woodpecker24
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 449
- 1,021
hujachelewa anza sasa faida ni nyingi kuliko hasara kulinganisha na madawa ya hospitaliniKweli mkuu... hata mimi i wish niwe natumia mitishamba kuliko hii midawa ya hospital
hujachelewa anza sasa faida ni nyingi kuliko hasara kulinganisha na madawa ya hospitaliniKweli mkuu... hata mimi i wish niwe natumia mitishamba kuliko hii midawa ya hospital
Kweli mkuu... kuna dr. sebi nataka nianze kumfatilia ni mtaalamu wa mitishambahujachelewa anza sasa faida ni nyingi kuliko hasara kulinganisha na madawa ya hospitalini
na kama upo mtandao x mtafute chief herbalist utagundua mengi na kujifunza mengi kwa mimea inayokuzunguka.Kweli mkuu... kuna dr. sebi nataka nianze kumfatilia ni mtaalamu wa mitishamba
Vile vitu vina mazindiko mazito ya ulinzi siyo mambo mepesi kama watu wanavyo fikiria. na ndo maana hata pesa yake usipo iwai kwa kuilinda hupotea katika mazingira tatanishi either kwa kujua au kutokujua. na ulinzi huwa ni mwepesi pindi ukiipata ila kutimiza ndo kipengele kingine(pindi uipatapo kamwe usithubutu kuanza itumia kwenye anasa mana ile moja ya njia yao kuitudishia na ukianza ni mpaka iishe ndo unashtuka😅 bali toa fungu la kumi kwa Mungu alafu iombee na kuilekeza kwenye kitu muhimu kama ujenzi au biashara ikizaa ndo uanze matumizi tofauti na hapo utabakika story tu niliwai kushinda hii amount ila sijui nilifanyia nini)Utapeli mtupu
Amen... kama utauquote itapendeza sana.na kama upo mtandao x mtafute chief herbalist utagundua mengi na kujifunza mengi kwa mimea inayokuzunguka.
pia humuhumu kuna uzi wa tiba kutokana na mimea inayotunguka. itakusaidia na utamrudishia Mungu sifa na utukufu siku zote za maisha yako kwa kujiokoa na mengi.
Amen... kama utauquote itapendeza sana.
Amen... kama utauquote itapendeza sana.
Vp kama nikikamta nyoka na kumtoa sumu na meno nikawa nalala nae vp pesa itakuja?Kukwambia ukweli wa mambo, hakuna dawa ya miujiza au ya kishirikina inayoweza kukutengenezea pesa ukiwa umelala.
Story zote za kupata utajiri wa haraka bila kufanya kazi yoyote (kama vile ramli, ushirikina, au miradi ya upatu) mara nyingi ni utapeli unaolenga kukuacha ukiwa maskini zaidi.
vya kupanga si ndio vinakua bafu na choo sehemu moja?Privacy ndio muhimu hata kama umepanga
Hii nilikuwa siijui mkubwa wa kazi umenipa ziada nyingine, nashukuru Mungu kaka nimekaa sana na vichwa toka congo kuna baadhi ya madini wale broo's wanaku bless mi nashangaa sana huku kwetu ukisema kitu wanasema ulozi congo hata wasabato kule wanatibika wao waamini sasa wakatae wenyewe mkuu mshana miaka ya nyuma sana uliweka nyuzi ya ishu ya chumvi ya mawe ila wapo walitubu ... Tiba zipo ni basi tu kwasababu bandiko wanaandikwa na waafrika.mchanganyiko maarufu unaotajwa kusaidia kukabili tatizo la kukosa usingizi (insomnia) pamoja na kuleta utulivu wa mwili ni majani ya mpera yakichemshwa pamoja na kitunguu saumu.
Vilevile, baadhi ya watu hutumia mchanganyiko wa majani ya mparachichi au majani ya mchaichai kutokana na uwezo wake wa asili wa kutuliza mfumo wa neva na kupunguza msongo wa mawazo.
NiceNipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa kwenye
Kutopatwa na mauzauza tena
Kuota ndoto mbaya na za kuogofya
Kupata usingizi mororo
Kukingwa na nguvu hasi za kiroho
Kusafisha nyota zilizofifia
Kutakasa miili iliyokuwa imechafuliwa
Kuboost CD4 za kiroho
Kuleta mvuto
Kuondoa uchovu na kuleta uchangamfu, furaha na amani mioyoni
Baada ya hapo ilifuatia mada ya mrejesho : yatokanayo na tiba mbadala ya chumvi hii ilikuwa maalum kwa...
- Mshana Jr
![]()
- Replies: 357
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hiyo inaitwa mapoozaHii kwa sisi ambao tupo ktk industry ya construction inasaidia?, unaweza kupigiwa simu za kazi hata nne,unafunga safari unaandaa hesabu za kazi,unampa bosi ukisubiri kuitwa kufanya ile kazi,mara kimya miezi inapita hauitwi tena,inaumiza.
Ndio ipoje hiyo?Hiyo inaitwa mapooza
(3,991) Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu | JamiiForums Tanzania https://share.google/HFNIimHW7sZvIFkMLMshana Jr Kwanza nashukuru umerudi kwenye mambo ya asili kuna kipindi ulitutishia kuacha na kuhamia kwenye dini za wazungu tukaogopa.
Naomba unijibu maswali matatu
1.Chumvi ya mawe nachanganya na maji ya baridi au ya uvuguvugu?
2.Je naweza kuogea sabuni then ndo nikaoga huo dawa?
3.Kuhusu punje ya kitunguu saum kuflas unajua tuna shida ya maji matank ya vyoo hayana maji.Naweza kuflash Kwa KUMWAGA maji kawaida?
Imefika muda ufungue PM yako sasa.