Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

kimone

Member
Apr 2, 2015
45
12
Wana Jf naomba wale wenye kujua nafasi za kujiunga na jeshi la polisi chuo cha CCP-moshi zinatoka lini na huwa taarifa zinatolewaga kwa njia zipi? nimejaribu kufungua website ya polisi tz sijafanikiwa kupata taarifa hizo wakuu.<br />Natanguliza shukrani zangu
 
Mkuu tembelea tovuti ya polisi, au kaulizie kwa mshauri Wa mgambo Wa wilaya uliyoko

Au Funga safari nenda ccp moshi ...

Habari za humu ni stori-kijiwe tuu!
 
Mkuu tembelea tovuti ya polisi, au kaulizie kwa mshauri Wa mgambo Wa wilaya uliyoko

Au Funga safari nenda ccp moshi ...

Habari za humu ni stori-kijiwe tuu!
Nashukuru mkuu kwa ushauri, ila nimejaribu kupitia website yao lkn sijaona swala hilo
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri, ila nimejaribu kupitia website yao lkn sijaona swala hilo
Vuta subira! Lakini usicheze mbali ya tovuti yao! Ila pia ungepata mtu ambaye ni Afisa Wa jeshi la polisi anaweza akaku-alert mapema ..coz wanajuaga deal linatoka lini
 
walikua watoke mwezi wa tano butt kutokana na mambo ya uchaguzi wa bara na visiwan na wengi wao walipelekwa huko so wameongezewa miez miwili hivyo watatoka mwezi wa 7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom