. Bunge halimpokei barua yoyote ya uteuzi wa mbunge yoyote wa viti maalum kutoka chama chochote, barua ya utambulisho wa mbunge yoyote, inatoka Tume ya Uchaguzi kwenda Chama cha siasa ambacho ndicho kinateua majina na kuyarudisha Tume. Hivyo Tume iliwaandikia Chadema Barua, kuwapa hizo nafasi 19, kisha Chadema ikawateua, barua yenye majina, very bonafide genuine, ikarudi Tume na majina.
  2. Baada ya Tume kupokea barua ya Chadema ya majina, ni Tume ndio ikawapa wabunge hao barua za uteuzi, ambazo kila mmoja anapewa copy 2, moja anaiwasilisha kwa Spika, kazi ya Spika ni kupokea barua za uteuzi za Tume ambazo ni bonafide genuine. Spika has nothing to do na barua za vyama!. Let JYN rest ni peace1.
  3. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, hiyo maana yake kumefanyika forgery, hilo ni kosa la jinai!, Chadei haiwezi kuiliza Tume, iwaonyeshe barua yao ya uteuzi wakati hiyo barua bonafide genuine Tume wameipokea kutoka Chadema.
  4. Kwa mujibu wa katiba yetu, kwenye issues zozote za kijinai, mamlaya ya uchunguzi ni Jeshi la Polisi pekee!. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, ni jukumu la Chadema kuripoti polisi kuhusu jinai hiyo, na jeshi la polisi ndio mamlaka pekee ya uchunguzi wa kijinai ya forgery, hivyo wangeziomba barua original, na kuzifanyia uchunguzi wa forensic ya sign ya ofisa wa Chadema aliyezisaini, mimi namjua, aliyesaini anajijua, wale 19 wanamjua, na viongozi wengine wanamjua, na ndio maana Chadema hawakuthubutu kuripoti polisi kuwa kuwa kuna jinai ya forgery mpaka wamekamilisha their full term bungeni.
  5. Siku zote nimekuwa nawafundisha watu kuhusu karma, na haya Chadema inayopitia ni accumulation za karma, anatokea mtu trying to heal, yanajitokeza majitu maji...!.
Kwa faida ya wasioyajua madudu ya Chadema, yanayokiletea chama badi karma ni pamoja na haya
Inawezekana kuna forgery ambayo walitaka kuitumia lakini wakagundua mapema kuwa ingewalipukia.
Hakuna forgery yoyote!. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Zote hizi ni majaribio ya kuivuruga Chadema. Zote ni uongo mtupu. Kinachonisikitisha ni kuwa Chadema inaingia kirahisi katika mtego.

Amandla...
Kwa Chadema hii ya sasa inawatu wowote ma think tanks wa kupanga mikakati kama kina Prof. Kitila ambao wana uwezo wa kubaini mipango miovu na kuipachua?.

P
 
Mdee aeleze kwanza aliyewapeleka garage kuapishwa na Ndugai na aliyeiba mihuri ya chama na kusaini barua.

Maana Kigaila akiulizwa hilo swali huwa anakua mkali sana maana mkewe naye alikua mnufaika wa wale matapeli 19.
 
Amini usiamini, barua iliyowaigiza Bungeni ni barua bonafide genuine!.

Mambo mengine ni kuelimishana tuu
  1. Bunge halimpokei barua yoyote ya uteuzi wa mbunge yoyote wa viti maalum kutoka chama chochote, barua ya utambulisho wa mbunge yoyote, inatoka Tume ya Uchaguzi kwenda Chama cha siasa ambacho ndicho kinateua majina na kuyarudisha Tume. Hivyo Tume iliwaandikia Chadema Barua, kuwapa hizo nafasi 19, kisha Chadema ikawateua, barua yenye majina, very bonafide genuine, ikarudi Tume na majina.
  2. Baada ya Tume kupokea barua ya Chadema ya majina, ni Tume ndio ikawapa wabunge hao barua za uteuzi, ambazo kila mmoja anapewa copy 2, moja anaiwasilisha kwa Spika, kazi ya Spika ni kupokea barua za uteuzi za Tume ambazo ni bonafide genuine. Spika has nothing to do na barua za vyama!. Let JYN rest ni peace1.
  3. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, hiyo maana yake kumefanyika forgery, hilo ni kosa la jinai!, Chadei haiwezi kuiliza Tume, iwaonyeshe barua yao ya uteuzi wakati hiyo barua bonafide genuine Tume wameipokea kutoka Chadema.
  4. Kwa mujibu wa katiba yetu, kwenye issues zozote za kijinai, mamlaya ya uchunguzi ni Jeshi la Polisi pekee!. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, ni jukumu la Chadema kuripoti polisi kuhusu jinai hiyo, na jeshi la polisi ndio mamlaka pekee ya uchunguzi wa kijinai ya forgery, hivyo wangeziomba barua original, na kuzifanyia uchunguzi wa forensic ya sign ya ofisa wa Chadema aliyezisaini, mimi namjua, aliyesaini anajijua, wale 19 wanamjua, na viongozi wengine wanamjua, na ndio maana Chadema hawakuthubutu kuripoti polisi kuwa kuwa kuna jinai ya forgery mpaka wamekamilisha their full term bungeni.
  5. Siku zote nimekuwa nawafundisha watu kuhusu karma, na haya Chadema inayopitia ni accumulation za karma, anatokea mtu trying to heal, yanajitokeza majitu maji...!.
Kwa faida ya wasioyajua madudu ya Chadema, yanayokiletea chama badi karma ni pamoja na haya

