Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Wanalumumba mpo wapi, njooni mjibu hoja hapa
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Wakati vijana wa 'kiumeni' wanaongea funga mdomo! wengine ndo wastaafu wa kesho na uhakika wa pesheni ndio hivyo tena! tulia kabisa!
 
Zito hujui kuwa bajeti ya serikali mapato yake hutokana na makusanyo ya ndani na mapato ya Nje?

Kosa la rais kutekeleza kwa pesa za kukopa si kuvunja Sheria. Uchumi wa Nchi yetu bado haujafikia hatua ya kujitosheleza kulipia bajeti yote.
Kauli ya Mhe rais kuhusu kuongezeka kwa makusanyo ya ndani ni kweli acha kupotosha takwimu za serikali.
Naamini sasa umebaki unalia kama debe tupu huku ukidhani utaendelea kuwadanganya watanzania hutaweza
Mkuu that's beside the point, swali ni kwamba ukiwa na -10 ukajumlisha na 10 utabakiwa na 0, ukionekana baadae una 5 ukasema umekopa kuna dhambi gani?.....tatizo ni unapolazimisha watu wenye macho kuwa 5 imebaki kwenye / ni sehemu ya hiyo calculation... Tuliosoma kemia hatutakiwi kudanganyi kwa style hiyo!
 
Sasa tumekubali kuwa nchi hii ni ya watu waongo kupindukia juzi alisema sukari alikuta shs. 5,000 kasusha hadi 3,000 wakati ilikuwa 1,800, Acha hilo bungeni waziri wa fedha kasema fedha za miradi ya maendeleo kwa mwaka 2016/17 zimetolewa asilimia 55 lakini mkuu katika hutuba ya ALAT anasema ni asilimia 95
Katika hili lazima Zitto tumwamini kwa kuwa Mkuu anapingana na hali halisi ya nchi yetu, wananchi wanasema hali ni ngumu yeye anasema hakuna hali ni nzuri anapoteza sifa ya kuaminiwa afadhali akae kimya apinganie hayo makinikia tu
 
Jaman kuna maoni mengine ni kama vile watu wanaleta upinzan wa simba na yanga katika masuala muhim.Zitto anaongea vitu vya msingi.uwe chadema ,cuf ,nccr au hauna chama lakin unaipenda nchi hatuna budi kumuunga mkono.
 
Back
Top Bottom