Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Mimi kwangu arudi kundini tu! Yaliyotokea wakati wa Magu siyo ya kumlaumu mtu.
Arejee tu CHADEMA!
Sidhani kama kuna msaliti zaidi ya Dr.Slaa! Kama Dr.Slaa aliomba radhi akasamehewa kwa nini Halima asisamehewe na kuumrudi kundini?
Upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm.
 
Hao viongozi wa CHADEMA ni kama kenge hawasikii mpaka damu ziwatoke masikioni. Vituko vyote vile, kejeli na mpaka kufikisha mahakamani leo bado wanafikiria kumrudisha Halima. Hivi wale BAWACHA waliogomea hiyo project ya akina Halima badala yake wakaamua kabisa kwa dhati ya mioyo yao kupambania nembo ya CHADEMA na kuacha mamilioni ya pesa je leo hii wakisikia wakina Halima wanarudi watajisikiaje. Ikumbukwe hao wakina Halima wakati wanatafuna mamilioni na kuwakejeli hao wenzao waliogoma bado hao wenzao walipitia mateso ya kisaikolojia na ya kimwili kama vile vipigo n.k..

Ni wakati sasa wa CHADEMA kubadilisha katiba yao ili mwananchama na hasa viongozi kama huyo Halima akihama tu au akizingua basi aruhusiwe kurudi lakini awe mwanachama wa kawaida tena chini ya uangalizi kwa miaka mitano kabla hajapewa dhamana yoyote ndani ya chama. Asiwe kiongozi hata wa kata. Na hilo liende sambamba hata kwa wanachama/viongozi wa vyama vingine wanapotaka kujiunga na CHADEMA bila kujali nyadhifa zao ili kuepuka yale ya Lowasa (RIP) na akina Sumaye yasijirudie.

Namkubali sana Heche ni mtu na nusu lakini kwa hili la Halima amepepesa sana. Labda atuambie na yeye kama alikuwa anajua au anahusika na ile project ya akina Halima. Vinginevyo kitendo chochote cha kumrudisha Halima na kumpa madaraka huku kuna maelfu ya wana BAWACHA walio sacrifice maisha yao hii italeta mgawanyiko mkubwa usio wa lazima. Kwa mtizamo wangu arudi lakini awe mwananchama wa kawaida kabisa kwa miaka isiyopungua mitano. Vinginevyo ni kutengeneza bomu ambalo litakuwa linaitafuna CHADEMA ndani kwa ndani.

Hitimisho: kama kuna mtu/kiongozi anampenda sana Halima amtafute wakanywe naye chai kama Nyerere alivyoshuri miaka hiyo.

Ni mtizamo tu.
 
Swadakta
 
Kwa nini wameificha mpaka leo?
Hawajaificha, ila hata ingekuwa mimi, barua uandike mwenyewe, uilete mwenyewe, kisha useme hujaandika, uje uniombe barua yako ulioniandikia na kuniletea, kisha unajifanya hujaandika!, hata ningekuwa mimi sikupi!, kama kungekuwa na fojari, wangeripoti kunakohusika!. Kitendo cha Chadema kupiga tuu kelele ya fojari bila kuripoti popote, ni uthibitisho tosha kulikuwa hakuna fojari yoyote!.
Na Chadema ikamteua mtu aliyekuwa mahabusu?
Uteuzi wa majina yalipelekwa kabla ya uchaguzi, baada ya kupokea offer ya tume, Chadema ikapeleka majina ya mapendekezo, anayeteua ni Tume.
Aidha, kwa nini Tume haikuitoa hiyo barua genuine pale Mnyika alipowaomba waitoe?
Kwa vile tume imepokea barua genuine, sio kazi ya Tume ku doubt barua ya uteuzi, kanuni yetu ya jinai, the one who alleges, must prove!, kama ni kweli Chadema hawakuandika barua, theyd have known better, wapi pa kwenda na sio tume, sio bungeni!
Spika alihusika maana alijua kabisa ni "barua" za mchongo.
Spika hawezi kujua chochte kuhusu barua ya chadema kwasababu haimhusu!. Spika anapokea barua za uteuzi wa wabunge kutoka tume sio kutoka kwenye vyama!.
Swali linabakia pale pale; kwa nini Ndugai hakuanika hiyo barua hadharani maana bila shaka barua toka Tume inaambatana na nakala za barua kutoka chama husika pamoja na minutes za kikao cha uteuzi.
Hapana!, Bungeni wanapokea barua za tume wala hazina kiaambatisho.
Na hiyo barua ya uteuzi inatakiwa iwe imesainiwa na Mtendaji Mkuu wa Chama. Cha ajabu Katibu Mkuu amesema mara chungu nzima kuwa hajaandika hiyo barua. Na kama ile barua ilisainiwa na mtu mwingine ilikuwa batili!
Hili lilikuwa jukumu la mhusika kuthibitisha hajaandika barua, fojari ni kosa la jinai, linaripotiwa polisi!, naomba uniamini mimi hakukuwa na fojari yoyote iliyoripotiwa popote!
On the contrary, Katibu Mkuu wa Chadema ameomba nakala ya hiyo barua mara kadhaa kwa maandishi bila mafanikio.
Huwezi kuomba barua ambayo hujaiandika!, kama ni kweli Chadema haikuandika barua, ni jukumu la kuripoti polisi, that was a police case!
Ni kawaida mtu ukipoteza nakala yako ya barua kuomba yule uliyemwandikia akupe nakala yake. Kusema kuwa siwezi kukupa nakala ya barua yako mwenyewe hai make sense.
Baada tuu ya uapisho Chaema waitangaza hawakuandika barua!, ukiisha tangaza hukuandika barua na ikawa ni kweli hukuandika, unapaswwwa kufanya nini au kwenda wapi?.
Nadhani unazungumzia polisi ya nchi nyingine. Chadema watashtaki vipi wakati hiyo unayoita barua genuine hawana ?
That was the basis for reporting, tume imepokea barua bonafide genuine ya uteuzi kutoka Chadema, anayeshitaki ni aliyefojiwa!. Kama ni kweli chadema hawakuandika barua, kwanini hawakuripoti fojari? Take it from me, hakuna fojari yoyote!
Mtu wa kushtaki alitakiwa awe Katibu wa NEC na Spika kwa kuchafuliwa jina kuwa wamesoma uongo na kuwasilisha barua ya Chadema kama ushahidi wao. Kwa nini mpaka leo hawajafanya hivyo?,
mmmBaada ya tume kupokea genuine letter ikafanya uteuzi wa halali, mengine yote hayawasu, kama kulikuwa na fojari Chadema wangeripoti kunako husika!, hakukuwa na fojari yoyote,
Hamna karma hapa.
Karma ipo kwenye everything that goes around, comes around!
Kama hamna forgery basi ni wajibu wa yule ambae anadai kuwa alipokea hiyo barua kuiweka hadharani ili kuthibitisha kuwa alifuata utaratibu kikamilifu.

Amandla....
Kanuni ya madai ni s/he who alleges, must prove not the otherwise!.