Hakuna forgery yoyote!. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Kwa Chadema hii ya sasa inawatu wowote ma think tanks wa kupanga mikakati kama kina Prof. Kitila ambao wana uwezo wa kubaini mipango miovu na kuipachua?.

P
Porojo zilezile
 
Amini usiamini, barua iliyowaigiza Bungeni ni barua bonafide genuine!.
Kwa nini wameificha mpaka leo?
Mambo mengine ni kuelimishana tuu
  1. Bunge halimpokei barua yoyote ya uteuzi wa mbunge yoyote wa viti maalum kutoka chama chochote, barua ya utambulisho wa mbunge yoyote, inatoka Tume ya Uchaguzi kwenda Chama cha siasa ambacho ndicho kinateua majina na kuyarudisha Tume. Hivyo Tume iliwaandikia Chadema Barua, kuwapa hizo nafasi 19, kisha Chadema ikawateua, barua yenye majina, very bonafide genuine, ikarudi Tume na majina.
Na Chadema ikamteua mtu aliyekuwa mahabusu? Aidha, kwa nini Tume haikuitoa hiyo barua genuine pale Mnyika alipowaomba waitoe?
  1. Baada ya Tume kupokea barua ya Chadema ya majina, ni Tume ndio ikawapa wabunge hao barua za uteuzi, ambazo kila mmoja anapewa copy 2, moja anaiwasilisha kwa Spika, kazi ya Spika ni kupokea barua za uteuzi za Tume ambazo ni bonafide genuine. Spika has nothing to do na barua za vyama!. Let JYN rest ni peace1.
Spika alihusika maana alijua kabisa ni "barua" za mchongo. Swali linabakia pale pale; kwa nini Ndugai hakuanika hiyo barua hadharani maana bila shaka barua toka Tume inaambatana na nakala za barua kutoka chama husika pamoja na minutes za kikao cha uteuzi. Na hiyo barua ya uteuzi inatakiwa iwe imesainiwa na Mtendaji Mkuu wa Chama. Cha ajabu Katibu Mkuu amesema mara chungu nzima kuwa hajaandika hiyo barua. Na kama ile barua ilisainiwa na mtu mwingine ilikuwa batili!
  1. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, hiyo maana yake kumefanyika forgery, hilo ni kosa la jinai!, Chadei haiwezi kuiliza Tume, iwaonyeshe barua yao ya uteuzi wakati hiyo barua bonafide genuine Tume wameipokea kutoka Chadema.
On the contrary, Katibu Mkuu wa Chadema ameomba nakala ya hiyo barua mara kadhaa kwa maandishi bila mafanikio. Ni kawaida mtu ukipoteza nakala yako ya barua kuomba yule uliyemwandikia akupe nakala yake. Kusema kuwa siwezi kukupa nakala ya barua yako mwenyewe hai make sense.
  1. Kwa mujibu wa katiba yetu, kwenye issues zozote za kijinai, mamlaya ya uchunguzi ni Jeshi la Polisi pekee!. Kama ni kweli Chadema haikuwateua, ni jukumu la Chadema kuripoti polisi kuhusu jinai hiyo, na jeshi la polisi ndio mamlaka pekee ya uchunguzi wa kijinai ya forgery, hivyo wangeziomba barua original, na kuzifanyia uchunguzi wa forensic ya sign ya ofisa wa Chadema aliyezisaini, mimi namjua, aliyesaini anajijua, wale 19 wanamjua, na viongozi wengine wanamjua, na ndio maana Chadema hawakuthubutu kuripoti polisi kuwa kuwa kuna jinai ya forgery mpaka wamekamilisha their full term bungeni.
Nadhani unazungumzia polisi ya nchi nyingine. Chadema watashtaki vipi wakati hiyo unayoita barua genuine hawana ? Mtu wa kushtaki alitakiwa awe Katibu wa NEC na Spika kwa kuchafuliwa jina kuwa wamesoma uongo na kuwasilisha barua ya Chadema kama ushahidi wao. Kwa nini mpaka leo hawajafanya hivyo?
  1. Siku zote nimekuwa nawafundisha watu kuhusu karma, na haya Chadema inayopitia ni accumulation za karma, anatokea mtu trying to heal, yanajitokeza majitu maji...!.
Kwa faida ya wasioyajua madudu ya Chadema, yanayokiletea chama badi karma ni pamoja na haya.....
Hamna karma hapa.
Kama hamna forgery basi ni wajibu wa yule ambae anadai kuwa alipokea hiyo barua kuiweka hadharani ili kuthibitisha kuwa alifuata utaratibu kikamilifu.
Kwa Chadema hii ya sasa inawatu wowote ma think tanks wa kupanga mikakati kama kina Prof. Kitila ambao wana uwezo wa kubaini mipango miovu na kuipachua?.

P
Profesa Kitila huyo huyo tuliyekuwa nae humu ndani? Naona una tania sasa.

Amandla....
 
Mkuu nakuelewa sana. Mimi mwenyewe nilikuwa namkataa sana Halima Mdee kurudi chamani. Lakini kwa namna ya utulivu aliouchukua Mdee bila kuchacharika kama wengine kuhamia vyama vingine,hasa kipindi cha uchaguzi inatosha kuona amejutia na kutafuta utulivu na kuwashawishi viongozi na wanachama kurudishwa kundini.

Jambo kubwa unalopaswa kuliona pia naamini Halima amebembelezwa sana ahamie ccm. Hasa kipindi cha uchaguzi. Na naamini ameahidiwa mambo lukuki kunauwezekano mpaka vyeo na hayo majitu, tawala zote. Lakini kwa ukomavu wa Halima Mdee bado alikataa na mavitu yote hayo. Bado akabakia na msimamo wake yeye ni mwanachama mtiifu kwa CHADEMA.

Naamini hata alivyokuwa bungeni kipindi kile amedanganywa naamini alijutia sana kwa ule uamuzi,na bado bungeni hakukengeuka kuanza kuhubiri habari za hawa wengine,bali akabakia kwenye reli ya CHADEMA kwenye matamshi yake bungeni.

Muhimu ujue hata mtoto ndani ya nyumba anakosea,kuna muda pia anaweza kusamehewa kulingana na toba yake kwa wazazi na familia. Kulingana na wakati huu haina haja ya kuendeleza malumbano ya akina Mdee. Tunasamehe.

Mimi pia namuombea wanaCHADEMA wamsamehe twende nae kwenye harakati za ukombozi.
ASAMEHEWE ARUDI CHADEMA. KILA BINADAMU ANA MAPUNGUFU YAKE. MWENYE MAKOSA NI ALIYEWAIDHINISHA
 
Kati ya majitu majinga kabisa ya Chadema ni wewe!, mimi sio Chadema, ila kwa vile ni mwandishi wa habari, nina some access ya intel!
  1. Barua iliyowapeleka Bungeni ni bonafide genuine letter na imesainiwa na kigogo wa Chadema ambaye ni officer bearer, Mdee kosa lake ni nini?!.
  2. Niliwashauri kitu toka ile day 1, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  3. Mdee ni Mwenyekiti wa BAWACHA, mamlake ya nidhamu ni Baraza Kuu, mamlaka ya rufaa ni mkutano mkuu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumfukuza?! Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
  4. Kwa taarifa yako, labda ni wewe tuu ndio hujui, JJMnyika na Heche wameisha jua Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  5. Katika wanawake wote wa Chadema waliopo, hakuna wa calibre ya Mdee, Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Kuna vitu ni vya Chadema wenyewe insider tuu, majitu majinga majinga kama hili, hayavijui!, Mdee kosa lake ni nini mpaka asiweze kusamehewa!, kama ni Chadema waliotangaza ile list ya mafisadi pale Mwembe Yanga na wakamsamehe kubwa lao, na kumfanya mgombea wao, wanashindwaje kumsamehe Mdee?!

Hebu acha hizo!, na kwa taarifa yako, Mdee akisamehewa, 2030 analitwaa jimbo la Kawe kama amelikota kwasababu mimi namjua mgombea wa CCM kawe 2030 ni mwanamke!, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

P.
MDEE ARUDISHWE HARAKA KAMA ATAFUATA TARATIBU NA KUKUBALIWA KAMA MWENZAKE
 
Back
Top Bottom