Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Ni kwanini ccm mna tabia ya kujibu hoja bila kuweka data? Zitto kaja na data anazoziamini ambazo zinapinga data zilizotolewa na serikali, ni kwanini basi badala ya kutaja mlolongo wa miradi msiseme juu ya madeni ya nje na ndani mmeyalipa kwa kiwango gani kutokana na makusanyo yenu?
Kama kweli kwa uhalisia wa ukusanyaji mnaotamba kuwa nao lipeni madeni ya walimu na pensheni za wastaafu basi kwa kasi hiyohiyo ya ukusanyaji!
Hiyo miradi si ipo kibajeti au kuna ya dharura?
Zitto might be right kama majibu ndiyo yale ya jana!
 
Ukiwa na ligi na zitto uwe na takwimu za kutosha sasa kwa huyu kiongozi wetu nina mashaka naye na takwimu zake. Msema kweli mpenzi wa Mungu. Mara zote Zitto ni Mkweli.
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki
 
Hivi wewe Kabwe jiulize mara mbili, Sio kila kitu kupinga tu.
Madini yapo hata tandale, embu mlete muwekezaji ambaye yupo tayali kufuata unachosema.
Alafu rudi uandike kuwa hakupewa ushilikiano.
Sio mboga apike mwingi ne kazi yako kusema haina bizali haifai kuliwa na ugali wakati wenzako wanaitisha sahani ya pili ya ugali.

Jifunze kuwa mbunifu, usipande kuwa mwendelezaji.
Mkuu povu la nni si amesema mfanye audit kma atakua amepotosha basi atajiuzuru ssa Ngonjera yote hii itasaidia nni
 
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki
Sasa badala ya kujibu hoja mnaanza mshambulia mtu na kabila lake!!! Ccm bhana
 
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki

Si wakati wa Kutishana unajua ukiwa na hoja hakuna atakayekutisha. Muhimu TRA na Gavana watolee ufafanuzi. MH Rais kutumia nafasi yake kupiga vijembe watu sio vizuri awaachie mawaziri, idara huzika wizara na nk, Yeye ni Mtu mkubwa sana kimadaraka apunguze vijembe vijembe akizoea hata kuwa tofauti na Gwajima kila mtu atakuwa na hamu ya kusikliza vijembe badala ya mambo ya maana tunayotaka kutoka kwake.
 
Zitto yupo sahihi..

Siku zote ukitaka kuargue na Zitto lazima uwe na takwimu, na sio takwimu tu, ila takwimu sahihi..

Kitu hiki ndio Mkulu anakikosa..

Mwisho wa siku anamwona ZZK sio mzalendo.
 
Kama rais kujibu na kujibishana kila kitu na kila mtu wakati kuna watendaji ndio madhara yake haya sasa ........inatakiwa ukae kimya watu wapate hamu ya kukusikia sio kila mara wewe tu.....
 
Ni kwanini ccm mna tabia ya kujibu hoja bila kuweka data? Zitto kaja na data anazoziamini ambazo zinapinga data zilizotolewa na serikali, ni kwanini basi badala ya kutaja mlolongo wa miradi msiseme juu ya madeni ya nje na ndani mmeyalipa kwa kiwango gani kutokana na makusanyo yenu?
Kama kweli kwa uhalisia wa ukusanyaji mnaotamba kuwa nao lipeni madeni ya walimu na pensheni za wastaafu basi kwa kasi hiyohiyo ya ukusanyaji!
Hiyo miradi si ipo kibajeti au kuna ya dharura?
Zitto might be right kama majibu ndiyo yale ya jana!
Kwani serikali inatoa wapi data (za kupika)? Mbona naona majibu ya Zitto ni kama yanarejelea taarifa za Benki Kuu (http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER August 2017 Final.pdf )?
 
Sasa nimeelewa kwa nini luoga ameteuliwa juu kwa juu, nadhani gavana aliopo sasa amesema ukweli kuhusu takwimu za uchumi kuwa zinashuka that why kaondolewa na kutuletea mtu aliebobea kutoza ushuru asiejua chochote kuhusu uchumi
 
Kama nawaona lumuba wanavyohaha kutetea pasiko kuja na hoja yenye mashiko PR anapumilia mashine ya oxygen watanzania wa 2017 sio wale wa 1995
Mambo ya kudanganya mchana kweupe hakuna tena hvie sasa... PR aache ku act k jackie chan kwenye movie ya rush hour maigizo anayoyaleta awaulize ugiriki leo wako wapie wanavyohahahahahaha jinsi wanavyodorora kwa uchumi na wao walikua na tabia ya kuwaigizia wananchi
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Acha mihemko! soma post uielewe ndio uchangie.
 
Ukiwa na ligi na zitto uwe na takwimu za kutosha sasa kwa huyu kiongozi wetu nina mashaka naye na takwimu zake. Msema kweli mpenzi wa Mungu. Mara zote Zitto ni Mkweli.
mpenzi wa mungu anaamini katika Risasi
 
Back
Top Bottom