Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Zitto alisoma shule gani? He always shoots himself in the foot with these nonsensical "analyses" of his. Hela za serkali ni fungible, hela zote ni fungible, legal tender can pay for anything. CAG afanye audit kama TRA wameongeza au hawakuongeza collection? Ili iweje, na kwa faida ya nani?
Mbumbumbu kama wewe huwezi elewa hoja ya Zitto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiendelea ivyo utamtia hasira mwenzako anapenda pongezi siku zote za maisha yake....
 
Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA

Ndugu yangu ZZK sasa nimeamini ile kauli yako kuwa umeaga na atakaekugusa, hata panya hatabaki!! Otherwise wasiojulikana wanakuseti, please ongeza maarifa kukabiliana nao ili uendelee kutufungua macho.
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza

Leta takwimu wewe!! Unabisha wakati huna lolote? Mwenzio kaweka data, we unaleta mipasho na vidole juu!! Kaa pembeni, wanaume tupo kazini
 
"Rais anaposema serikali inatekeleza miradi mikubwa kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya wananchi anafanya hivyo akijua anadanganya"

Mwisho wa kunukuu.....
IMG_20171022_162526.jpg

Polepole atajibu HILI
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Na kutumia pesa bila idhini ya BUNGE?
 
Siku zote zitto uwa mwongo na haelewi alisemalo ivyo msameheni haelewi tusonge Mbele Raisi wetu mchapa kazi muache zitto aendelee kuongwa kama mdada was kimboka
Hapa sio saizi yako we kilaza peleka matusi yako Instagram kwenye washenzi kama wewe
 
IMG_20171024_091457.jpg

Hayo madeni wana Migebuka WATAYALIPA
 
Tangu aanze kufuga ndevu....siyo yule tuliyemjua enzi zile!hata apayuke vip.....uwaziri hapati ng'o!
 
CAG YUKO WAP JAMAN C NDO KAZ YAKE HII AU NAE ATATUMBULIWA HAAAAAAAAAAAA JAMAA NCHI IMEMSHINDA KAWA MKALIIIII HATAK YY AKISEMA TANO NA WEWE USEME NNE HAHAHAHAHAH MAGUUUUUUUU BASHITEEEE
 
Huyu CAG hajateuliwa na JPM, amemkuta kama alivyomkuta Benno Ndulu
Yaani Prof Assad bado YUPO SANAAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I wish nimtumbue
 
Anaandika kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Taarifa yetu kuhusu ' kupikwa ' Kwa takwimu za Pato la Taifa tutaitoa mara baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Act Wazalendo kitakachoketi 28/10/2017. Sheria ya Takwimu aliyotaja Rais kutaka itumike kuziba watu midomo haizuii tafsiri za Takwimu zinazotolewa na Serikali.

Tunatumia takwimu za Serikali kuonyesha kuwa Serikali inadanganya Kwa kutokusema ukweli wote wa uhalisia wa uchumi na kuporomoka Kwa mapato. Ni sawa na mtu anayesema Glasi ni ' half empty or half full ' kwani anasema kitu kile kile.

Kwa mfano, Rais anaposema kuwa Serikali inatekeleza miradi mikubwa Kwa kutumia ongezeko la kodi anakuwa anadanganya Wananchi na anafanya hivyo akijua anadanganya. Rais anajua kuwa Deni la Taifa limeongezeka Kwa TZS 6.5trn katika miaka yake miwili ya urais. ( Deni la Nje limeongezeka Kwa US$1.5bn ( TZS 4.5trn) kati ya July 2016-July 2017. Deni la ndani limeongezeka Kwa TZS 2trn katika kipindi hicho.

Soma . http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf ).

Pia Rais anajua kuwa Serikali inatumia, bila kufuata sheria, Fedha za Mashirika ya Umma zilizopo Benki Kuu kulipia baadhi ya Miradi yake. Kukiuka sheria za Fedha ni kosa la jinai na wakati mwengine kosa la kikatiba kwani Katiba imeweka utaratibu wa masuala ya Fedha za Umma.

Kodi inayokusanywa na TRA inaweza kulipa mishahara na kuhudumia Deni la Taifa tu. Kwanini Rais wetu hasemi kuwa tunakopa? Kukopa sio dhambi, kwanini aaminishe watu kuwa anatekeleza miradi Kwa kuwa kodi zimeongezeka? Kama Rais anaamini kuwa Mapato hayajaporomoka, aruhusu ukaguzi maalumu wa CAG kwenye Mapato ya July na Agosti 2017 na ukaguzi huo uwekwe wazi Kwa umma.

Rais akifanya hivyo NITAWAJIBIKA
Hawa wamefoji PhD unadhani wanashindwa kufoji kiasi cha mapato,watashindwa kueleza umma uongo?ndivyo alivyo kuanzia uongo ktk ndoa,elimu na uchumi wa nchi.no muongo muongo muongoooi
 
huku zitto huku mkuu nani msema kweli? CAG sina imani nae kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom