Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Kuna watu wamefanya mabaya kuliko Halima Mdee na mkawasemehe. Watu waliandika vitabu kuishutumu Chadema kuhusika na uovu mkubwa mkawasamehe. Pamoja na kosa la Covid 19 lakini hawakusimama hata siku moja kuichafua Chadema. Nadhani huu ni wakati wa kusameheana pande zote. Chadema nayo iombe radhi kwa wale ambao haikuwatendea haki.

Amandla....
Tutashindana kwa hoja
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Mungu anasamehe kwanini sisi wanadamu tusiwe wasamehevu?
 
Halima Mdee ni chadema
damu, ndo maana ahangaiki na pesa au vyeo vya maccm.
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Naunga mkono hoja,chama kinawatu wengi tu wenye uwezo, hakuna haja ya kurudiarudia watu ambao hawana msimamo.
Umeandika kwa uchungu sana i know how you fill.
 
Kati ya majitu majinga kabisa ya Chadema ni wewe!, mimi sio Chadema, ila kwa vile ni mwandishi wa habari, nina some access ya intel!
  1. Barua iliyowapeleka Bungeni ni bonafide genuine letter na imesainiwa na kigogo wa Chadema ambaye ni officer bearer, Mdee kosa lake ni nini?!.
  2. Niliwashauri kitu toka ile day 1, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  3. Mdee ni Mwenyekiti wa BAWACHA, mamlake ya nidhamu ni Baraza Kuu, mamlaka ya rufaa ni mkutano mkuu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumfukuza?! Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
  4. Kwa taarifa yako, labda ni wewe tuu ndio hujui, JJMnyika na Heche wameisha jua Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
  5. Katika wanawake wote wa Chadema waliopo, hakuna wa calibre ya Mdee, Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Kuna vitu ni vya Chadema wenyewe insider tuu, majitu majinga majinga kama hili, hayavijui!, Mdee kosa lake ni nini mpaka asiweze kusamehewa!, kama ni Chadema waliotangaza ile list ya mafisadi pale Mwembe Yanga na wakamsamehe kubwa lao, na kumfanya mgombea wao, wanashindwaje kumsamehe Mdee?!

Hebu acha hizo!, na kwa taarifa yako, Mdee akisamehewa, 2030 analitwaa jimbo la Kawe kama amelikota kwasababu mimi namjua mgombea wa CCM kawe 2030 ni mwanamke!, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

P.
Kwamba barua ikisainiwa na Mbowe ndio ina uhalali wa chama? Kama ilisainiwa na huyo kiongozi ajitokezes ni nani ili asamehewe. Kama vipi aende Chauma huko kuna wenzake wa team Mbowe. Vinginevyo huyo Mdee anayeweza kusaliti misimamo ya chama kwa ajili ya madaraka/fedha, ataishia kuwa shushu wa habari za ndani za cdm.
 
Kiukweli Mdee ni shujaa wangu, ni chuma cha pua!, ili kukilinda chama kisiparaganyike, ameamua kufa kizungu na tai shingoni kwa kutomtaja ila wenye akili wote wanamjua na ndio maana watamsamehe Mdee bila kumtaja mchawi wao!. Mdee is a jewel, kwa Chadema kuendelea kumfukuza, it has everything to loose and nothing to gain kwasababu Chadema haina mtu wa calibre ya Halima. "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
P
 
Katiba ya Chadema ni wapi imeandika Mbowe anaweza kuteua viti Maalum?
 
Kuna watu wamefanya mabaya kuliko Halima Mdee na mkawasemehe. Watu waliandika vitabu kuishutumu Chadema kuhusika na uovu mkubwa mkawasamehe. Pamoja na kosa la Covid 19 lakini hawakusimama hata siku moja kuichafua Chadema. Nadhani huu ni wakati wa kusameheana pande zote. Chadema nayo iombe radhi kwa wale ambao haikuwatendea haki.

Amandla....
Nimeguswa Ubarikiwe Sana!. Chadema ina upungufu mmoja mkubwa sana, haina watu wenye busara!, lakini wangeufuata ule ushauri wangu wa 2020 kuhusu hawa wabunge, Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!,

Kisha wakashiriki uchaguzi wa 2025 kama nilivyoshauri hapa PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

Saa hizi wangekuwa kwenye safari ya kupanga mikakati hii Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

P.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema Heche wala Lissu hawana uwezo wa kumsamehe mtu

Ni vikao vya CHAMA pekee
Sawa. Lakini kama hivyo makamu anavyoongea kwenye vyombo ni sehemu mojawapo ya kuwaandaa watu kiakili. Nikusihi sana na wewe kama ni miongoni mwa sekretari ya vikao vya chama. Kubaliana na makamu kwa masilahi mapana ya chama. Badala ya kuingia kwenye mabishano kuhusiana na hili
 
Mdee hana maslahi yoyote Chadema n.a. hakuna hasara yoyote tutapata kwa yeye kuwa nje
 
Nimeguswa Ubarikiwe Sana!. Chadema ina upungufu mmoja mkubwa sana, haina watu wenye busara!, lakini wangeufuata ule ushauri wangu wa 2020 kuhusu hawa wabunge, Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!,

Kisha wakashiriki uchaguzi wa 2025 kama nilivyoshauri hapa PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

Saa hizi wangekuwa kwenye safari ya kupanga mikakati hii Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

P.
Kwanini asiende CHAMA chako cha ccm
 
Back
Top Bottom