Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,917
- 868,462
Wakati mwingine kile kinachopaswa kuondoka maishani mwako kinatoshea kwenye punje moja ya kitunguu saumu 🧄
Fuata mtiririko huu
Tupa punje ya kitunguu saumu kwenye choo kisha utazame ni nini kinachoanza kuondoka maishani mwako:
Kitunguu saumu ni moja kati ya vitu vyenye nguvu zaidi vya kusafisha kiroho ninavyovijua. Kinakata husuda, jicho baya, na nishati nzito na hasi inayong'ang'ania kwako.
Kabla ya kusafisha choo (kufungulia maji), sema:
"Nishati yote hasi iliyogandamana nami ikachukuliwe na maji haya
fanya yote haya ukiwa na nia thabiti, na unaposafisha choo (kufungulia maji), usiendelee kuwaza kile unachotaka kiondoke maishani mwako. Kiache tu kiende.