Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki
Mwenzako kashajenga CV kupitia ubunge,ni rahisi kupata kazi. Halafu ubishi wenye hoja hauna tatizo
 
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki
Mambo ya ukabila yanatoka wapi? Zitto ameweka data ww wsleta porojo! Acha utoto basi ! Kwani unapata nini ukikumbatia upopompo!!?
 
Siku zote zitto uwa mwongo na haelewi alisemalo ivyo msameheni haelewi tusonge Mbele Raisi wetu mchapa kazi muache zitto aendelee kuongwa kama mdada was kimboka
Huu mwandiko wa kike, Hebu kawashe moto umpikie mumeo
 
Zitto hajui Chadema wametumia miaka 20 kujenga chama chao yeye anataka miaka miwili tu ACT kiwe chama kikuu cha upinzani.Chadema aamkeni
Tuamkaje, kwani hijui Zitto katokea Chadema au? Sasa unataka tuanze kupingana nae au? Acha kutumia matako kufikili!! Nyambafu.
 
Maneno ya mkosaji. 2020 ni Zaidi ya 75% MAGUFULI TENA. Iringa, Mbeya, Arusha, Arumeru, Dar yote itakuwa mali ya CCM, kama unanielewa ninachomaanisha. Kiama chenu kinakuja na mtaishia kulia lia tu na ole mjifanye mnaleta fyokofyoko za kuandamana, sisi huwa hatujaribiwi.
Hivi zimo kweli ww??
 
Tumechoshwa na takwimu za kuunga unga zinazotolewa na serikali ya Sizonje. Zitto endelea kupakua ukweli ili watanzania wote wajue kwamba serikali hii ni ya kilaghai.
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Hakuna mapato ya nje kwenye bajeti, ila kuna msaada wa wahisani kuchangia bajeti. Na misaada hiyo inakuwa na masharti ya kufuata ndipo tuipate. Sasa wewe mshamba umeguza ni mapato ya nje!! Duh za kuambiwa changanya na zako.
 
Sisi tumeshachoka na haya mambo yenu tunasubiri 2020 tuu tumpige risasi kwenye sanduku la kura....imetosha kuongozwa na baba jesca...na kama ikitokea nchi inasajiri wananchi ntakwenda huko
Nitakwenda huko kwenye kisiwa cha Malta!!
 
Siku zote zitto uwa mwongo na haelewi alisemalo ivyo msameheni haelewi tusonge Mbele Raisi wetu mchapa kazi muache zitto aendelee kuongwa kama mdada was kimboka
Tulia sindano ikuingie ww,usiwe na haraka dawa bado haijasukumizwa!!!
 
My God! kumbe bado wanakopa PSPF, PPF, GEPF na NSSF halafu tunadanganywa ni makusanyo ya kila mwezi! sasa hapo wastaafu watapata pesheni zao kwa wakati kweli? jamani huruma!
Hawakopi Mkuu, wanajichotea tu. Katibu Mkuu mpwa wake, haya gavana ndio kamuweka Luoga. Nyie subilini mtayaona ya Nduli Fashisti Idd Amin Dadaa, aliomaru wakachapishe noti!! Yangu macho.
 
My God! kumbe bado wanakopa PSPF, PPF, GEPF na NSSF halafu tunadanganywa ni makusanyo ya kila mwezi! sasa hapo wastaafu watapata pesheni zao kwa wakati kweli? jamani huruma!
Sio ndio maana wanataka kupitisha fao la kujitoa liondolewe ili waweza kukwiba vizuri?
 
Back
Top Bottom