Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Chadema wanajipotezea credibility... mwisho wa siku nawaona nao ni wale wale, labda yule aliyoko jela kidoogo, nae ushishangae akaukwa uraisi madaraka yakamlevya akawa hovyo zaidi
Ngoja tumjaribu
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Halima Mdee na wenzie walipewa barua na Mbowe,hiki kila mtu analijua,usimtaje Ndugai bilashi.Na kwasababu miongoni mwa hao Covid 19 kuna wapo ambao ni wake wa waliokuwa viongozi wa chadema mfano kigaila na salum mwalimu.
 
Sawa hayo ni maoni yako,ila nani alipeleka majina kumi na tisa viti maalum akiwemo wlmake wa Mwalimu na wa Kigaila Benson ?
Nani alishawishi Nusrat Hanje atolewa jela na kupewa ubunge?
Fikiria.
 
Weka ushahidi, na kingine ni hiki, Je katiba ya Chadema inaruhusu Mbowe kuteua Viti Maalum?
 
Sawa hayo ni maoni yako,ila nani alipeleka majina kumi na tisa viti maalum akiwemo wlmake wa Mwalimu na wa Kigaila Benson ?
Nani alishawishi Nusrat Hanje atolewa jela na kupewa ubunge?
Fikiria.
Unadhani Chadema ina uwezo wa kutoa mfungwa jela na kumpa Ubunge?
 
Ushahidi tafadhari
Mimi siamini kuwa kuna barua yeyote kutoka kwa kiongozi yeyote wa CDM kubariki wakina Halima kuingia Bungeni. Ingekuwepo, Ndugai angeiweka hadharani kuonyesha unafik wa CDM na hivyo kuleta mpasuko ndani yake. Ulitumika ubabe tu.

Amandla...
 
Angalau wewe umeelewa
 
JF ina nguvu sana, uzi huu ndio uliozuia mamluki kurudi
 
Back
Top Bottom