Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Me nachojua miradi yote aliyotaja Rais hakuna hata mmoja ambao unategemea mapato ya ndani zaidi ya pesa za wafadhili wa nchi za nje na mikopo kutoka nje
 
Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA
Msumari wa nchi 6, Magufuli anabishana na akili kubwa it' s sad....amepewa changamoto ya kuruhusu ukaguzi maalum wa CAG afanye hivyo if he got balls, dadeki!
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Toa hoja zenye kuthibitisha usibwabwaje kwa mipasho
 
Kwenye hili Rais simtetei , huwezi kupata hoja za kushindana na zitto kiwepesi
 
Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA
Mwongo hapaswi kucheleweshwa ajibiwe na kuumbuliwa haraka. Bravo Zitto
 
Dikteta uchwara hii vita na Zitto huwezi kushinda atakuibisha sana maana anaongea na kutoa uhakiki wa namba ukilinganisha na wewe unaropoka ropoka tu bila uthibitisho wowote wa kuonyesha uchumi umekuwa na mtaani Watanzania tunaujua ukweli halisi.

Labda umtumie watu wasiojulikana na SMGs zao vinginevyo utaadhirika vibaya sana.

Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA
 
Wakijaribu kumwondoa LISU wakiamini wamemaliza kila kitu kumbe ndo wamewasha motto. Zitto huyu hapa, pembeni Kuna Nyalandu. Mdee nae kalianzisha, Mwandsya anahoji kule
Sijui watanyamzishwa wangapi, hivi bado wamemshikilia Kigaila, ni upuuzi sana. Siku zote ukweli hujisimamia na haki haipotei.
 
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki

Jadili hoja iliyopo mezani, hatutaki kumjadili mtoa hoja...
 
Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA
Zitto alisoma shule gani? He always shoots himself in the foot with these nonsensical "analyses" of his. Hela za serkali ni fungible, hela zote ni fungible, legal tender can pay for anything. CAG afanye audit kama TRA wameongeza au hawakuongeza collection? Ili iweje, na kwa faida ya nani?
 
Povu la nini tena mnaumbuka sana, Biashara zimeyumba kodi mnapata kwa wauza chips mtogole au?
 
Hivi wewe Kabwe jiulize mara mbili, Sio kila kitu kupinga tu.
Madini yapo hata tandale, embu mlete muwekezaji ambaye yupo tayali kufuata unachosema.
Alafu rudi uandike kuwa hakupewa ushilikiano.
Sio mboga apike mwingi ne kazi yako kusema haina bizali haifai kuliwa na ugali wakati wenzako wanaitisha sahani ya pili ya ugali.

Jifunze kuwa mbunifu, usipande kuwa mwendelezaji.
Akili zinakaribia kuganda sasa
 
Maoni ya Zitto nimeyapenda,iitishwe audit ya CAG tupewe ukweli
Kwani huwa husomi ripoti za CAG au unataka ripoti zipi
Anachofanya Zitto ni kujaribu kukipandisha chama chake baada ya kuondokewa na vichwa vyote huku chadema wakiwa hawajui cha kufanya.
Mnashangilia zitto bila ya kujijua mkiiacha chadema bila ya hoja ya msingi,zitto ameshajichagulia kuwa mpishi wa Takwimu,na hizo ni gagari za muda mfupi tu.
Kusema serikali imekusanya bilioni 600,ilhali ilikusanya T1.3,ni kosa la jinai na anatakiwa kushitakiwa akathibitishe hizo B600 kama alizikusanya yeye
 
Napompendeaga Zitto ni hapo tu, sio mtu wa mipasho na vidole juu kama yule kibwenzi na kidole chake juu cha msisitizo... Zitto huwa anaweka hoja mezani then anakaa kimya, wenye utindio wa ubongo kama baba yao wanaishia kwenye mipasho
Wengi hua wanakula kona au mipasho
 
Back
Top Bottom