P
 
Hawajaificha, ila hata ingekuwa mimi, barua uandike mwenyewe, uilete mwenyewe, kisha useme hujaandika, uje uniombe barua yako ulioniandikia na kuniletea, kisha unajifanya hujaandika!, hata ningekuwa mimi sikupi!, kama kungekuwa na fojari, wangeripoti kunakohusika!. Kitendo cha Chadema kupiga tuu kelele ya fojari bila kuripoti popote, ni uthibitisho tosha kulikuwa hakuna fojari yoyote!.
Tatizo hapa ni kuwa unaanza na imani yako kuwa kuna barua iliandikwa na Chadema. Kama kweli wana barua walioandikiwa na Chadema, halafu Chadema wakawa wanakana kuandika, it makes sense kuwa wangeiweka hadharani ili kuonyesha Chadema ni waongo. Haingii kichwani kuwataka Chadema waonyeshe barua ambayo wanakana kuwa waliandika. Spika na wenzake kukataa kuionyesha hiyo barua inaweza kuwa na maana hizi:
1. Hawana hiyo barua kwa hiyo hawawezi kuitoa.
2. Walifoji barua na wanahofia wakiitoa wataumbuka.
3. Iliandikwa kwa kificho na mtu ambae hakuwa na mamlaka ya kuiandika. Na makubaliano yalikuwa isitolewe hadharani ili kumlinda.
Ni kama kama umenunua kitu kutoka kwa mtu fulani na akakupa risiti lakini baadae akatangaza kuwa ulimwibia kile kitu alicho kuuzia. Watu watakushangaa sana kama utakataa kuonyesha risiti yako na kung'ang'ania aliyekuita mwizi ndiye atoe risiti kuthibitisha kuwa hukumuibia.
Hicho ndicho kilichotokea hapa. Haiwezekani Ndugai afiche barua kama ile kwa jinsi alivyokuwa haipendi Chadema na viongozi wake. Aidha, barua ile ingekata mzizi wa fitna na kuthibitisha kuwa wakina Halima ni wabunge halali.
Uteuzi wa majina yalipelekwa kabla ya uchaguzi, baada ya kupokea offer ya tume, Chadema ikapeleka majina ya mapendekezo, anayeteua ni Tume.
Kwa hiyo waliyokuwa nayo ni barua iliyopendekeza majina na sio ya uteuzi. Tume ndio iliteua wabunge kutoka orodha hiyo. Kwa mantik hiyo Chadema haikuteua mtu. Hiyo barua ya mapendekezo si kila chama kinaitoa? Sasa Tume inashindwa nini kuitoa ili kuthibitisha kuwa hata yule mbunge aliyetokea rumande alikuwemo kwenye orodha. It does not make any sense.
Kwa vile tume imepokea barua genuine, sio kazi ya Tume ku doubt barua ya uteuzi, kanuni yetu ya jinai, the one who alleges, must prove!, kama ni kweli Chadema hawakuandika barua, theyd have known better, wapi pa kwenda na sio tume, sio bungeni!
Hapana. Mtu akishutumu kosa ni wajibu wa aliyeshutumiwa kuthibitisha kuwa shutma zile ni za uongo. Na kusema kuwa wangeenda Mahakamani kudai haki ni kuwa disingenous maana ingekuwa ni kupoteza wakati. Uthibitisho ni namna kesi ya wakina Halima ilivyovutwa mpaka mwisho wa term zao.
Spika hawezi kujua chochte kuhusu barua ya chadema kwasababu haimhusu!. Spika anapokea barua za uteuzi wa wabunge kutoka tume sio kutoka kwenye vyama!.
Anapokea na viambatisho ambavyo mojawapo ni barua kutoka Chama husika. Spika sio rubber stamp wa Mahakama. Alijua kuwa mambo hayako sawa ndio maana akawaapisha haraka haraka.
Hapana!, Bungeni wanapokea barua za tume wala hazina kiaambatisho.
Kama ni hivyo basi ni utaratibu mbovu maana ni lazima Tume imthibitishie Spika kuwa imefuata utaratibu. Njia pekee ya kufanya hivyo ni ama kuweka kiambatisho au reference namba ya barua waliyopokea kutoka Chadema. Na kama kweli Spika alikuwa msafi katika hili suala lote, baada ya kusikia malalamiko ya Chadema, angedai nakala ya barua hiyo kutoka Tume ili kujisafisha yeye pamoja na Bunge lake. Au angewaita Chadema ili waje mbele ya Bunge kurudia na kuthibitisha shutma zao. Ukimya wake unaonyesha kuwa kuna kitu hakutaka kijulikane.
Hili lilikuwa jukumu la mhusika kuthibitisha hajaandika barua, fojari ni kosa la jinai, linaripotiwa polisi!, naomba uniamini mimi hakukuwa na fojari yoyote iliyoripotiwa popote!
Unathibitishaje kuwa haujaandika barua? Unachoweza kuthibitisha ni kuwa haujaandika barua unayodaiwa kuandika baada ya kuonyeshwa hiyo barua. Wataripoti vipi fojari wakati hawajaandika hiyo barua na hawajaona hiyo inayodaiwa imetoka kwao?
Huwezi kuomba barua ambayo hujaiandika!, kama ni kweli Chadema haikuandika barua, ni jukumu la kuripoti polisi, that was a police case!
Unahaki ya kuomba nakala ya barua ambayo umeandika. Hilo mbona linafanyika siku zote! K.m. kama umepoteza barua ya kukubali uteuzi, mahali pa kwanza pa kukimbilia ni kwenda kwa aliyekuteua na kuomba nakala ya barua hiyo. Hii wala sio police case kama unavyotaka kulazimisha.
Baada tuu ya uapisho Chaema waitangaza hawakuandika barua!, ukiisha tangaza hukuandika barua na ikawa ni kweli hukuandika, unapaswwwa kufanya nini au kwenda wapi?.
Kuna Mbunge mmoja wa Chadema alitangaza hadharani kuwa amejitoa Chadema na kuhamia CCM. Ndugai alimuambia aendelee kwenda Bungeni kama mbunge wa Chadema na atalipwa stahili zote za ubunge. Halafu unataka Chadema wapoteze wakati wao kwenda kumshitaki mtu kama huyo ambae ana immunity ya chochote anachokifanya!
That was the basis for reporting, tume imepokea barua bonafide genuine ya uteuzi kutoka Chadema, anayeshitaki ni aliyefojiwa!. Kama ni kweli chadema hawakuandika barua, kwanini hawakuripoti fojari? Take it from me, hakuna fojari yoyote!
Hapa unasema uongo. Kuna uchaguzi mmoja mtu alipeleka alichodai ni fomu za uteuzi kutoka Chadema. Chadema waliposema kuwa hawajamteua, Waziri mwenye Mamlaka akawabeza kuwa wakate rufaa huku akijua yeye ndie mwenye dhamana ya kusikiliza rufaa zote. Ndio maana wengi hatushangai kuwa kuna mchezo mchafu ulifanywa katika suala la wakina Halima. Wewe kama kada ni wajibu wako kutetea chama chako.
mmmBaada ya tume kupokea genuine letter ikafanya uteuzi wa halali, mengine yote hayawasu, kama kulikuwa na fojari Chadema wangeripoti kunako husika!, hakukuwa na fojari yoyote,
Muandishi mahari unajirudi rudia.
Karma ipo kwenye everything that goes around, comes around!

