Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

Kuhusu Kujiunga Jeshi la Polisi 2016

Jeshi la polisi wamesimamisha ajira mpaka hapo watakapotangaza tena, may be 2-3 yrs to come

Usiseme nakuchuria mkuu ukweli ndio huo
Kama kweli ndio hivyo itabididi tu kukubaliana na hali halisi so kama itatokea updates zozote kuhusu hizo nafasi usisite kutujulisha mkuu.
 
Nasikia sikia tu kua jamaa wameamua kufanya yao kuhakikisha hakuna janja janja ya ajira kwa ngazi zooote Tanzania....
hivyo tukue na subira kidogo
 
Watu walianza kutapeliwa na makanjanja ni vizuri walivyosema wamesitisha ajira ili ukipigwa hela basi ukose kwa kulalamikia
 
Hamna anayefahamu nini kinaendelea,,ila kutokana na malengo ya jeshi kusitisha ajira ni uongo ,kuna malengo ma 3 still yanatekelezwa hayo ni community policing,professionalism, na modernization via technology na mbinu mpya e.t.c...ili haya yafanyike still wataalamu wa community policing kama watu waliosomea law enforcement na sociology wanahitajika, kwa zama za technology na vita baina ya cybercrimes watu wa IT, forensic still wanahitajika...ukisema jeshi litajiendeleza kwa wafanyakazi waliopo..wakufunzi wa polisi waliobobea kwenye haya mambo sio wakutosha kuendana na kasi ya mabadiliko haya...mpaka hawa maproffessionals watakapopatikana polisi wanaweza kusema kua wanahitaji namba ndogo ya polisi maana watakua na backup ya surveillance technology na community police....so kuwa raia mwema, jiandae mtaenda tu.
 
Asante bro kwakutupa mahope ya kuendelea kusubiri
 
mtaenda tu huko polisi kwenu mnapotaka kwenda na ajira zipo mm ndugu yangu kamaliza coz juzi pale ccp kwa degree ya elimu na sasa kaisha pangiwa kituo anaye kwambia hakuna ajira yeye nani?Embu muulize ww nani ndani ya jeshi lq polisi?
 
Ukweli ni kuwa ajira zimesitishwa kwa muda 2-3yrs, kuna mabadiliko yanatakiwa kufanyika kabla ya kuajiri askari wengine- kwa sasa mambo yapo vuruvuru haijulikani nani std7 nani graduate, statistics hazijakaa poa, promotion, mabadiliko ya vitengo kuongeza ufanisi, n.k

Mdau anayesema wataajiri soon ni muongo typical, eti "wanahitaji wataalamu", police force tayari wana pro hata kama si wa kutosha lakini bado hawajatumika effectively, mabadiliko yanafanywa kuwaweka wataalamu hawa kwenye vitengo husika kabla ya kufikiria kuajiri askari wengine. Acheni kuwadanganya madogo bali waambieni wafanye kazi zingine huku wakiendelea kusubiri.
 
kuna point hapa ya msingi..
polisi kuna ma pro wengi lakin nahisi bado hawajatumika effectivelly, so watu tuweni na subira, jeshi letu lipo na linatupenda.
 
Back
Top Bottom