Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Kwamba Mdee akisamehewa, 2030 analitwaa Jimbo la Kawe, No! Kwa Tume hii hii na sheria hizihizi NO!Kati ya majitu majinga kabisa ya Chadema ni wewe!, mimi sio Chadema, ila kwa vile ni mwandishi wa habari, nina some access ya intel!
Kuna vitu ni vya Chadema wenyewe insider tuu, majitu majinga majinga kama hili, hayavijui!, Mdee kosa lake ni nini mpaka asiweze kusamehewa!, kama ni Chadema waliotangaza ile list ya mafisadi pale Mwembe Yanga na wakamsamehe kubwa lao, na kumfanya mgombea wao, wanashindwaje kumsamehe Mdee?!
- Barua iliyowapeleka Bungeni ni bonafide genuine letter na imesainiwa na kigogo wa Chadema ambaye ni officer bearer, Mdee kosa lake ni nini?!.
- Niliwashauri kitu toka ile day 1, CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
- Mdee ni Mwenyekiti wa BAWACHA, mamlake ya nidhamu ni Baraza Kuu, mamlaka ya rufaa ni mkutano mkuu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumfukuza?! Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
- Kwa taarifa yako, labda ni wewe tuu ndio hujui, JJMnyika na Heche wameisha jua Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
- Katika wanawake wote wa Chadema waliopo, hakuna wa calibre ya Mdee, Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Hebu acha hizo!, na kwa taarifa yako, Mdee akisamehewa, 2030 analitwaa jimbo la Kawe kama amelikota kwasababu mimi namjua mgombea wa CCM kawe 2030 ni mwanamke!, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!
P.
Vv