Kanuni ya madai ni s/he who alleges, must prove not the otherwise!.
Unajirudia tena.
Tofauti na unavyosema, Spika ndie alipaswa kuishtaki Chadema kwa kumchafua kuwa amefoji barua. Angedai damages kibao na kutoa hizo genuine barua kama ushahidi.
Aliyechafuliwa ndie aliyepaswa kushtaki na sio otherwise. Kama sehemu ya mashtaka yake angeiwasilisha hiyo barua Mahakamani kuthibitisha kuwa tuhma za wakina Mnyika zilikuwa za uongo. Shida ni kuwa wakina Mnyika wangepewa ile barua ili waandae utetezi wao. Hilo jambo hakulitaka kabisa.

Amandla...
 
Tatizo hapa ni kuwa unaanza na imani yako kuwa kuna barua iliandikwa na Chadema.
Mkuu Fundi Mchundo , with due respect, hili sio suala la imani, kama imani za dini watu kuaminishwa Mungu yuke kule juu mbinguni, peponi ni mawinguni, na kuna motoni, hivyo watu wakisali wanapiga magoti kumuomba Mungu aliye juu, wakati ukweli, ni Mungu wa kweli yuko ndani yako!, mbinguni, peponi, motoni, jehanum, ni hapa hapa duniani.

Kwenye hii issue, this is something real, sio mambo ya imani!, barua ya ukweli, bonafide genuine, imeandikwa kweli na Chadema, kwenye letter head bonafide genuine ya Chadema, na kusainiwa na Chadema officer bearer, (mimi najua ni saini ya nani) ikapelekwa NEC kwa despatch ya Chadema, the despatch book Chadema wanayo, kiserikali, barua zote za serikali, zinapelekwa two copies, zikiisha pokelewa, ile copy inagongwa muhuri wa received, na wao kupewa copy yao!, aliyepeleke barua ya Chadema yupo, na copy alipewa, sasa kama ofisi haina kumbukumbu, hayo sasa ni mambo yao ya ndani, waulizane tuu vizuri wenyewe kwa wenyewe ndani kwa ndani, lakini amini nakuambia hao wabunge hawakujiteua, waliteuliwa Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kama kweli wana barua walioandikiwa na Chadema, halafu Chadema wakawa wanakana kuandika, it makes sense kuwa wangeiweka hadharani ili kuonyesha Chadema ni waongo.
What for, NEC na Bunge hitaji lao ni wabunge, wamewapata!, they have no bussiness with Chadema!. Kama kulikuwa na fojari yoyote, it was upon Chadema sio kulalamika bali kuripoti kunakohusika.
Haingii kichwani kuwataka Chadema waonyeshe barua ambayo wanakana kuwa waliandika. Spika na wenzake kukataa kuionyesha hiyo barua inaweza kuwa na maana hizi:
1. Hawana hiyo barua kwa hiyo hawawezi kuitoa.
2. Walifoji barua na wanahofia wakiitoa wataumbuka.
3. Iliandikwa kwa kificho na mtu ambae hakuwa na mamlaka ya kuiandika. Na makubaliano yalikuwa isitolewe hadharani ili kumlinda.
Hapo Mkuu Fundi, liondoe Bunge, has no bussiness kwenye issue ya uteuzi, Spika kapelekewa wabunge na Tume through proper channels. Mapendekezo ya majina ya vitu maalum yanafanywa na vyama na kupeleka Tume, ambayo ndio inawapa barua za uteuzi. na kuripoti Bungeni. Bunge has no business with uteuzi wa vyama, ndio maana kuna wakati waliteua watoto wao, dada zao, vidumu vyao, wapenzi wao hadi vimada wao, michakato ya ndani ya vyao ni kwa vyama vyenyewe, Tume ikipokea majina inawateua na kumpa Spika!
Hicho ndicho kilichotokea hapa. Haiwezekani Ndugai afiche barua kama ile kwa jinsi alivyokuwa haipendi Chadema na viongozi wake. Aidha, barua ile ingekata mzizi wa fitna na kuthibitisha kuwa wakina Halima ni wabunge halali.
Hakuna barua yoyote ya Chadema bungeni, kule ni barua za uteuzi za Tume!, hakuna barua yoyote iliyofichwa na Bunge, barua ya Chadema ni kwa Tume!
Kwa hiyo waliyokuwa nayo ni barua iliyopendekeza majina na sio ya uteuzi. Tume ndio iliteua wabunge kutoka orodha hiyo. Kwa mantik hiyo Chadema haikuteua mtu. Hiyo barua ya mapendekezo si kila chama kinaitoa? Sasa Tume inashindwa nini kuitoa ili kuthibitisha kuwa hata yule mbunge aliyetokea rumande alikuwemo kwenye orodha. It does not make any sense.
Tume ifanye yote haya for what?!.
Hapana. Mtu akishutumu kosa ni wajibu wa aliyeshutumiwa kuthibitisha kuwa shutma zile ni za uongo. Na kusema kuwa wangeenda Mahakamani kudai haki ni kuwa disingenous maana ingekuwa ni kupoteza wakati. Uthibitisho ni namna kesi ya wakina Halima ilivyovutwa mpaka mwisho wa term zao.
Utaratibu wa kijinai uko wazi very clear, mimi na wewe ni majirani, ikatokea wewe umenunua Range Sport ya gold!,
1776502261052.png

Siku moja umeamka asubuhi, gari huioni!, imeibiwa!. Kwa vile gari hii ilitengenezwa moja tuu custom made kwa ajili yako, unaamua usiripoti polisi kuibiwa kwasababu ikiendeshwa popote, utaiona!.
Ukiwa juu ghorofani kwako, ukaona Range ya gold kama yako imepaki kwangu, je utakuja kuniomba nikuonyeshe kadi yangu, au utaripoti kwanza polisi kuwa umeibiwa gari, kisha utatoa ripoti kuwa umeiona gari kama hiyo nyumbani kwangu, polisi watakuja na search warrant, ndio mamlaka pekee ya uchunguzi wa kijinai ndani ya JMT.

Baada ya Chadema kuona wabunge wameapishwa na KM wa Chadema, JJ Mnyika kuthibitisha kuwa yeye ndie the only signatory wa barua za chama na hajaandika barua yoyote wala kusaini barua yoyote ya uteuzi wa wabunge hao, hivyo barua iliyowasilishwa Tume, ni barua ya kughushi, wameiba bonafide headed paper ya Chadema, wameiba the official seal ya Chadema ambayo inakaa ofisini kwa KM, wakaandika barua fake ya uteuzi, mtu akaisaini kwa kujifanya ni KM, na kuiwasilisha Tume.

