tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,324
Kwanini unasema hivyo!Zitto hajui Chadema wametumia miaka 20 kujenga chama chao yeye anataka miaka miwili tu ACT kiwe chama kikuu cha upinzani.Chadema aamkeni
Kwanini unasema hivyo!Zitto hajui Chadema wametumia miaka 20 kujenga chama chao yeye anataka miaka miwili tu ACT kiwe chama kikuu cha upinzani.Chadema aamkeni
Hakuna kitu kama hiko,,,Tundu Lissu ndio wa mwisho kushambuliwa na wahalifuKuna mawili;
Zitto kutofika tarehe 28 akiwa hai au
Zitto kufika tarehe 28 na akashindwa kuongea.
..mzalendo academiaMtamtoa roho Juma Ponda Mali Mzee wa uzalendo, Msema kweli mpenzi wa Mungu
Fikiri vzr Kabla hujaandika hiiSisi tumeshachoka na haya mambo yenu tunasubiri 2020 tuu tumpige risasi kwenye sanduku la kura....imetosha kuongozwa na baba jesca...na kama ikitokea nchi inasajiri wananchi ntakwenda huko
Maneno ya mkosaji. 2020 ni Zaidi ya 75% MAGUFULI TENA. Iringa, Mbeya, Arusha, Arumeru, Dar yote itakuwa mali ya CCM, kama unanielewa ninachomaanisha. Kiama chenu kinakuja na mtaishia kulia lia tu na ole mjifanye mnaleta fyokofyoko za kuandamana, sisi huwa hatujaribiwi.Sisi tumeshachoka na haya mambo yenu tunasubiri 2020 tuu tumpige risasi kwenye sanduku la kura....imetosha kuongozwa na baba jesca...na kama ikitokea nchi inasajiri wananchi ntakwenda huko
Kisukuma nayo ni lugha?Teh teh! Nilimaanisha kumfukuza! Kiswahili ni lugha yangu ya nne baada ya kisukuma, kitigrinya na kiingereza.
...navipi yule anaefuja Kodi za wadanganyika kwa kuunda maKamatiHana lolote kazimiss hizi safari za kufuja jasho la walipa kodi wa Tanzania chini ya msafara wa kikwete
View attachment 616141
Hoa hutawaweza wanatumia miguu kufikiriNi kwanini ccm mna tabia ya kujibu hoja bila kuweka data? Zitto kaja na data anazoziamini ambazo zinapinga data zilizotolewa na serikali, ni kwanini basi badala ya kutaja mlolongo wa miradi msiseme juu ya madeni ya nje na ndani mmeyalipa kwa kiwango gani kutokana na makusanyo yenu?
Kama kweli kwa uhalisia wa ukusanyaji mnaotamba kuwa nao lipeni madeni ya walimu na pensheni za wastaafu basi kwa kasi hiyohiyo ya ukusanyaji!
Hiyo miradi si ipo kibajeti au kuna ya dharura?
Zitto might be right kama majibu ndiyo yale ya jana!
Siku zote zitto uwa mwongo na haelewi alisemalo ivyo msameheni haelewi tusonge Mbele Raisi wetu mchapa kazi muache zitto aendelee kuongwa kama mdada was kimbokaUkiwa na ligi na zitto uwe na takwimu za kutosha sasa kwa huyu kiongozi wetu nina mashaka naye na takwimu zake. Msema kweli mpenzi wa Mungu. Mara zote Zitto ni Mkweli.
Wenye utindio wa ubongo kama zitto na wew na mama yakoNapompendeaga Zitto ni hapo tu, sio mtu wa mipasho na vidole juu kama yule kibwenzi na kidole chake juu cha msisitizo... Zitto huwa anaweka hoja mezani then anakaa kimya, wenye utindio wa ubongo kama baba yao wanaishia kwenye mipasho