laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
Polisi wametosha serikali haina ela ya kuwaajiri wengine
Asante sana kaka kwa taarifaWanamaliza mwezi wa 6 trh 24 hivyo kuwa na subira kk hatahivyo inasubiriwa bajeti ipite mambo yatakua mazuri tuu hivi karibuni
Kwani polisi jamii ndio wapelelezi.?,na kama ni wapelelezi si wanatokea hukohuko CCP,naomba unieleweshe mkuu.Ukikosa polisi jiunge polisi jamii
Hata mtaani wanachukuaga waliomaliza vyuo.Pia polisi wanachukua wanao maliza form 4 na 6 cjui wa mtaani inakuwaje wanabidi wachukue na wa mtaani
Kwaiyo ni mtu anayefanya kazi ya kizarendo bila malipo auPolisi jamii n mtu yoyote ambaye yupo tayari kuisaidia polisi
Mkuu tanzania askari hawajawahi kutosha hata kidogoPolisi wametosha serikali haina ela ya kuwaajiri wengine
TrueMkuu tanzania askari hawajawahi kutosha hata kidogo
Wamemaliza juzi 24.06.2016hiviii walio kwenye mafunzo pale CCP moshi wanamaliza lini
acha uboyamwaka huu hatutoi
Mkuu hao Services wa jkt wao hupenda TPDF 90% wachache sana hupenda police n.k mfano wale waliomalza mafunzo ya upolisi mwaka huu waliotoka jkt kwenda polisi walikua 1200 wengi wao hawafanyi kabisa usaili wa polisihakuna ajira mwaka huu jaribu mwakani na hatuchukui uraia jkt kuna proffesional zote sasa hivi