Kitu cha kwanza Chadema kufanya, ni kutangaza hawajaandika barua, kitu cha pili ni kuripoti polisi kuwa kumefanyika jinai ya kughushi, hivyo polisi kama mamlaka ya uchunguzi, ndio wenye mamlaka ya kuomba barua ya uteuzi inayodaiwa ni ya Chadema na kuifanyia a forensic investigations, wakikuta ni fojari, polisi ndio wanaiarifu Tume, hiyo barua ni fojari, Tume inatengua uteuzi wao, ndipo kisha waitane na kutimuana!.
Kama ni hivyo basi ni utaratibu mbovu maana ni lazima Tume imthibitishie Spika kuwa imefuata utaratibu.
Mchakato wa ndani ni issues za vyama zenyewe, Tume kazi yake ni kupokea tuu barua za majina na kufanya uteuzi.
Njia pekee ya kufanya hivyo ni ama kuweka kiambatisho au reference namba ya barua waliyopokea kutoka Chadema. Na kama kweli Spika alikuwa msafi katika hili suala lote, baada ya kusikia malalamiko ya Chadema, angedai nakala ya barua hiyo kutoka Tume ili kujisafisha yeye pamoja na Bunge lake. Au angewaita Chadema ili waje mbele ya Bunge kurudia na kuthibitisha shutma zao. Ukimya wake unaonyesha kuwa kuna kitu hakutaka kijulikane.
Huku kutakuwa ni kuingilia mambo ya ndani ya vyama yasiyomhusu!.
Unathibitishaje kuwa haujaandika barua? Unachoweza kuthibitisha ni kuwa haujaandika barua unayodaiwa kuandika baada ya kuonyeshwa hiyo barua. Wataripoti vipi fojari wakati hawajaandika hiyo barua na hawajaona hiyo inayodaiwa imetoka kwao?
Tunarudi kule kule, wewe unaedai hujaandika barua, ndio mwenye jukumu la kuripoti hiyo fojari, na ni mamlaka ya uchunguzi ndio yenye uwezo wa kufanya uchunguzi wa kijinai wa fojari !.
Unahaki ya kuomba nakala ya barua ambayo umeandika. Hilo mbona linafanyika siku zote! K.m. kama umepoteza barua ya kukubali uteuzi, mahali pa kwanza pa kukimbilia ni kwenda kwa aliyekuteua na kuomba nakala ya barua hiyo. Hii wala sio police case kama unavyotaka kulazimisha.
Ni kweli, hili hufanyika, kama Chadema wangetanguliza kuomba copy kabla ya kutuhumu, wangepewa, lakini ukiisha tuhumu, then this is a police case, you must prove!.
Tofauti na unavyosema, Spika ndie alipaswa kuishtaki Chadema kwa kumchafua kuwa amefoji barua. Angedai damages kibao na kutoa hizo genuine barua kama ushahidi.
Spika has nothing to do with this! Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
Aliyechafuliwa ndie aliyepaswa kushtaki na sio otherwise. Kama sehemu ya mashtaka yake angeiwasilisha hiyo barua Mahakamani kuthibitisha kuwa tuhma za wakina Mnyika zilikuwa za uongo. Shida ni kuwa wakina Mnyika wangepewa ile barua ili waandae utetezi wao. Hilo jambo hakulitaka kabisa.

Amandla...
Najua kuna wengi humu wana mapenzi sana na Chadema na wana mahaba sana na Chadema, lakini hawaisadii kwa kuiambia ukweli, huku akina sisi tunao ikosoa Chadema ndio tunaisaidia

Niliwahi kuandika humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

Hata ile 2015, ilikuwa Watanzania tuwape nchi Chadema, sisi wazalendo, tukawafungua macho wananchi GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Niliwahi kuuliza Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Chadema, bado sana!.

P
 
Mkuu Fundi Mchundo , with due respect, hili sio suala la imani, kama imani za dini watu kuaminishwa Mungu yuke kule juu mbinguni, peponi ni mawinguni, na kuna motoni, hivyo watu wakisali wanapiga magoti kumuomba Mungu aliye juu, wakati ukweli, ni Mungu wa kweli yuko ndani yako!, mbinguni, peponi, motoni, jehanum, ni hapa hapa duniani.

Kwenye hii issue, this is something real, sio mambo ya imani!, barua ya ukweli, bonafide genuine, imeandikwa kweli na Chadema, kwenye letter head bonafide genuine ya Chadema, na kusainiwa na Chadema officer bearer, (mimi najua ni saini ya nani) ikapelekwa NEC kwa despatch ya Chadema, the despatch book Chadema wanayo, kiserikali, barua zote za serikali, zinapelekwa two copies, zikiisha pokelewa, ile copy inagongwa muhuri wa received, na wao kupewa copy yao!, aliyepeleke barua ya Chadema yupo, na copy alipewa, sasa kama ofisi haina kumbukumbu, hayo sasa ni mambo yao ya ndani, waulizane tuu vizuri wenyewe kwa wenyewe ndani kwa ndani, lakini amini nakuambia hao wabunge hawakujiteua, waliteuliwa Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

What for, NEC na Bunge hitaji lao ni wabunge, wamewapata!, they have no bussiness with Chadema!. Kama kulikuwa na fojari yoyote, it was upon Chadema sio kulalamika bali kuripoti kunakohusika.

Hapo Mkuu Fundi, liondoe Bunge, has no bussiness kwenye issue ya uteuzi, Spika kapelekewa wabunge na Tume through proper channels. Mapendekezo ya majina ya vitu maalum yanafanywa na vyama na kupeleka Tume, ambayo ndio inawapa barua za uteuzi. na kuripoti Bungeni. Bunge has no business with uteuzi wa vyama, ndio maana kuna wakati waliteua watoto wao, dada zao, vidumu vyao, wapenzi wao hadi vimada wao, michakato ya ndani ya vyao ni kwa vyama vyenyewe, Tume ikipokea majina inawateua na kumpa Spika!

Hakuna barua yoyote ya Chadema bungeni, kule ni barua za uteuzi za Tume!, hakuna barua yoyote iliyofichwa na Bunge, barua ya Chadema ni kwa Tume!

Tume ifanye yote haya for what?!.

Utaratibu wa kijinai uko wazi very clear, mimi na wewe ni majirani, ikatokea wewe umenunua Range Sport ya gold!,
View attachment 3574838
Siku moja umeamka asubuhi, gari huioni!, imeibiwa!. Kwa vile gari hii ilitengenezwa moja tuu custom made kwa ajili yako, unaamua usiripoti polisi kuibiwa kwasababu ikiendeshwa popote, utaiona!.
Ukiwa juu ghorofani kwako, ukaona Range ya gold kama yako imepaki kwangu, je utakuja kuniomba nikuonyeshe kadi yangu, au utaripoti kwanza polisi kuwa umeibiwa gari, kisha utatoa ripoti kuwa umeiona gari kama hiyo nyumbani kwangu, polisi watakuja na search warrant, ndio mamlaka pekee ya uchunguzi wa kijinai ndani ya JMT.

Baada ya Chadema kuona wabunge wameapishwa na KM wa Chadema, JJ Mnyika kuthibitisha kuwa yeye ndie the only signatory wa barua za chama na hajaandika barua yoyote wala kusaini barua yoyote ya uteuzi wa wabunge hao, hivyo barua iliyowasilishwa Tume, ni barua ya kughushi, wameiba bonafide headed paper ya Chadema, wameiba the official seal ya Chadema ambayo inakaa ofisini kwa KM, wakaandika barua fake ya uteuzi, mtu akaisaini kwa kujifanya ni KM, na kuiwasilisha Tume.

Kitu cha kwanza Chadema kufanya, ni kutangaza hawajaandika barua, kitu cha pili ni kuripoti polisi kuwa kumefanyika jinai ya kughushi, hivyo polisi kama mamlaka ya uchunguzi, ndio wenye mamlaka ya kuomba barua ya uteuzi inayodaiwa ni ya Chadema na kuifanyia a forensic investigations, wakikuta ni fojari, polisi ndio wanaiarifu Tume, hiyo barua ni fojari, Tume inatengua uteuzi wao, ndipo kisha waitane na kutimuana!.

Mchakato wa ndani ni issues za vyama zenyewe, Tume kazi yake ni kupokea tuu barua za majina na kufanya uteuzi.

Huku kutakuwa ni kuingilia mambo ya ndani ya vyama yasiyomhusu!.

Tunarudi kule kule, wewe unaedai hujaandika barua, ndio mwenye jukumu la kuripoti hiyo fojari, na ni mamlaka ya uchunguzi ndio yenye uwezo wa kufanya uchunguzi wa kijinai wa fojari !.

Ni kweli, hili hufanyika, kama Chadema wangetanguliza kuomba copy kabla ya kutuhumu, wangepewa, lakini ukiisha tuhumu, then this is a police case, you must prove!.

Spika has nothing to do with this! Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Najua kuna wengi humu wana mapenzi sana na Chadema na wana mahaba sana na Chadema, lakini hawaisadii kwa kuiambia ukweli, huku akina sisi tunao ikosoa Chadema ndio tunaisaidia

Niliwahi kuandika humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

Hata ile 2015, ilikuwa Watanzania tuwape nchi Chadema, sisi wazalendo, tukawafungua macho wananchi GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Niliwahi kuuliza Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Chadema, bado sana!.

P
Tunarudi pale pale. Mpaka sasa haujatoa sababu ya maana ya hiyo unayoita bonafide letter hadharabi. Chama chako hakijaanza leo mchezo huo. Mara kadhaa wamejitokeza watu waliowasilisha barua za uteuzi walizodai zinatoka Chadema ( muathirika mmoja wa mchezo huu ni Boni Yai). Chadema walipozikana walipuuzwa.
Mfano uliotoa wa gari hauendani na suala hili maana angalau mhusika ameona gari linalofanana na lake. Akienda polisi atasikilizwa. Chadema hawajaona hata hiyo barua, sasa wataanzaje kumshitaki mtu yeyote polisi kwa kitu ambacho hawajakiona? Ushahidi pekee ni kuwa Spika aliapisha watu ambao hawakupata baraka yao. Ndio maana walimuandikia Spika kuhusu suala hilo kumfahamisha kuwa hao aliowaapisha hawakupitia utaratibu uliotakiwa na chama chao. Kama nakumbuka vizuri Spika aliisoma barua ya Mnyika na kuibeza kuwa kwake yeye ni kama kijigazeti tu kwa sababu haikuwa na kiimbatisho. Katika hali hiyo bado ulitaka Chadema waende polisi wakiwa mikono mitupu na kutoa shutuma nzito dhidi ya Spika? Chadema walifanya vyema kufuata njia ya kuwafukuza uanachama na hivyo kuwakosesha sifa ya kuwa wabunge. Hiyo nayo ikawekewa mizengwe na Spika ya eti kuna kesi Mahakamani ingawa chama chake kilipowavua uanachama wabunge wake alitangaza mara moja kuwa nafasi hizo ziko wazi! Na mizengwe hiyo ikaendelezwa na aliyemrithi kiti chake. Kwenye hili unawaonea Chadema.

Amandla...
 
Tunarudi pale pale. Mpaka sasa haujatoa sababu ya maana ya hiyo unayoita bonafide letter hadharabi. Kwenye hili unawaonea Chadema.

Amandla...
Naomba tufike mahali, tukubaliane kutokukubaliana, wewe amini Chadema haikuwateua, haikundika barua, na barua ya Chadema, iliyowasilishwa Tume ni barua fake hivyo wabunge wale wamejiteua na kuisaliti Chadema, kufukuzwa kwao ni halali.
Mimi najua baada ya Tume kutoa viti 19 na Chadema kama chama kikavigomea, watu wenye jicho la mbali la kuangazia fursa, wakaangazia, waka consult viongozi, wakapewa baraka, wakapewa barua, bonafide genuine, wakaiwasilisha bungeni na kwenda Dodoma kuapishwa!. Kati ya hao 19, wanne ni wenza wa viongozi, ambao ni wajumbe wa CC, wakiishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja pika pakua!, haiwezekani mwenza aibukie Dodoma kuapishwa wewe hujui!. Kati ya hao wajumbe wanne wa CC ya Chadema, ni mmoja tuu ndio kweli mwenza wake aliibukia Dodoma kuapishwa bila kuaga, na aliporejea, alimtwanga talaka tatu pale pale!, lakini wengine huku wanawatimua hao kina dada, huku they still share the bed!, na wengine hata baada ya kutimuliwa waliitana mahali na kubembelezwa waombe msamaha wasamehewe, Kamanda wao aligoma kwadababu japo hawakuteuliwa na kikao chochote halali, barua zao zilikuwa bonafide genuine, wakawagomea na kukutana mahakamani.

Kitendo cha kuwavua uanachama na kufukuza kama mbwa, watu walioipigania Chadema kwa machozi jasho na damu, kulipelekea bad karma kuitandika Chadema. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Kama kesi ingeendelea mahakamani, hawa wadada wangeshindwa The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

Naomba nikushukuru kwa kupangua hoja kwa hoja, umenikumbusha jf ile ya hoja kujibiwa kwa hoja na sio kwa viroja.
Uwe na weekend njema.

P
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Wewe pale chamani una cheo gani
 
Tangu lini ccm ikaaminika?
CCM kama CCM ni chama cha kuaminika sana, tatizo lake ni watu na sio chama, haswa hawa jamaa wanaoitwa wahafidhina, hili nilimshauri hata Mbowe, Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

Hivyo kuna vitu vibaya vinatokea, mfano aliyetoa amri watu wauwawe kwa risasi za moto ile October 29, kuna watu wanadhani ni yeye, hadi kuosusia tume yake, kiukweli sii yeye ni wasaidizi wake wamempoteza kwa kutokumwambia ukweli.

CCM ni chama makini sana na chakuaminika sana, tatizo wahafidhina!.

 P
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Mbona Slaa kasamehewa kwa nini isiwe kwa Mdee pia?
 
Back
Top Bottom